Ni kuomba msaada wa TrumpNa hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetosha
Gentleman,
probability that his boss was involved in the driver's death is more than 100%.
Gentleman,
probability that his boss was involved in the driver's death is more than 100%.
Hivi ile bill iliyojadiriwa ndani ya Congress imeshasainiwa na Trump?Ni kuomba msaada wa Trump
Sio kila mtu ni chadema humu wengine hatupendi kuona uonevu ukitamalakiHahahahaha!
Michadema bwana!!!!
Iko kwenye processHivi ile bill iliyojadiriwa ndani ya Congress imeshasainiwa na Trump?
*** your stupid and null motherStupid and null hypothesis!
Waliamini dereva sio lengo la watekaji na wauwaji hivyo hata hawakuwa wanajali sana maana walijua target ni hecheHii ni missed target. Hakuna bahati mbaya.
Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed!
Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
Na Polisi walipewa taarifa toka siku ameingizwa kwenye Ofisi hiyo iliyo jirani na Central Polisi hapo...Na hakuna hatua iliyochukuliwa pamoja na kuonekana hao green guard na huyo mwenyekiti? For how long will opposition parties' members will abducted na hakuna kinachofanyika? Hakika vyombo vya usalama sasa imetosha
HapanaSioni kabisa logic yenu kwa kufikiria hivyo. Hivi mnadhani Serikali ya mazafakas inawapenda sana wasaidizi waatiifu wa viongozi wa upinzani?
Kwahiyo, kwa fikra zenu, Djumbe alivyonusurika hapo juzi kati naye alikuwa missed target/mistaken target tu?
Loyal aides are targets in their own right!
Dah aiseeUpole wa Mbowe akaridhiana na Kikwete vyama vivunje vikundi vya Ulinzi wa ndani,matokeo yake Red- Brigade ikavunjwa na Green Guard ikaendelea mpaka Leo na Majuzi Mwenyekiti wa Bavicha- Nyamagana- Mwanza alitekwa na Green Guard wakamuua na kuutupa mwili wake pembezoni mwa Ziwa Victoria karibu na jengo zilimo Ofisi za CCM- Mwanza,ambalo Green Guard walionekana wakimuingiza mle baada ya kumteka na ni jirani na Makao Makuu ya Polisi Mkoa-Mwanza.