PreGE2025 CHADEMA kurudia matapishi yake? Safari hii haitakimbilia Mahakamani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?

Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Wewe hujui lolote acha kujibizana na wanaojua. Tukitoa neno chadema hapa jukwaani huna cha kuandika wewe.
Tangu lini mtu mwenye najisi/ Tume ikafanya jambo likawa halal!?
 
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.

Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.

Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.

Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).

Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?

Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".

Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?

Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.

MAONI YA WADAU
Usichoelewa ni kuwa Mwanasheria wa Chadema Dr. Nshala alikuwa anaweka record sawa kisheria na kusahihisha upotoshaji uliofanywa na Ramadhan Kailima, msimamo wa Chama uko pale pale No Reforms No Election, umekurupuka.
 
Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?

Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Cdm wanapigania mfumo mzima wq uchaguzi uwe na mabadiliko, wana tatizo gani wakienda mahakamani? Au unadhani wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili washiriki kesho kutwa bila mabadiliko?
 
Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.

Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.

Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.

Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).

Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?

Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".

Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?

Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.

MAONI YA WADAU
Akili za vijana wa CCM hazina akili
 
CHADEMA walishasusa hawatoshiriki uchaguzi mkuu, hakuna haja ya kwenda mahakamani kudai haki ya kushiriki uchaguzi
Mimi nimeomba kifungu cha sheria au katiba kinachosema chama kisichosaini maadili ya uchaguzi hakitoshiriki uchaguzi na mambo yote yahusuyo uchaguzi kwa miaka 5
 
Ulikimbia kusaini kumbe hata vifungu vya Sheria huvijui?
Lete kifungu Cha Sheria za uchaguzi kinachosema chama kikikimbia kusaini Sheria ya maadili kitashiriki uchaguzi.
Nimeuliza swali na ww unaniuliza swali uko sawa kichwani?
 
Screenshot_20250416-101348.jpg
 
Sasa CHADEMA watashiriki vp uchaguzi usokuwepo?

CHADEMA watashiriki uchaguzi baada ya reforms kufanyika na SI vinginevyo.
 
Back
Top Bottom