The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Duh 🙄 ! 😳 !OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
NO REFORMS NO ELECTION
Ila upumbavu huu tumeuruhusu sisi wenyewe! Hawa ma-DED na hao wengine tunakaa nao mtaani tungekuwa tumetoa fundisho wasingerudia!Ni mpumbavu tu atakaye weza kushiriki kupiga kura ambayo haina thamani mbele ya TISS na POLISI WA CCM
Mbele ya DEDs wana ccm
No reforms no election
Kaka inatia hasira sana kwasisi ambao hatuna hata passport za kusafiria kumsikia na kumuona mtu anapiga bomu ambalo litaumiza na kuua watanzania wenzake huku yeye akiwa ameificha familia yake sehemu salama nje ya nchi. Taifa limelazimika kuajiri askari wengi sana wakati huu na hata waliostaafu wamezuiwa kistaafu hadi uchaguzi upite, utawezaje kuzuia uchaguzi usifanyike bila watoto wa wenzenu kuumia sana?Tumeisha washauri ushauri wa busara, hakuna mtu atathubutu kujitokeza kuzuia uchaguzi, Ushauri wa Bure kwa Wafuasi wa NRNE, Hope for the best but get prepared for the Worst. Msidanganywe na Nyomi, mtashangaa. Hakuna atakayesusia Uchaguzi
Na wale manyumbu wao tumewaombea kwa Mungu Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?
P
Hata wakishinda wanarudi CCM kuunga juhudi, hawaaminiki. Kwani akina Nasari, Prof mkumbo, mtolea, Kafulila, Dr. Slaa na wengi tu si wamerudi CCM na wengine walirudi wakiwa wabunge? Upinzani bado kabisaaa. Wanadhani upinzani ni kupinga Kila kitu na Kila jambo la serikali. Kama yupo mtu ambae wapinzani walipaswa kumlaumu kuhusu Katiba hii ni Nyerere aliyetuachia hii Katiba na UKAWA waliosababisha Katiba mpya yenye nafuu isipatikane.Acha ptopsganda Uchwara. Bora Mkoloni alikuwa. MaCCM hayafanyi uchaguzi bali uchafuzi. Yanajitangaza tu kama yanayotaka hata kubalance kura yanashindwa.
Mimi Sina uhakika nani aliwateka na sababu ya kuwateka. Lakini kama aliyewateka alikuwa anazuia mipango ya watu kuiingiza Tanzania pia iwe kama DRC, Somalia, Sudan, msumbiji, Niger, Nigeria, Mali, Burkina Faso, au Ethiopia ni sawa tu NAMI nampongeza.Hivi taja wakoloni wakati wa TANU waliteka watu wangapi, waliua watu wangapi, yaani huu unyama wewe hujauona tu? Unalingasha hawa wauaji na wakoloni?
Tulia dada angu acha hii mada wachangie watu wenye akili timamuUkiwa unahamasisha watoto wa wenzako waasi serikali na uchaguzi wakati wewe umewafisha watoto wako nje ya nchi ni kosa baya sana.
Wewe huna akili endelea kuishi kwa shemeji akoSifa za mtu kutekwa ni zipi?
Serikali ya kikoloni ilikua na tume huru kuliko hii ya sasa. Hata wakoloni walijenga Barabara, reli, shule, mahospitali, miundombinu ya maji na umeme kuliko hawa wa sasa.TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
Lowassa nguvu aliikuta cdm, kama yeye ndio alileta viti vile akiwa na miezi miwili, alileta viti vingapi akiwa na miaka miwili? Ama unadhani hatuujui ukweli? Baada ya uchaguzi wa 2010, cdm ndio chama kilichofanya siasa za hamasa kuliko chama chochote. Na wakati hayo yakifanyika Lowassa alikuwa ccm. Lowassa awe na nguvu wakati hata kusimama jukwaani alikuwa hawezi. Utakuwa unaumwa ww.cdm haijawahi kua na nguvu bila lowasa, kipindi mmepata wabunge wengi ilikua kipindi icho icho cha lowasa na alivoondoka mlidhoofika sana, mule mule watu walianza kuhama na baada ya JPM kuanza kazi ndo kabisaa mlivua non existent, najua tunafanya siasa utajitahidi kupindisha ukwel
Ni mdada mkuu namfahamu vizuri sn
basi nimempenda ni mdada kichwa!。Ni mdada mkuu namfahamu vizuri sn
Vipi mwaka huu unachukua fomu tena mkuu?basi nimempenda ni mdada kichwa!。
P
bado najitafakariVipi mwaka huu unachukua fomu tena mkuu?