Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

Chadema kuweni macho sana, elevate security alarm/alert to 100%. Hii ni missed target!!! MOST LIKELY!

Na hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetosha
Ni kuomba msaada wa Trump
 
Gentleman,
probability that his boss was involved in the driver's death is more than 100%. :CouldYouNot:
Gentleman,
probability that his boss was involved in the driver's death is more than 100%. :CouldYouNot:
Screenshot_20260120-224356~2.png
 

Attachments

  • Screenshot_20251222-120716~2.png
    Screenshot_20251222-120716~2.png
    1.5 MB · Views: 8
Tuko katika hali mbaya kama taifa, nchi inaelekea kubaya sana, uchu wa madaraka unaondoa ule utu wa binadamu watu wamekuwa wanyama
 
Kwani kawekewa sumu au kunyongwa maana Natural death ni kawaida kwa mwanadamu
 
Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya.

Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed!

Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.

Waliamini dereva sio lengo la watekaji na wauwaji hivyo hata hawakuwa wanajali sana maana walijua target ni heche
 
Ukikaa kwa kutuliza..utaona jambo

Huyo dereva itakuwa alipewa kazi Maalum...kitaalam inaitwa impossible mission

Sasa ni either alikaa na taarifa moyoni au alimshirikisha boss wake... Na hakuwa tayari kutekeleza

Ikitokea hivyo..mara nyingi unakumbushwa na ahadi mbalimbali.
Na ukikaa kimya Maisha yanakuwa hatarini..
Dereva Mpya wa Heche inabidi wamuangalie haswa.. kazi ipo na si ya kitoto
 
Na hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetosha
Na Polisi walipewa taarifa toka siku ameingizwa kwenye Ofisi hiyo iliyo jirani na Central Polisi hapo...
 
Sioni kabisa logic yenu kwa kufikiria hivyo. Hivi mnadhani Serikali ya mazafakas inawapenda sana wasaidizi waatiifu wa viongozi wa upinzani?

Kwahiyo, kwa fikra zenu, Djumbe alivyonusurika hapo juzi kati naye alikuwa missed target/mistaken target tu?

Loyal aides are targets in their own right!
Hapana
 
Upole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.
Dah aisee
 
Back
Top Bottom