- Thread starter
- #141
Ndiyo hivyoHaki ikatendeke kila hatua, Wa kutoka watolewe kwa haki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo hivyoHaki ikatendeke kila hatua, Wa kutoka watolewe kwa haki...
Kuna popote nimeonyesha hivyo.Kura za Wajumbe ndiyo zitaamuaMbona kama umeshaweka wazi Tundu ndie umtakaye?
Very SeriousDah ati maandamano ambayo hayajawahi kutokea
Serious?
Sasa kamati inakaa kujadili nini? Mgombea urais ndiye huyo aliyelakiwa na maelfu ya watanzania huku wakiimba rais, rais, rais.huku umati huu ukiimba 'Rais' Rais' Rais' kote alikopita
Blah Blah...Huna hojaHapa ndipo ninapoona tofauti kati ya CCM na CHADEMA wakati ccm wakitumia ukumbi wao chadema wanaenda kukodi ukumbi
Kulakiwa ni suala lingine na kupata kura za Wajumbe ni Jambo lingineSasa kamati inakaa kujadili nini? Mgombea urais ndiye huyo aliyelakiwa na maelfu ya watanzania huku wakiimba rais, rais, rais.
Wape haki yao wajumbe.Ndiyo wanaamua.Wasije kukushangazaishajulikana nani atapita, sema wacha watu wafanye mchakato kutimiza matakwa ya demokrasia.
Vyovyote uaminivyoWanatikisa nani? Au wanajitikisa wenyewe unamaanisha.
Una haki hiyo kuchagua upande uutakaoNingekua mpiga kura
kura yangu ningempa Lazaro Nyalandu Anafaa wakati huu KULIKO wakati mwingine wowote ila kwa Zanzibar sidhani Kama CDM wanachao kule unamsimamisha mtu hapati hata kura elfu 50 haina haja
Chadema ni kubwa kuliko Mbowe mkuuHuo ndio ukweli
Nina uhakika akisimama Lissu hata ACT Watamuunga mkono, sio Nyalandu. Sasa hapa Mbowe alete siasa zake za 2015 kulazimisha Lowassa agombee aone CHADEMA itakavyokuwa kama TLP
Eti nini mkuu!!!!! CCM walikuwa na fomu moja tu kwa uraisi (JMT) hivyo umepotea kuwatumia kama mfano wa kuheshimu kura. Kwa Ubunge na udiwani wenyewe CCM wamesema wao ndio wana maamuzi ya mwisho. Hivyo Dr Akili naona unatula akili tu.Hayo majina matatu yapange kulingana na mapendekezo ya kura za wajumbe ambazo Lazaro Nyarandu aliwaacha kwa mbali hao wengine. La sivyo tutakuelewa vingine. Kura za wajumbe lazima ziheshimiwe kama zilivyoheshimiwa zile za CCM kwa kuwang'oa vigogo kama Makonda, Mwakyembe, Mwamri, Lugora, Wasira, Nyerere watatu nk. Wajumbe wa chadema nao walishang'oa vigogo kama Tundu Lissu nk. Hiyo ndiyo demokrasia. Mkienda nje ya hapo chadema itapasuka vipande viwili, kitu ambacho ccm inakisubiri kwa hamu.
Molemo media mmeamua kuchagua upandeMwenye macho haambiwi Tazama.Chadema ni mpango wa Mungu
Yeyote anayesimama anafanikiwa kama Lowasa alivyofanikiwaChadema ndiyo mpango wa Mungu na si majina ya watu.Chama ndiyo mpango wa Mungu kwa hiyo yeyote anayesimama na chama anafanikiwa
Kwani kuna kikao kinakuwa recorded?Kikao kipi kitakuwa Live?
Wewe ndio ulikuwa mwenyekiti wa hicho kikao?Naona Kama Kuna repitition
Kamati kuj ilikaa na kupiga kura na kupitisha Watu watatu Nyalandu ,Lisu na yule mama
Sasa wanakaa Tena kwa issue hiyo hiyo? Nikitarajia vikao viwe viwili tu vya baraza kuu na mkutano mkuu