mzee mwenzangu Tindo , lowasa wakati jina lake linakatwa bila shaka uliona nyomi waliokua wanaimba tuna iman na lowasa, pia alivokuja mlipokea watu wengi sna kutoka ccm wewe kusema lowasa hakua behind nyie kupata wabunge wengi sio kwel, bila lowasa msingepata idadi ile kwan toka cdm imeanza haijawahi kufika idadi ile ya wabungeKama lengo lake ni ruzuku si wangekubali kushiriki huu uhuni uitwao uchaguzi sasa? Ama hujui unaongea nini? Nilishakuambia si kila mfuasi wa cdm alikubaliana na ujio wa Lowassa, Mbowe na genge lake ndio walimpokea kwa maslahi yao binafsi.
Kutangaza mgombea kila chama kina utaratibu wake. Nakuuliza Lowassa alikuwa na nguvu gani, maana hata kusimama jukwaani dakika 5 alikuwa hawezi. Nimekuambia kama aliwezesha cdm kupata viti vingi akiwa na miezi miwili, alipokuwa na miaka miwili alileta vingapi? Sioni jibu, naona unajichekesha tu.
Ukiona hilo jimbo lina umasikini basi ujue tatizo ni serekali na sio mbunge. Mbunge hapeleki maendeleo popote maana maendeleo sio kazi ya mbunge. Ukipenda naweza kukusaidia kazi za mbunge ni zipi. Isitoshe Tanzania ina miaka zaidi ya 60, Lisu amekuwa mbunge kwa miaka 10 tu, hiyo 50 ilikuwaje hilo jimbo lisipate maendeleo?
Nyomi gani, lile lilikuwa nyomi za hela zake, kama alikuwa na nyomi ya kweli wakati anahama ccm alisema ataenda cdm na wabunge 50+ wa majimbo na madiwani toka ccm, alienda na nani? Kwa kukusaidia tu, kitambulisho cha kupigia kira kiliitwa kichinjio maana watu walijiandikisha kwa wingi wakitegemea Lowassa ndio atapitishwa na ccm. Bahati mbaya Mbowe na genge lake wakafanya blunder ya kisiasa ya kuchukua fedha za Lowassa na kumpa nafasi adhimu mtu mchafu aliyekuwa hastahili. Na kwa kiwango kikubwa Lowassa alisababisha kura zilitogemewa kupata cdm kupungua.mzee mwenzangu Tindo , lowasa wakati jina lake linakatwa bila shaka uliona nyomi waliokua wanaimba tuna iman na lowasa, pia alivokuja mlipokea watu wengi sna kutoka ccm wewe kusema lowasa hakua behind nyie kupata wabunge wengi sio kwel, bila lowasa msingepata idadi ile kwan toka cdm imeanza haijawahi kufika idadi ile ya wabunge
pia kumbuka chadema ilikua haismami peke yake ilikua ni UKAWA (umoja wa vyama vyote vya vyama pinzani), ni huzuni leo unajumlisha nguvu yote hii kama ni wadhifa wa chadema, ukwel ni kwamba chadema ni chama cha kawaida sana mliopita na upepo wa lowasa nje ya apo hakuna nguvu mlionayo nyie kama nyie
- Pia kumbuka mliku mnatembelea upepo wa rushwa sio kwamba mlikua na dira ya kuendesha nchi, mpaka leo agenda ya ukawa hauna majibu ilikua nn, mlikua mnatembelea maneno ya lowasa ya elimu bure 🤣 🤣 🤣
- tuje miaka ya karibuni, wale wote waliokua wanajitambulisha kwa jina la ukombozi walitimkia ccm ata msigwa ambae alipikwa na chadema tena awali nae aliishia kutimkia ccm, yupo mbunge nlikua namkubali sana (Upendo peneza) nae mapema sana alitimkia ccm! itoshe kusema chama chenu ni kikundi cha wahuni wasio na adabu hadi aliendaliwa kua makamu wa raisi nae kahama chadema 🤣
Mama kugombea kunahitaji wiitoKwanini usimwambie mumeo agombee kupitia upinzani tuone?
Hata serkali kuhamania DOdoma ni kwasababu ya Lowasa aliposema kuwa akishinda uchaguzi ule mara moja serikali yote itahamia Dodoma. Maguli aliposhinda nae akaipora na kuitekeleza ndoto ya Lowasa. Chadema wakati ile ilikuwa na nguvu za Lowasa, Sumaye na UKAWA. Jamani mlishasahau mara hii? UKAWA walikuwa na kanuni yao ya kuachiana majimbo ya uchaguzi.mzee mwenzangu Tindo , lowasa wakati jina lake linakatwa bila shaka uliona nyomi waliokua wanaimba tuna iman na lowasa, pia alivokuja mlipokea watu wengi sna kutoka ccm wewe kusema lowasa hakua behind nyie kupata wabunge wengi sio kwel, bila lowasa msingepata idadi ile kwan toka cdm imeanza haijawahi kufika idadi ile ya wabunge
pia kumbuka chadema ilikua haismami peke yake ilikua ni UKAWA (umoja wa vyama vyote vya vyama pinzani), ni huzuni leo unajumlisha nguvu yote hii kama ni wadhifa wa chadema, ukwel ni kwamba chadema ni chama cha kawaida sana mliopita na upepo wa lowasa nje ya apo hakuna nguvu mlionayo nyie kama nyie
- Pia kumbuka mliku mnatembelea upepo wa rushwa sio kwamba mlikua na dira ya kuendesha nchi, mpaka leo agenda ya ukawa hauna majibu ilikua nn, mlikua mnatembelea maneno ya lowasa ya elimu bure 🤣 🤣 🤣
- tuje miaka ya karibuni, wale wote waliokua wanajitambulisha kwa jina la ukombozi walitimkia ccm ata msigwa ambae alipikwa na chadema tena awali nae aliishia kutimkia ccm, yupo mbunge nlikua namkubali sana (Upendo peneza) nae mapema sana alitimkia ccm! itoshe kusema chama chenu ni kikundi cha wahuni wasio na adabu hadi aliendaliwa kua makamu wa raisi nae kahama chadema 🤣
kuhamia dodoma ni agenda ya mwalimuMama kugombea kunahitaji wiito
Hata serkali kuhamania DOdoma ni kwasababu ya Lowasa aliposema kuwa akishinda uchaguzi ule mara moja serikali yote itahamia Dodoma. Maguli aliposhinda nae akaipora na kuitekeleza ndoto ya Lowasa. Chadema wakati ile ilikuwa na nguvu za Lowasa, Sumaye na UKAWA. Jamani mlishasahau mara hii? UKAWA walikuwa na kanuni yao ya kuachiana majimbo ya uchaguzi.
Binafsi mimi sioni utayari wa cdm kuiongoza nchi hata kama wangeshinda uchaguzi, itakuwa sawa na kumtoa Uhuru Kenyatta na kumleta William Ruto Ikulu. Kwa cdm ingekuwa more worse. Hakuna anaefahamu cdm watafanya nini cha tofauti kama wakishinda uchaguzi ambacho ni tofauti sana na hawa CCM. Hawasemi watafanya nini kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi na uchimbaji madini. Hawasemi wao watafanya nini kwenye elimu, afya, umeme, mishahara, majeshi yetu wala ajira. Hawataki kusema wao watafanya nini kuondoa vikwazo kwenye masoko ya bidhaa zetu huko Ulaya na Marekani. hawataki kutuambia wao watafanya nini kuboresha ulinzi wa nchi hii. Kazi yao ni kuorodhesha kasoro za CCM na serikali bila kutoa njia mbadala.Acha propaganda Uchwara. Bora Mkoloni alikuwa walikuwa na huruma. MaCCM hayafanyi uchaguzi bali uchafuzi na hayana huruma, wala haya. Yanajitangaza tu kama yanayotaka hata kubalance kura yanashindwa.
unazeeka vibaya Tindo , ukwel unaujua kabisa kwamba lowasa ndo aliwaboost na sio siri, chadema leo hii imebaki peke yake umoja wa vyama vya upinzan umeondoka na lowasa na watu wake walishaondoka, liko wap tena lile nyomi? waliokua wabunge wameondoka wameenda vyama vingine hadi aliekua ameandaliwa kua makamu wa raisiNyomi gani, lile lilikuwa nyomi za hela zake, kama alikuwa na nyomi ya kweli wakati anahama ccm alisema ataenda cdm na wabunge 50+ wa majimbo na madiwani toka ccm, alienda na nani? Kwa kukusaidia tu, kitambulisho cha kupigia kira kiliitwa kichinjio maana watu walijiandikisha kwa wingi wakitegemea Lowassa ndio atapitishwa na ccm. Bahati mbaya Mbowe na genge lake wakafanya blunder ya kisiasa ya kuchukua fedha za Lowassa na kumpa nafasi adhimu mtu mchafu aliyekuwa hastahili. Na kwa kiwango kikubwa Lowassa alisababisha kura zilitogemewa kupata cdm kupungua.
Rushwa hata sasa ipo, na ndio maana ccm na dola hawatakuwa tayari tena kukubali siasa na uchaguzi wa kweli kama huko nyuma, maana nafasi ya wao kutoka madarakani iko dhahiri. Wala hata kauli mbiu yake ya elimu haikubamba kwa hivyo, kilichokuwa kimebamba ni ufisadi, ambapo baada ya Lowassa kuingia cdm ikafa rasmi.
Yaani baadhi ya wanacdm kuhamia ccm wala sio issue maana hiyo ni haki yao. Lakini tunajua wanahamia ccm kwa hasira, kwenda kusaka fursa za vyeo na fedha, kwani ukiwa cdm unabaki unafanya siasa zaidi, na majukumu ya kuutetea umma. Yaani cdm watu wanagawana majukumu, sio vyeo na fedha. Huko ccm unakuwa salama uwe mkwepa kodi, ama hata drug dealer.
KAKA WATAGOMBEAJE BILA KUPEWA FOMU? WEWE UNAISHI NCHI GANI? MNATAKA WAGOMBEE LAKINI HMTAKI KUWAPA FOMU. HII IMEKAAJE?TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
wajinga ndo hukariri maisha hawaamini katika mabadilikoOrodhesha nchi ambazo wajinga walishawahi kuzuia uchaguzi usifanyike; labda kwa vita kama Ukraine, Somalia na Sudan.
Maelezo yote haya unayotoa nashangaa ccm hawako tayari kwa tume huru ya uchaguzi. Lowassa nyomi cdm alilikuta na ameliacha. Naona unapima nguvu ya cdm dhidi ya vyombo vya dola, na sio cdm dhidi ya ccm kwenye ushindani wa kisiasa. Usiipe cdm kwa michango ya hiari, bali ipime cdm kwenye ushindani wa kisiasa. Kama ccm hadi leo inategemea raslimali za umma kufanya shughuli zake, nini cdm?unazeeka vibaya Tindo , ukwel unaujua kabisa kwamba lowasa ndo aliwaboost na sio siri, chadema leo hii imebaki peke yake umoja wa vyama vya upinzan umeondoka na lowasa na watu wake walishaondoka, liko wap tena lile nyomi? waliokua wabunge wameondoka wameenda vyama vingine hadi aliekua ameandaliwa kua makamu wa raisi
2) chadema ni overrated na hakina uhalisia watu wengi kama mnavoaminisha watu, imefika stage mpaka mtu anatoa kauli kwamba chadema digital ina watu mil 18, maana yake kila mtu akitoa buku kwa mwezi mwaka mzima mna bil 150 na bado mpaka leo chama kinapitisha tone tone, uhalisia wa chama chenu ni kipo overated
3) Sasa mmebaki chadema wenyewe kama wenyewe lowasa hayupo na ukawa haipo, hakuna sku mlishawahi kupata nyomi kama lile la lowasa ndo kwanza mambo yanazidi kua mabaya lakini mpaka leo ukiambiwa ni nguvu ya lowasa hutaka
Binafsi mimi sioni utayari wa cdm kuiongoza nchi hata kama wangeshinda uchaguzi, itakuwa sawa na kumtoa Uhuru Kenyatta na kumleta William Ruto Ikulu. Kwa cdm ingekuwa more worse. Hakuna anaefahamu cdm watafanya nini cha tofauti kama wakishinda uchaguzi ambacho ni tofauti sana na hawa CCM. Hawasemi watafanya nini kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi na uchimbaji madini. Hawasemi wao watafanya nini kwenye elimu, afya, umeme, mishahara, majeshi yetu wala ajira. Hawataki kusema wao watafanya nini kuondoa vikwazo kwenye masoko ya bidhaa zetu huko Ulaya na Marekani. hawataki kutuambia wao watafanya nini kuboresha ulinzi wa nchi hii. Kazi yao ni kuorodhesha kasoro za CCM na serikali bila kutoa njia mbadala.
Kazi yao ni kulia kama ng'ombe kuhusu Katiba na tume huru ya uchaguzi iwe too porous kuweza kuruhusu hata madalali kujipenyeza. Kuna wakati unapaswa kufunga madirisha kuzuia inzi, papasi, harufu mbaya, vumbi na kelele hata kama unajua kuwa kwa kufanya hivyo kutapunguza hewa safi na mwanga chumbani.
mabadiliko gani hayo, mtu kuwa nyani?wajinga ndo hukariri maisha hawaamini katika mabadiliko
Huu sio wakati wa kuwa na tume huru kabisa ya uchaguzi. Huwezi kukuta nyumba ambayo haina madirisha yenye nondo kule Tandale. Ukipita mtaa ambao nyumba zote zina ukuta mrefu, milango na madirisha yenye nondo ujue kuwa mtaa huo una wezi n wahalifu wengi. Afrika bado inawindwa sana na wakoloni kutokana na rasilimali (rasilimali, nguvukazi na masoko), tume huru ambayo ni huru kabisa huwezi kuipata Afrika abadan.Maelezo yote haya unayotoa nashangaa ccm hawako tayari kwa tume huru ya uchaguzi. Lowassa nyomi cdm alilikuta na ameliacha. Naona unapima nguvu ya cdm dhidi ya vyombo vya dola, na sio cdm dhidi ya ccm kwenye ushindani wa kisiasa. Usiipe cdm kwa michango ya hiari, bali ipime cdm kwenye ushindani wa kisiasa. Kama ccm hadi leo inategemea raslimali za umma kufanya shughuli zake, nini cdm?
Mbona Chadema wata shiriki uchaguzi? Tunacho taka ni Reforms ili tuingie na tuna kwenda kuingia kwenye uchaguzi kwa Reforms za uhakika. Hebu angalia wao wenyewe wana nyimana form??TANU haijawahi kususia uchaguzi hata kama walikuwa wanajua kuwa wakoloni hawatawatendea haki kwenye chaguzi. Kushiriki mara nyingi kunasababisha yule anaeshiriki na kushindwa kugundua njia mpya za kuziba mianya ya kushindwa kwake na yule anaeshinda kila siku kusahau kuziba mianya yote ya kushindwa.
Mwanasaikolojia B.F. Skinner alikuja na falsafa yake ya kujaribu sana mara nyingi ili kufanikisha (operant conditioning). Ukijaribu kitu maranyingi iko siku utafanikisha tu. TANU ilijaribu mara nyingi kuingia kwenye chaguzi zilizokuwa zikisimamiwa na wakoloni na siku moja wakafanikiwa.
Misemo ya Mvumilifu hula mbivu, subira huvuta heri, mwenda pole hajikwai, hasira za mkizi tijara kwa mvuvi na hasira hasara ni kielelezo kuwa harakaharaka haina mbaraka.
Sheria, sera na mipango yote huwa inapitishwa bungeni. Bungeni ndiyo sehemu ambayo inatakiwa iwe na nguvu kubwa ya wabunge kutoka upinzani, sio Ikulu (kwa sasa). Kususia uchaguzi sio tu ni hasira za mkizi lakini hata wananchi wataumia sana kwa CCM kubaki wenyewe bungeni kupitisha chochote bila hofu.
Nani alipendekeza wazo la kususia uchaguzi pale chedema?
huezi kwepa hilo, chama cha siasa ni watu na kama rasilimali watu hamna hata mapato hamna na nyomi hamnaMaelezo yote haya unayotoa nashangaa ccm hawako tayari kwa tume huru ya uchaguzi. Lowassa nyomi cdm alilikuta na ameliacha. Naona unapima nguvu ya cdm dhidi ya vyombo vya dola, na sio cdm dhidi ya ccm kwenye ushindani wa kisiasa. Usiipe cdm kwa michango ya hiari, bali ipime cdm kwenye ushindani wa kisiasa. Kama ccm hadi leo inategemea raslimali za umma kufanya shughuli zake, nini cdm?
mpaka leo chama hakina miradi, hakina ofisi na watu ndo hao wanaondoka bado hamuoni kuna shida tu 🤣 🤣 🤣
wanaanzia wap kushiriki wanaogopa kwenda kinyume na kauli ya supreme leader, waliosoma alama za nyakati washakimbia kitamboMbona Chadema wata shiriki uchaguzi? Tunacho taka ni Reforms ili tuingie na tuna kwenda kuingia kwenye uchaguzi kwa Reforms za uhakika. Hebu angalia wao wenyewe wana nyimana form??