Gentleman,Tanzanian government has deployed security forces and CCM-affiliated groups to intimidate protesters ahead of the July 7, 2026 demonstrations, warning of a serious risk of violence.
Upole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.Kuna miaka flani kulikuwaga na wale red briged kama sikosei walikuwa ni walinzi wa viongozi kwa sasa awapo tena??
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Gentleman,
Terrorist groups and criminal gangs will not be allowed to threaten the peace and well-being of Tanzanians even for a single second.
be careful
Hahahahaha!Huyu dreva inaonekana amewa outshine na kuwaharibia misheni zao sana mara kadhaa hao wauaji
Lengo ni kumuua HecheTumefikia hapa sasa?
Sioni kabisa logic yenu kwa kufikiria hivyo. Hivi mnadhani Serikali ya mazafakas inawapenda sana wasaidizi waatiifu wa viongozi wa upinzani?Dah kweli aisee hii ni missed target Chadema inabidi iwe macho
nonsense
Wewe nawe acha kufikiria kupitia mbichwa wa chini, haya mauaji wewe yanakupa amani gani? Nyang’au wee
Can you support what you're saying with concrete evidence?Gentleman,
probability that his boss was involved in the driver's death is more than 100%.
Mbinu chafu za mbogambogaHii ni missed target. Hakuna bahati mbaya.
Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed!
Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
Na hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetoshaUpole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.
he is the last person to accompany and leave the deceased while he was alive,Can you support what you're saying with concrete evidence?
ama kwahakika nyani haoni alichonacho behind the sceneMatraco yako..!!
nonsense