PreGE2025 CHADEMA kurudia matapishi yake? Safari hii haitakimbilia Mahakamani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.

Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.

Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.

Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).

Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?

Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".

Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?

Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.

MAONI YA WADAU

Dataz kwenda mahakani sidhani kama itakua kosa wala Chadema kulamba matapishi yako kwa maoni yangu, kwa sababu sheria ni kwaajili ya wananchi wote kutendewa haki.

Endapo wataenda mahakani hii itawasaidia na wengine ambao si Chadema ambao pia wangeathirika na sheria kama hizi endapo kweli mahakama ikitafsiri sheria na kuona kuwa tume ilienda kinyume na katiba. Kwani kesi zoote alizokua akishinda marehemu Mtikila zilikua kwa manufaa yake?

Mfano kesi ya mgombea binafsi. Kwa hiyo mimi naona hata wakienda mahakamani na wakashinda msimo wao utakua ule ule wa No reforms No Election, maana kushinda kesi ya sheria za maadili ya uchaguzi siyo kuwa na reforms.
 
Kifungu gani cha sheria au katiba kinasema Chama kisichosaini kanunu za maadili ya uchaguzi hakitoshiriki uchaguzi
Naomba unipatie nipitie vizuri
Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?

Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
 
Si mlisema hamtashiriki uchaguzi bila reforms? INEC imewasaidia nia yenu bado mnalialia. CHADEMA eleweni kuwa serikali ya CCM haiwezi kutishwa nanyi. Uchaguzi utafanyika bila nyie na kila kitu kitakuwa sawa. Mkitaka mpewe nafasi ya kushiriki uchaguzi inabidi LISSU ajitokeze hadharani na kuwaomba msamaha watanzania wote.
 
Unaweza kwenda mahamani kwa lengo la kuweka 'precedent'. Kwamba ifahamike kuwa mkurugenzi wa uchaguzi hana mamlaka hiyo. Changamsha ubongo wako.

Hata hivyo, ACT tayari wana andaa kesi ya kupinga kanuni za uchaguzi alizotangaza yule mshirikina. Hakuna umuhimu wa CDM kupeleka kesi inayofanana na hiyo mahakamani.
 
Dataz kwenda mahakani sidhani kama itakua kosa wala Chadema kulamba matapishi yako kwa maoni yangu, kwa sababu sheria ni kwaajili ya wananchi wote kutendewa haki.

Endapo wataenda mahakani hii itawasaidia na wengine ambao si Chadema ambao pia wangeathirika na sheria kama hizi endapo kweli mahakama ikitafsiri sheria na kuona kuwa tume ilienda kinyume na katiba. Kwani kesi zoote alizokua akishinda marehemu Mtikila zilikua kwa manufaa yake?

Mfano kesi ya mgombea binafsi. Kwa hiyo mimi naona hata wakienda mahakamani na wakashinda msimo wao utakua ule ule wa No reforms No Election, maana kushinda kesi ya sheria za maadili ya uchaguzi siyo kuwa na reforms.
 
Si mlisema hamtashiriki uchaguzi bila reforms? INEC imewasaidia nia yenu bado mnalialia. CHADEMA eleweni kuwa serikali ya CCM haiwezi kutishwa nanyi. Uchaguzi utafanyika bila nyie na kila kitu kitakuwa sawa. Mkitaka mpewe nafasi ya kushiriki uchaguzi inabidi LISSU ajitokeze hadharani na kuwaomba msamaha watanzania wote.
Bado hamjanijibu swali langu
Kosa la.lissu ni.kuwa mwenyekiti wa chadema au ni lipi maana umekaza lissu aombe msamaha kwa watanzania
 
Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?

Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Hujitambui moja ya takwa la kikatiba ni tarehe na muda na mahali pa kufanyia uchaguzi lazima pawe wazi punguani wewe
 
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.

Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.

Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.

Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).

Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?

Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".

Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?

Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.

MAONI YA WADAU
Nimemsikia huyo mwenyekiti wa Kanda ana maarifa ya siasa
 
Kimsingi Chadema ndiyo kwaheri, ndiyo kinaenda kuungana na Nccr mageuzi, Cuf, labda Act inaweza kuchukua nafasi kwa muda. Lakini Chadema ni kwisha habari yao
 
Kifungu gani cha sheria au katiba kinasema Chama kisichosaini kanunu za maadili ya uchaguzi hakitoshiriki uchaguzi
Naomba unipatie nipitie vizuri
Ulikimbia kusaini kumbe hata vifungu vya Sheria huvijui?
Lete kifungu Cha Sheria za uchaguzi kinachosema chama kikikimbia kusaini Sheria ya maadili kitashiriki uchaguzi.
 
Back
Top Bottom