CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

Labda nikuulize wewe, aliyekula pesa za Watanzania ni Kikwete au Lowassa?
see..

You dont answer my query you are keeping insiting on CCM..Thread imeandikwaje?anzisha nyingine
 
wewe na hicho chama chenu cha kiislam mtaishia jela hivi karibuni kwa kuiiba mali ya watanzania.
Umeishiwa hoja nimekuambia kuna viongozi ambao pia ni wakristo,makamu mwenyekiti,katibu mwenezi,mtunza hadhina na organisation ya mambo ya nje!iweje useme ni cha waislamu?jamani utalinganisha na Chadema nafasi sita za wabunge wa kuteuliwa wanne wanatoka pure kaskazini,mmoja mme wake anatoka hukohuko!mmoja tu ndo anatoka kanda ya magharibi!kweli Chama kilishindwa kupata uwakilishi wa kanda zingine?
Haya makao makuu hadi madereva nao wachaga wa huko huko kaskazini!
WANGWE alitaka kuwasaidia ili chama chenu kionekane cha kitaifa nanyi mmemaliza!
Matokeo mtayaona 2010!
 


Tatizo ni nini? are you sure makamu mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa kwa popular vote? Mimi sina hakika i am sure humu ndani tutaambiwa kama alichaguliwa na popular vote au la.
Lakini tatizo ni nini? kuna ubaya gani wachache wanaoona vizuri kumuondoa mtu ambaye hafai. Mbona systeme hiyo ingekuwepo kwenye vyama vingine au ingekuwa inatekelezwa kwa umakini kwenye chama kama CCM mbona nchi yetu ingekuwa mbali sana? Democracy sio lazima iwe direct hata inderect democracy ikitekelezwa vizuri inafaa kabisa.
 

Majibu:

1. Kwa msingi kuwa chadema ni chama cha wachaga, basi ccm ni chama cha kiislam.

2. CCM ndiyo inaongoza nchi kwa hiyo ndiyo inasimamia pesa za nchi

3. ushahidi unazidi kuonesha kuwa wizi wa pesa za BoT umetumika kwenye uchaguzi kwa kuisadia ccm. Uongozi wa juu wote wa ccm uwajibike kwa wizi wa BoT ambao Pinda ameanza kusingizia kuwa ni kwa usalama wa taifa.
 
Gembe.
Baada ya Natural justice kuna kipengele cha Unreasonableness,Irrationality na proportionality. Hivyo vinaweza kutengua maamuzi ya wazee watano wa Chadema na kuonesha walikuwa na upande wao na angetumia vipengele hivyo kuwakataa kabla ya kikao angeshinda kisheria.

Mwk.
Umeshinda wewe na Kitila, nataka kukwambia kitu kimoja mchujo wa ccm uko mkali sana sasa watu wakishindwa huko wanakwenda vyama vingine(Transit) wanatengeneza majina kwa kutokana CCM ili baadae wakirudi wapate nafasi ya ubunge au uenyekiti wa mkoa, kuna watu ambao unaweza kusema ni wakweli kama Mnyika ambaye amekuwa sehemu moja kwa muda bila kutetereka, sio kuwa na mwanachama aliyeona kuwa 2005 chadema wamekuja na helkopta na yeye anachukua kadi.

1995 Alipoona Mrema anasukumwa kwenye gari na unaweza kuingia hotel (mgahawa) yeyote ya mchagga ukala chakula au akapewa soda bure ukisema mwana NCCR,mtu akachukua kadi.mtu wa namna hiyo hafuati sera au chama anafuata kitu,akisikia 2010 CUF wana ndege atakwenda huko.
 
Last edited:

haya mambo sijui ya mume na mke wa viongozi wa chadema, je umejiuliza kuwa mke mdogo wa Kikwete ni dada ya nani huko ccm?

Hakuna tofauti ya viongozi wa chadema na wa ccm. Kama chadema ni chama cha wachaga kwa vile baadhi ya viongozi ni wachaga basi na ccm ni chama cha kiislam kwa vile asilimia 75 ya viongozi wake ni waislam- Kituo kikubwa.
 

kwa vile bado unatoa maneno mengi tu bila ushahidi, basi nimekubaliana na usemi wangu mwenyewe kuwa wewe unasema uongo na Kitila anasema ukweli
 

Kuhani,

Asante kwa kuona hilo, mimi nimesoma kama page 20 huyu akiahidi kuleta ushahidi na kila mara akiandika anarudia story mingi tu na nikaamua kuamini anachosema Kitila over cha kwake.

Hii ni JF, hili ndilo watu wengi wanasahau. Mambo mengi yanayoandikwa yanasomwa. Na wengine hutumia muda mrefu kidogo kusoma kinachoandikwa kabla ya kumwaga rants kama za Gembe ha mwenzake hapa.
 
kwa vile bado unatoa maneno mengi tu bila ushahidi, basi nimekubaliana na usemi wangu mwenyewe kuwa wewe unasema uongo na Kitila anasema ukweli
Na kwanini isiwe kitila anasema Uongo na huyu mhe. anasema Ukweli?au unataka akubali ili yaishe
 
Why did you choose him at the first Place?au hamkumjua ni mtu wa namna gani?

Kaanzia wilayani,akaja mkoani then Taifa..sas ahivi hafai kwa sababu zipi?

Pundit tell us the Reality and not what is not real

First off, you are asking me as if I am CHADEMA.If you can at all read the piece above you will see the impartial objectivity devoted on the subject.This same staunch and impartial objectivity is maintaned not only in intra-CHADEMA issues, but also inter party issues and international issues.

So where did you get the notion that I am CHADEMA? or are you one of those with a myopic vision here that "if you are not with us you must be with them"?

I am neither with you nor them, hapendwi mtu wala chama, ni hoja tu hapa!
 
Asilimia ngapi ya wabunge wa kuteuliwa Chadema wanatoka kaskazini?Msikilizeni WANGWE nasio sababu mwenyekiti hampendi basi watu wote wanamsuport Mbowe!Mimi namfahamu mke mmoja tu wa RAISI MAMA salma kikwete!hayo ya mdogo ni udaku wako!
 
Asilimia ngapi ya wabunge wa kuteuliwa Chadema wanatoka kaskazini?Msikilizeni WANGWE nasio sababu mwenyekiti hampendi basi watu wote wanamsuport Mbowe!Mimi namfahamu mke mmoja tu wa RAISI MAMA salma kikwete!hayo ya mdogo ni udaku wako!

Umeyaleta mambo ya familia za viongozi ukidhani kuwa ccm ni safi. Fuatilia ujue kuwa mwenyekiti wako wa ccm - Kikwete ameoa dada ya mmoja wa watu maarufu sana ndani ya ccm. Kama huu ni udaku basi kwa standard yako, kile unachosema kuhusu Mbowe na chadema ni udaku.

Ondoa kwanza udini ccm kabla ya kutunga uongo kuwa kuna ukabila chadema.
 
kwa vile bado unatoa maneno mengi tu bila ushahidi, basi nimekubaliana na usemi wangu mwenyewe kuwa wewe unasema uongo na Kitila anasema ukweli

Nimesema mkweli ni wewe na Kitila soma post yangu iliyopita,ushahidi nikupe wewe kama nani? Hakimu ambaye una upande wako tayari,maandishi yangu yatawafungua macho watu wengi.kwanza ni fahari kwa Mkumbo ni mwanachadema mwenye uzoefu wa vyama vyote kuanzia tawala hadi vya upinzani atakuwa na experience kubwa ya siasa.
 

nayakumbuka sana maneno yako haya
The thing is there is no question, the attempt to frame a question was flatfooted by the fallacious attempt to separate "politics" from that which it is.

Wala sijakuwambia wewe ni mtu wa CHADEMA,i poss a question ili watu ambao ni wa CHADEMA waweze kujibu.Kuna Mpaka kieleweke ambao wanaweza kutupa majibu ya swali nililoliuliza

kimsingi maelezo yako ambayo nimekuwa nikiyasoma kwa muda sasa na uwiano wako wa kupima suala hili la Mhe. Wangwe na kwa hoja zako tatu za kuuma na kupuliza ulizozitoa kwa lugha ya kiingereza hapo nyuma ,na kwa hitimisho lako ulivyoonesha kwamba CHADEMA haiteteleki kama iki Loose mtu inaonyesha ilivyo wazi kuwa na wewe ni mmoja wao.

Na hakika wewe ni MWANACHADEMA
 

Weka ushahidi ambao ni wewe mwenyewe uliuahidi, mbona umeombwa kitu kidogo sana?
 
Huo muda wa kufuatilia sina!CHADEMA WATALIPA PRICE ya kumfukuza WANGWE umakamu mwenyekiti!kwa kuwaambia maneno ya ukweli!Ama kweli ukweli unauma!kuhusu MBOWE na Wangwe nenda KLHNEWS utamsikia WANGWE AKISEMA KWA NINI KAFUKuZWA UMAKAMU WA CHADEMA!
 


mgagagigikoo nadhani mahali ulipojikwaza ni pale ulipodai kuwa Kitila aliwahi kujiunga na NCCR na TLP. Kitila akakanusha, wewe ukasema upo na ushahidi na ya kuwa "vyama vina rekodi". Madai ya kusema mtu fulani alijiunga na kikundi fulani katika jitihada ya kumuonesha kuwa mtu huyo anaruka ruka vyama si madai madogo kwani yanahusu character ya mtu.

Kitila kasema alipotoka CCM alijiunga Chadema na hakuwa mwanachama wa chama kingine chochote, so kimsingi alihamisha kazi ya kutoa ushahidi kutoka kwake na kuja kwako kwani ni wewe uliyedai vinginevyo na ni wewe ulitakiwa uthibitishe.

Kwa vile umeshindwa na umekubali kuwa umeshindwa kuthibitisha madai hayo ya Kitila kuwa mwanachama wa NCCR na TLP aidha kwa kukosa ushahidi au kwa kutotaka kuendelea na mjadala huo naamini itakuwa ni uungwana ili angalau kurudisha credibility yako (kama hilo linawezekana) kwa kuondoa madai hayo na kumuomba radhi Kitila kwani kama watu wangeyaamini ingekuwa ni kumchafulia jina.

Tunaposema kitu juu ya mtu fulani aidha tujifunze "kuqualify" au kuweka in search a way that it is not definitive but rather speculative.
 
Huo muda wa kufuatilia sina!CHADEMA WATALIPA PRICE ya kumfukuza WANGWE umakamu mwenyekiti!kwa kuwaambia maneno ya ukweli!Ama kweli ukweli unauma!kuhusu MBOWE na Wangwe nenda KLHNEWS utamsikia WANGWE AKISEMA KWA NINI KAFUKuZWA UMAKAMU WA CHADEMA!

kama huna muda wa kufuatilia udini na ufisadi wa mwenyekiti wa ccm, kwa nini chadema wakusikilize wewe ambaye huna muda wa kufuatilia haki kama kweli ndiyo unatafuta hapa?

CCM mlidhani mmepata kitu cha kusambaratisha upinzani kumbe chadema wako hatua mia moja zaidi yenu. Ukimaliza kuondoa udini ccm, kisha njoo tuchambue idadi ya viongozi wachaga ndani ya chadema ikilinganishwa na idadi ya viongozi waislam ndani ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…