Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Wewe mwenye akili lete kifungu Cha Sheria kinachosema usiposaini hayo maadili utashiriki uchaguzi.
Kama una akili lete hicho kifungu.
Ukumbuke Huyu ni Havard University Alumni, sio wa hapo kwa akina Mwakyembe
No reform No election maana yake ni nini?wapi walisema wanashiriki na wapi walisema hawashiriki?
Mimi sitaki faida yoyoteWewe utafaidika na nini?
Wewe hujui lolote acha kujibizana na wanaojua. Tukitoa neno chadema hapa jukwaani huna cha kuandika wewe.Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?
Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Usichoelewa ni kuwa Mwanasheria wa Chadema Dr. Nshala alikuwa anaweka record sawa kisheria na kusahihisha upotoshaji uliofanywa na Ramadhan Kailima, msimamo wa Chama uko pale pale No Reforms No Election, umekurupuka.Ukitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.
Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.
Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.
Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).
Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?
Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".
Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?
Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.
MAONI YA WADAU
Cdm wanapigania mfumo mzima wq uchaguzi uwe na mabadiliko, wana tatizo gani wakienda mahakamani? Au unadhani wanapigania mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi ili washiriki kesho kutwa bila mabadiliko?Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?
Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Haelewi huyo Ana akili za mbilimbiUsichoelewa ni kuwa Mwanasheria wa Chadema Dr. Nshala alikuwa anaweka record sawa kisheria na kusahihisha upotoshaji uliofanywa na Ramadhan Kailima, msimamo wa Chama ukom pale pale, umekurupuka.
Akili za vijana wa CCM hazina akiliUkitafakari vizuri, utaona CHADEMA Iko kwenye mtanziko mwingine.
Tume ya Uchaguzi (INEC), imeshafanya maamuzi kuwa CHADEMA hakitaruhusiwa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na chaguzi ndogo zake. Kutokana na kukataa kushiriki mchakato wa kikanuni ulioanza toka tarehe 1/3/2025 na kuhitimishwa na utiaji Saini kanuni hizo tarehe 12/04.
Haiingii akilini kudhani kuwa Tume inaweza tu kirahisi kufuta maamuzi yake kama CHADEMA inavyojaribu kushinikiza.
Kitakachotokea itabidi CHADEMA kwenda Mahakamani kutafuta tafsiri na kuomba Judicial review. (kwa Maana ajenda ya "kukinukisha" haitawezekana, wasahau hili).
Sasa utajiuliza, kama CHADEMA wakienda Mahakamani, huko sio ni kurudia matapishi yake, maana kilishakataa kufika huko Mahakamani kuhusu uchaguzi huu?
Lakini Mwenyekiti Lissu, alishawatangazia Wana CHADEMA wanao tarajia kugombea mwaka huu wasahau mipango hiyo; alisema: "Tunaenda kuuvuruga uchaguzi huu, kama unatarajia kugombea ubunge sahau, kama unatarajia kugombea udiwani sahau, Mimi mwenyewe nilifikiria uraisi nimesahau".
Katika mazingira hayo chama kitaenda huko Mahakamani kutafuta manufaa gani haswa kichama na kwa hoja zipi kuwa hakikupewa Haki ya ushiriki katika mchakato mzima? Je chama hakitaonekana ni kigeugeu?
Ndio Maana Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya kati, Mheshimiwa Jingu, amekiri hadharani kuwa Mwenyekiti wao hana washauri wazuri.
MAONI YA WADAU
Mimi nimeomba kifungu cha sheria au katiba kinachosema chama kisichosaini maadili ya uchaguzi hakitoshiriki uchaguzi na mambo yote yahusuyo uchaguzi kwa miaka 5CHADEMA walishasusa hawatoshiriki uchaguzi mkuu, hakuna haja ya kwenda mahakamani kudai haki ya kushiriki uchaguzi
Nimeuliza swali na ww unaniuliza swali uko sawa kichwani?Ulikimbia kusaini kumbe hata vifungu vya Sheria huvijui?
Lete kifungu Cha Sheria za uchaguzi kinachosema chama kikikimbia kusaini Sheria ya maadili kitashiriki uchaguzi.
Hao ni kama panya road tuAkili za vijana wa CCM hazina akili
Huna majibu, subiri 2030.Nimeuliza swali na ww unaniuliza swali uko sawa kichwani?
wewe unayo sasa na kailima wenu?Huna majibu, subiri 2030.
Ndiyo, kailika keshakupa jibu mmujarab, mkiwa hai mje msaini 2030.wewe unayo sasa na kailima wenu?
Nendeni kwa courtKifungu gani cha sheria au katiba kinasema Chama kisichosaini kanunu za maadili ya uchaguzi hakitoshiriki uchaguzi
Naomba unipatie nipitie viz
Hivi tume ikipanga tarehe ya uchaguzi say 25/10/2025 utaacha kwenda kupiga kura kisa Katiba haijatamka tarehe?
Unajua maana ya Katiba kukasimu utungaji wa Sheria kwa Bunge?
Bonge ya dongoNdiyo, kailika keshakupa jibu mmujarab, mkiwa hai mje msaini 2030.