Kama wangefanya uchaguzi yangetokea yale ya 2020 bado tusingepata wawakilishi bungen zaidi ya covid19 season2TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Hivi chadema ni wakumpokea tena Dr.slaa? Mtu aliyekisulibu chama na kuhamia CCM na kupewa ubalozi!!!Cdm ilikuwa na nguvu kabla ya Lowassa kumuhonga Mbowe. Na cdm imeendelea kuwa na nguvu baada ya yule mzee taplii kuondoka. Toka 2016 hadi sasa huwezi kupima maana siasa za sasa zinafanywa na vyombo vya dola, na chaguzi ni za kishenzi.
Sikio la kufa. Hakuna namna chadema wanaweza kuzuia uchaguzi hata kwa dakika 5 tu, wanataka kuwafanya chambo vijana kwa maslahi yao. Kijana mmoja akipoteza uhai kwasababu za no reforms no election moto hautazimia juu ya vichwa vya0Naunga mkono hoja. Tumewashauri sana
- Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?
- Pre GE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
- Ushauri wa Bure Chadema: Moja shika sii Kumi nenda rudi! Hoja ya Reforms japo ni hoja ya msingi sana kufanya maandalizi ya Uchaguzi ni busara muhimu!
-
P
Tumeisha washauri ushauri wa busara, hakuna mtu atathubutu kujitokeza kuzuia uchaguzi, Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia UchaguziSikio la kufa. Hakuna namna chadema wanaweza kuzuia uchaguzi hata kwa dakika 5 tu, wanataka kuwafanya chambo vijana kwa maslahi yao. Kijana mmoja akipoteza uhai kwasababu za no reforms no election moto hautazimia juu ya vichwa vya0
Mpumbavu ni yule anayekosea na kurudia jambo lilelile akitegemea matokeo tofauti. Sasa we mjinga nani akapange foleni kwenye uchaguzi unaosimamiwa na sheria zilezile za hovyo, watu walewale alafu utegemee miujiza? Embu azimeni ata akili kwa nchi jirani. Hakuna uchaguzi na hatupigi kura. Hatuna muda wa kuhalalisha wizi. Stupid.TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
HUNA AKILI.Hata mimi nimemind ni sera za uchawara kwamba ccm itafanyaje sasa na no reform no election watu wanatafuta uwakilishi chama kinasusia kweli viongozi walikosea sana miaka mitano tena ya kukaa bila wawikilishi,lissu hata urais hatufai
NIAZIME ZA KWAKO NI KAMA WEWEHUNA AKILI.
Amani na utulivu SIO SUALA LA HISANI. Angalia ibara ya 8(1) (c) na 9 ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.uchaguzi sio hisani lakini amani na utulivu ni hisani. Watu hawako tayari kupoteza uhai eti kwasababu fulani aende Ikulu. Hatuna uhakika kama yeye akifika Ikulu hali za watu zitabora kwa namna ipi. Ruto alipomwangusha Laila aliahidi mambo makubwa kabisa kwa wakenya, lakini hakuna kitu. Gwajima alipoutaka ubunge wa Kawe aliahidi makubwa kwa vijana, yako wapi?
Haahaa hapo ni sawa na manara kuwa refarii kati ya Simba na yanga, Kisha kujitosa tena uwanjani . NRNE ndo jibuHuyu alikuwa mkurugenzi wa tume yauchaguziuchafuzi 2020.
Halafu bado mwanalumumba mwingine unasema CHADEMA imekuumiza kwa kutoshiriki upuuzi.
4R za mama yenu mojawapo ni REFORMS.
Ila ajabu kwenye kufunga bunge anawaambia polisi ndio wajiandae, kwani ndio wapiga kura?
View attachment 3389368
Haahaa umemsahau mzee MREMA mzee wa chaummaTundu antipas mugwai lisu, aka Mr dishi limeyumba
Haahaa sijawahi kuona chama kikikataa wanachama, yatakuwa maajabu.Mbona bulaya karudi ccm kutoka chadema,Hivi chadema ni wakumpokea tena Dr.slaa? Mtu aliyekisulibu chama na kuhamia CCM na kupewa ubalozi!!!
Ndio vizuri na maisha yanaendeleaTANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Akili kubwa na timamu katika ubora wakeTumeisha washauri ushauri wa busara, hakuna mtu atathubutu kujitokeza kuzuia uchaguzi, Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
Na wale manyumbu wao tumewaombea kwa Mungu Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?
P
Duh 🙄 !Unashindaje mkuu, tumechoka kuzika ,kuuguza ndugu zetu kisa uchaguzi