Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

Uchaguzi 2020 CHADEMA kutikisa Dar kwa siku tatu, Uchaguzi Mgombea Urais Tanzania na Zanzibar

huku umati huu ukiimba 'Rais' Rais' Rais' kote alikopita
Sasa kamati inakaa kujadili nini? Mgombea urais ndiye huyo aliyelakiwa na maelfu ya watanzania huku wakiimba rais, rais, rais.
 
Sasa kamati inakaa kujadili nini? Mgombea urais ndiye huyo aliyelakiwa na maelfu ya watanzania huku wakiimba rais, rais, rais.
Kulakiwa ni suala lingine na kupata kura za Wajumbe ni Jambo lingine
 
Tayari mchakato wa kumpata mgombea urais kwa ticket ya CHADEMA unaonesha kunoga kuliko wa ccm. Tusubiri tuone demokrasia inavyofanya kazi.
 
Ningekua mpiga kura
kura yangu ningempa Lazaro Nyalandu Anafaa wakati huu KULIKO wakati mwingine wowote ila kwa Zanzibar sidhani Kama CDM wanachao kule unamsimamisha mtu hapati hata kura elfu 50 haina haja
Una haki hiyo kuchagua upande uutakao
 
Huo ndio ukweli
Nina uhakika akisimama Lissu hata ACT Watamuunga mkono, sio Nyalandu. Sasa hapa Mbowe alete siasa zake za 2015 kulazimisha Lowassa agombee aone CHADEMA itakavyokuwa kama TLP
Chadema ni kubwa kuliko Mbowe mkuu
 
Hayo majina matatu yapange kulingana na mapendekezo ya kura za wajumbe ambazo Lazaro Nyarandu aliwaacha kwa mbali hao wengine. La sivyo tutakuelewa vingine. Kura za wajumbe lazima ziheshimiwe kama zilivyoheshimiwa zile za CCM kwa kuwang'oa vigogo kama Makonda, Mwakyembe, Mwamri, Lugora, Wasira, Nyerere watatu nk. Wajumbe wa chadema nao walishang'oa vigogo kama Tundu Lissu nk. Hiyo ndiyo demokrasia. Mkienda nje ya hapo chadema itapasuka vipande viwili, kitu ambacho ccm inakisubiri kwa hamu.
Eti nini mkuu!!!!! CCM walikuwa na fomu moja tu kwa uraisi (JMT) hivyo umepotea kuwatumia kama mfano wa kuheshimu kura. Kwa Ubunge na udiwani wenyewe CCM wamesema wao ndio wana maamuzi ya mwisho. Hivyo Dr Akili naona unatula akili tu.
 
Demokrasia ya Tanzania ipo CDM tusubiri Jumanne jioni tutaona mwanga.
 
Naona Kama Kuna repitition
Kamati kuj ilikaa na kupiga kura na kupitisha Watu watatu Nyalandu ,Lisu na yule mama

Sasa wanakaa Tena kwa issue hiyo hiyo? Nilitarajia vikao viwe viwili tu vya baraza kuu na mkutano mkuu
 
Kila kheri makamanda, tusifanye makosa CDM ituvushe maana huku mtaani tunachakaa na Sera za hawa wabakaji wa democracy!
 
Chadema ndiyo mpango wa Mungu na si majina ya watu.Chama ndiyo mpango wa Mungu kwa hiyo yeyote anayesimama na chama anafanikiwa
Yeyote anayesimama anafanikiwa kama Lowasa alivyofanikiwa
 
Naona Kama Kuna repitition
Kamati kuj ilikaa na kupiga kura na kupitisha Watu watatu Nyalandu ,Lisu na yule mama

Sasa wanakaa Tena kwa issue hiyo hiyo? Nikitarajia vikao viwe viwili tu vya baraza kuu na mkutano mkuu
Wewe ndio ulikuwa mwenyekiti wa hicho kikao?
Uongo wenu wa kichawi pelekeni huko! KK ingepigaji kura mlizokuwa mnaeneza bila kuwasikiliza wagombea?
 
Vikao vya uchujaji vinaanza rasmi kesho, lissu ndo pendekezo langu.nawaomba wajumbe wampe kura nyingi za ndio....baraza kuu na mkutano Mkuu tuna imani nanyi..
 
Back
Top Bottom