Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Acha blah Blah wewe..Kwa akili yako unadhani unaweza kufikiri zaidi ya Mungu aliyetuumba
sasa ndugu inamaana unajua mungu sasa hivi anafikiria nini ?inamaana ushajua kuwa anafikiria chadema ishinde? hebu kuweni serious kidogo basi unajua mnaonekana kama hamna akili kuwa na uhakika wa chadema kushikadola?kuweni kama nyuki alimzidi ujanja nzi akwa fundi wa kutengeneza asali msibakie kuwa na akili za nzi badirkeni
 
Asante kwa habari ya kusisimua sana na sasa siasa zinakaribia kuanza tena watanzania tujiandae kwa kishindo kikubwa. Kuna watu hawalali sasa mnawajua, eeh?
Kabisa
 
Ndiyo maana nakuambia hujielewi Wala hujitambui Wala hujui unawaza Nini.Unaandika blah blah tu ili mkono uende kinywani.Pole
 
Lissu atahudhuria kweli? Maana yuko karantini kwa mujibu wa PETER KIBATALA, sasa asipokuwepo atapitishwa vipi kugombea Urais, mahakamani alishindwa kutokea sababu yuko karantini
Mtu alichaguliwa u Makamu Mwenyekiti akiwa ubelgiji ndo watashindwa kumchagua akiwa karantini. Usicheze na Chadema wwe, wanaweza kumchagua hata akiwa kaburini
 
Mtu alichaguliwa u Makamu Mwenyekiti akiwa ubelgiji ndo watashindwa kumchagua akiwa karantini. Usicheze na Chadema wwe, wanaweza kumchagua hata akiwa kaburini
Barikiwa mno
 
Ndiyo maana nakuambia hujielewi Wala hujitambui Wala hujui unawaza Nini.Unaandika blah blah tu ili mkono uende kinywani.Pole
toa maelezo mzee usilalamike tu unaamini kweli chademaitashinda?au unajifariji tu maana kitu kiko wazi kabisa lakini unalazimisha kuwa chadema mtashinda au unawaenjoy wenzio tu unajuwa sikuelewi?
 
Lissu kamaliza kukaa karantini?
 
Wewe unaona Lowassa kafanikiwa Nini? Ila CDM imezidi kufanikiwa kwa sababu mwanadamu anaweza kuasi Ila Kanisa hakiwezi kuasi
Wewe umesema Chadema ni mpango wa mungu na yeyote anaesimama na Chadema anafanikiwa. Ndo nikakuuliza Lowassa alifanikiwa? Si alisimama na chadema
 
Mtu alichaguliwa u Makamu Mwenyekiti akiwa ubelgiji ndo watashindwa kumchagua akiwa karantini. Usicheze na Chadema wwe, wanaweza kumchagua hata akiwa kaburini
Mkuu umeongea kama funza vile
 
Mafisiem yakiona hivi yanakosa amani.

Mungu ibariki Chadema!

October 2020 tunamwaga pombe chini!
 
Tulia kidogo basi. Kama hujui sentesi huanza na herufi kubwa.
 
Safi kamanda,
Weka na English version ya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…