Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

Tanzanian government has deployed security forces and CCM-affiliated groups to intimidate protesters ahead of the July 7, 2026 demonstrations, warning of a serious risk of violence.
Gentleman,
Terrorist groups and criminal gangs will not be allowed to threaten the peace and well-being of Tanzanians even for a single second.

be careful :CouldYouNot:
 
CHADEMA wanafanyiwa hivi ili waachane na siasa kwasababu kuogopa kifo.
Hizi mbinu zinafanywa ili watu waachane na CHADEMA.....hii so missed target Bali ni mbinu Tu ya kipumbavu ya kudhoofisha upinzani
 
Kuna miaka flani kulikuwaga na wale red briged kama sikosei walikuwa ni walinzi wa viongozi kwa sasa awapo tena??
Upole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.
 
Gentleman,
Terrorist groups and criminal gangs will not be allowed to threaten the peace and well-being of Tanzanians even for a single second.

be careful :CouldYouNot:
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Dah kweli aisee hii ni missed target Chadema inabidi iwe macho
Sioni kabisa logic yenu kwa kufikiria hivyo. Hivi mnadhani Serikali ya mazafakas inawapenda sana wasaidizi waatiifu wa viongozi wa upinzani?

Kwahiyo, kwa fikra zenu, Djumbe alivyonusurika hapo juzi kati naye alikuwa missed target/mistaken target tu?

Loyal aides are targets in their own right!
 
Lamomy
chadema national vice chairman,
is more than 100% responsible for the death of his driver. He must be held accountable according to the law.

tusifanye mzaha kwenye ukweli huu :1Head:
 
Upole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.
Na hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetosha
 
Can you support what you're saying with concrete evidence?
he is the last person to accompany and leave the deceased while he was alive,

and therefore,
there is a more than 100% probability that he knows what happened to the deceased :1Head:
 
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
Back
Top Bottom