Uwe muelewa.Alikuwa akipata bwana ndiyo anatuita kujifunza.Kwani ulikuwa hauoni magagulo yake?
SijakuelewaKama kwel ww ni CHADEMA mngeungana na sukumagang dhidi ya walamba asali tungekuwa mbali sana kama nchi. Hayupo adui wa kudumu kwenye siasa
Naam binti kikojozi.Ma mdogoπππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Namaanisha CHADEMA wangewatumia s.gang waliotengwa kama mtaji wao kisiasa Kwa Kutoka mbele na kukubali MAZURI pekee ya Awamu ya Tano.Sijakuelewa
Mimi Sina chama ndugu ila naamini katika HAKI. More than 70 percent ya Watanzania wanashiriki siasa bila kuwa wanachama wa vyama vya siasa. Fuatilia comments zangu Sina upande kuegemea vyama.Kwanini nyie ACT msiwatumie hao sukuma gang?
Kwahiyo sasabu zilizofanya wasipeleke hao wabunge 2020 zimeisha?
Hapana ndugu mm nawe adui yetu ni mmoja ni UOVU ulokithiri ndani ya CCM bt Kila mmoja anapambana kivyake ndomana anapata kuwepo Hadi sasa. Nikufikirishe kdg umetaja ACT, Pana URAFIKI Gani kati ya ACT na S.Gang?matendo yako yanaonyesha wewe ni ACT
Ni chama ambacho Baraza kuu lina wajumbe kati ya 500-600 lakini baadhi yao ni wajumbe mfu.Kikao kinafanyika kesho kutwa habari inatoka leo.
Hiki ni chama cha aina gani ambacho maamuzi ya chama yanavuja siku tatu kabla ya kutangazwa??
Yaani atabadili jinsia au kuna kitu unajua?Njaa haina mbabe utashangaa lema yuko viti maalum
Mimi ni mwana CCM.Unda chako
Polepole na Bashiru jinsi walivyokua wabunge wa viti maalum walibadilisha jinsia au umekariri?Yaani atabadili jinsia au kuna kitu unajua?
Angalia Kwa makini makundi haya. 1.ccm Ina makundi mengi bt Kwa sasa Kuna WALAMBA asali na S.GUNG. 2. ACT Kuna mawili makubwa, waumini wa seif na waumini wa zitto . At the same time ACT wanashirikiana na CCM walamba asali. 3. CHADEMA IPO kivyake ingawa wapo wanaoamini utandaji wa Dr Slaa alpokuwa k.mkuu. Kwa mbali NCCR inaisapoti CHADEMA ktk masuala ya Katiba mpyaHapana ndugu mm nawe adui yetu ni mmoja ni UOVU ulokithiri ndani ya CCM bt Kila mmoja anapambana kivyake ndomana anapata kuwepo Hadi sasa. Nikufikirishe kdg umetaja ACT, Pana URAFIKI Gani kati ya ACT na S.Gang?
Polepole na Bashiru hawajawahi kuwa wabunge wa viti maalum.Polepole na Bashiru jinsi walivyokua wabunge wa viti maalum walibadilisha jinsia au umekariri?
Kuteuliwa ndo viti maalumu humo humo hata Lema anafaaPolepole na Bashiru hawajawahi kuwa wabunge wa viti maalum.
Waliteuliwa na Rais kwa nafasi 10 alizopewa na Katiba kuteua wabunge.
Viti maalum kwa nafasi 19 zilizopo ni mahsusi kwa wanawake.
Ndio maana hakuna mwanaume kwenye hizo nafasi 19.
Licha ya kupewa maelezo bado kama unataka apewe viti maalum vya wanawake itabidi abadilishe jinsia.Kuteuliwa ndo viti maalumu humo humo hata Lema anafaa