Ama kweli hii ni supu utumbo ya kwa BWASHEE!
CHEDEMA NI VEMA!hata kwa kumfukuza makamu mwenyekiti aliekuwa akidai haki ya kitaifa!yaani kukifanya chama kiwe na mwonekano wa kitaifa anapigwa chini?
Hizo ni ndoto za mchana ndugu yangu!CHEDEMA! NI VEMA!leo utakimbia maneno yako yote uliyosema hapa. kwi kwi kwi
JmUshi1,
Unachozungumza kitu gani?....
Labda hukusoma vizuri nilichoandika.. Mila ya Tamaduni za makabila yetu hayajengi Ukabila isipokuwa kuzielewa na kuyaheshimu ndiko kutajenga jamii moja. Unapokana kuwepo kwa mila na tamaduni za baadhi makabila ndiko kunajenga Ukabila..
Mkuu, wewe hujui kabisa mila za watu wa Mara na utakuwa na wakati mgumu sana kama utafikiria nje ya kujifunza kuishi na wengine ikiwa wewe unafikiria kuwa Uafrika ni rangi ya ngozi yako!.. Hiyo rangi mkuu ni mkusanyiko wa vitu vingi sana.
La uchaga nyinyi ndo mmeona upungufu katika chama!CCM sio cha kiislamu ndani ya CCM kuna waislamu,wakristo na wasio na dini!Hicho ndo chama cha mapinduzi!Na hivi karibuni Tanzania nzima ukweli utaanikwa wazi ili ijulikane kuwa ccm ni chama cha kiislam. Kwenye hili la uchaga, ccm mmechemsha hapa.
Sasa tukiwaachia Taifa itakuwaje?inabidi mjitahidi kukomaa!
La uchaga nyinyi ndo mmeona upungufu katika chama!CCM sio cha kiislamu ndani ya CCM kuna waislamu,wakristo na wasio na dini!Hicho ndo chama cha mapinduzi!
MKUU mimi sidhani hapa kuna swala la uchaga, uhaya au unyalukoro. hivi hawa watu wametumia kifungu gani kikatiba kumsimamisha mtu aliechaguliwa na wanachama wengi? Naona sasa Chadema nao wanaanza yale yale ya NCCR, TLP na vyama vingine tulivyopata kuviona
Chadema ni chama chenye makabila yote ila ccm inaonekana uislam ndio unatumika kuongoza chama. kazi kweli kweli.
Basi siku nyingine usirudie kuleta mitaarifa isiyokuwa na kichwa wala miguu na kujiondolea credibility.
Hakuna vichwa panzi hapa wa kuwapeleka peleka. Kusoma chuo kimoja na mtu haina maana unaweza kuaminiwa kila ukileta mitaarifa isiyo leta isiyokuwa substantiated.
Tuwape nchi CHEDEMA?hiyo wasahau sasa hivi CCM ina kazi moja ya kusafisha mafisadi!Chadema wakipewa uongozi wa nchi hawatauza nchi, hawataleta richmond, hawataiba BoT, na hawataweka pesa nje ya nchi (wakiziita visenti) kama CCM
Sijaja kutafuta credibility,Ukweli nimeuweka na nimesema muulizeni Zitto shahidi kwa hili la Kitila kubadili vyama kama anabadili shati au koti,Kati yenu hakuna anayemjua vizuri Kitila kuliko Zitto, hamkumuelewa Makamu wenu mbunge Wangwe itakuwa na mimi? Historia inakuja kumpa haki yake Wangwe.
Kama mlimpa Wangwe vyeo vyote hadi mwenyekiti hamkujua wala kusumbua akili zenu kujua ni mtu wa namna gani,mnakuja kujua leo.mmeshindwa kumjua chacha Wangwe mtamjua Kitila? inaonekana huko Chadema ni eneo la chaka watu wanajificha, inabidi muwe na VETTING OFFICER, au itakuwa mnalia na mapandikizi kila siku, wajanja hawaumwi na nyoka mara mbili kwenye shimo moja.
KITILA anaona aibu gani kusema hana utulivu kwenye vyama?
JmUshi1,
Unachozungumza kitu gani?....
Labda hukusoma vizuri nilichoandika.. Mila ya Tamaduni za makabila yetu hayajengi Ukabila isipokuwa kuzielewa na kuyaheshimu ndiko kutajenga jamii moja. Unapokana kuwepo kwa mila na tamaduni za baadhi makabila ndiko kunajenga Ukabila..
Mkuu, wewe hujui kabisa mila za watu wa Mara na utakuwa na wakati mgumu sana kama utafikiria nje ya kujifunza kuishi na wengine ikiwa wewe unafikiria kuwa Uafrika ni rangi ya ngozi yako!.. Hiyo rangi mkuu ni mkusanyiko wa vitu vingi sana.
Hii wala haihitaji uende chuo kikuu ndo ugundue huu uchaga ndani ya chama!wabunge sita wa kuteuliwa 5 wanatoka kanda moja!Soma wanachoandika wana ccm - Hollo na Gembe uone wanachosema kuhusu ukabila chadema. Hapa JF watu husoma kabla ya kutoa maoni yao.
Tuwape nchi CHEDEMA?hiyo wasahau sasa hivi CCM ina kazi moja ya kusafisha mafisadi!
Hii wala haihitaji uende chuo kikuu ndo ugundue huu uchaga ndani ya chama!wabunge sita wa kuteuliwa 5 wanatoka kanda moja!
Eti chama cha demokrasia na maendeleo
CHADEMA NI VEMA!Wangwe wewe usijali ili mradi uliwapa fact!
Hata YESU alisulubiwa kwa kusema ukweli na akadhihakiwa japokuwa alikuwa nayo haki!

Jamani MKK kweli mtatushinda kwa kura kama ndo hata pesa za kuanzisha matawi wilayani mnabana?Sasa hizo kura mtazipata wapi za kuishnda CCM?Mhh ccm hamtaachia uongozi mkishindwa kwenye kura? nimeanza kusmell uzimbabwe hapa.