CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?


Wewe Si Ulitoa Mfano Wa Uongozi Wa Kamati Ya Harusi?
Sasa Chama Ni Kamati ya Harusi?
Na Kama Ni Kweli Mbowe Kakifanya Chama Kama Kamati Ya Harusi..then Makosa Ni Yake.
Lakini..haina Maana Kuwa Wangwe Nae Ni Safi!

NB:Kama makosa hayo kweli kayafanya MBOWE..Basi anaweza kuyarekebisha.
Kwani nani hajui kuna watu hawawapendi wachagga hata iweje?
Nani hajui kuna mapandikizi all the time?
MBOWE LABDA ALIFANYA HIVYO KWA KUJIHAMI,ILI KUEPUKA MAPANDIKIZI AMBAYO BAADAYE HUGEUKA NA KULILIA UKABILA!
NIMEULIZA...WHAT WAS THE BUTIAMA DECLARATION?
KWANINI WANGWE ALIWASILIANA NA KABURU?
MBOWE NA YEYE AMETOKA JASHO KUKIJENGA CHADEMA...NA ANASTAHILI PONGEZI NA SI KUMGEUKA HIVYO!
WAKUU WAZEE WA CHADEMA TUMIENI HEKIMA NA MUWARUDISHE HAWA WATU PAMOJA!
WANGWE NA UACHE UNAFIKI!
WENZAKO WANAJENGA NCHI KWA VITENDO WE UNABAKI NA SIASA ZA DIVISIONS!
NI LAANA!
LAANA ILIYOPELEKEA SISI KUWA WATUMWA!
 
Mgagagigikoko,
Mkuu, ebu nipe elimu hapa..
Ikiwa Kitila alikuwa vyama hivyo let's say ni kweli kuna ubaya gani kama aliondoka kwa hiyari yake tofauti na Wangwe aliyefukuzwa/viliwa uongozi!..
Na imekuwaje Kitila awe ndio issue kwa kuhama maanake hapa mkuu ni sawa na kuwashtumu watu wanaohama madhehebu ya dini kuwa sii waumini wa kweli!.. wewe nani kuelewa yote haya!
 
Hapana sizushi ninasema kwa ushahidi, nimemtaja Zitto kwa vile ni mtu wa upande wa huko, kila ninalosema hawataki kuelewa.Zitto anakuja muda gani?

Usianze kutafuta mtu mwingine wa kukusemea ulichodai kuwa una ushahidi. Ushahidi wako ambao uliahidi kuwa unao ndio tu utakusafisha kwenye hili. Kinyume cha hapo muombe msamaha Kitila kwa maana sasa hivi unasubiriwa tena kuwaomba msamaha watu wa musoma ambao umedai kuwa kazi yao wanayostahili ni ya jeshi.
 

Mkuu,

Umechanganya madawa.

Sijawahi kujadili rangi ya Obama jamvini hapa.

Hebu weka nukuu basi. Unless umechanganya majina. Angalia kama umefagia virus na malware nyingine, labda kuna technical issue, or something.

What are you talking about?
 
Yapo kwenye http://www.klhnews.com pale juu kunamahali panasema "Listen Show"...


Miye nayakosa aisee.

BTW: Kwa vile JF ina vichwa vikali sana ngoja niulize swali moja. Kama kuna mwana JF yeyote anayejua namna ya kufufua sound card ya laptop, naomba anipe ushauri kwa kunitumia PM. Najua kwenye desktop dawa ni kununua soundcard nyingine, lakini sijui kwa upande wa laptop.
 
Jmushi1,
Mkuu wewe kweli hamnazo! samahani lakini.. wapi nimesema Mbowe kaifanya Chadema kuwa Kamati ya harusi! kwani ni jukumu la Mbowe kuchagua washiriki kuunda kamati ya chama hicho?
Kilichotangulia ni nafasi ya Wangwe ambayo ni Makamu Mwenyekiti na alichaguliwa na mkutano mkuu wa chama sio kamati unayozungumzia. Ni swali ambalo bado lijnachanganya vichwa vya watu hapa kutokana na maamuzi ya kamati hiyo...
Uhusiano wa Wangwe ktk sakata hili hauwezi kupata ufumbuzi wa kweli ikiwa atatazamwa kwa darubini isiyokuwa huru kifikra yaani viongozi waliohusika kujiuliza kwanza kwa nini Wangwe alichaguliwa na wanachama. wapate kuziona hizo mila na Tamaduni za wanachama waliomchagua hata kama sababu zinapingana na fikra zao binafsi iwe kile wanachokikubali wao.
Mfano wa harusi ni mkubwa kuliko unavyofikiria na hakika itakuwa kazi kubwa sana kukufahamisha wewe maanake kwako wewe 2+3 ni lazima iwe 23.
 
Kuhani,
Samahani mkuu ni makosa yangu, nilikuwa niandike jina la Jmushi1, samahani sana sikukusudia hivyo... nadhani utanikubali kwa hilo!
 
Kawaua watu wa Musoma pia?

Sio tu watu wa musoma pekee, amesema pia kuwa watu wa mkoa wa singida hawana uwezo na maamuzi mazito, soma alichoandika hapa:

 
Na WANGWE anijibu swali hili...Kama kweli unaipenda TANZANIA NA WALA SI KUWA UNA LAKO JAMBO...Then ni kwanini HUKWENDA ccm KUISAFISHA DHIDI YA MAFISADI NA UKAENDA CHADEMA KUKISAFISHA DHIDI YA UKABILA?
Kweli WEWE UMEONA UKABILA NI MKUBWA TANZANIA KULIKO UFISADI?
AMA UNATAKA KUTUMIA UKABILA KAMA KINA CHENGE ILI KUVURUGA ISSUE YA UFISADI?
Una nia gani?
Ni kivipi LUGHA ZAKO ZIFANANE NA KINA CHENGE HALAFU UJIDAI MPINZANI?
WE NA CHEYO NI WATUMWA WA AKILI!
NA NINAKUTAKA UWAOMBE MSAMAHA VIONGOZI NA MRUDI PAMOJA KULIJENGA TAIFA KAMA KWELI NIA ZENU WEWE NA MBOWE NI NZURI!
 

Mbowe Si Mchagga?
Ama Unakwepa?
Honestly...nilikuwa Nakupa Respect Lakini Nishaona We Hovyo Sana Tu!
Yani Unapinga Kuwa Hukutoa Mfano Wa Kamati Ya Harusi Kwa Kulinganisha Na Mfano Wa Namna Mbowe Kaajiri Watu?
Fool Me Once!
 
Kama we MKANDARA UNAONA MBELE...BASI UNGERUDI HUKO ccm YAKO UKAWATOE KINA ROSTAM NA CHENGE KWANZA!
MAKABILA MAKUBWA NYIE NA MNALETA UNAFIKI WENU HAPA!
NENDA PIGA KELELE TUPATE HAKI NA UHURU WETU NA SI KUWAGAWA WATANZANIA MAMLUKI WA SHETANI!
 
JmUshi1,
Nimesema hivi kwako wewe 2+3 ni lazima iwe 23 hivyo itakuwa kazi kubwa kukufahamisha nje ya hapo!..

Naendelea na Mjadala...
Wakuu mimi ningependa tuyaweke hapa malalamishi ya Wangwe na tuyatazame kwa fikra huru kuona uzito wake badala ya kutazama judgement ya kamati hiyo kwanza. Kwa sababu kama kuna ukweli ktk madai yake ama ndivyo halisi halisi inavyoonekana kwa wanachama na wananchi basi hili ni SWALA ZITO zaidi kwa chama na isichukuliwe kama ni kuharibu jina la chama ila kutafuta haki na amani ktk kukijenga chama kama tunavyofanya kwa CCM.
Sifa mbovu alizopewa Wangwe haziwezi kuwa sababu zinazokubalika kwa baadhi ya watu ktk nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Na kama kweli hizo kero za mtu huyu zinatokana na kile alichowakilisha ambacho kinakiuka kanuni za chama sasa ni wakati wetu kujiuliza Je, kile kilichotendeka kuligana na madai ya Wangwe kinakubaliaka na wanachama?..Kimepokelewa vipi na wananchi!
Kumbukeni kuwa CUF ina makovu mengi sana kutokana na wao kushindwa kuyatazama malalamiko ya baadhi viongozi waliopita na kuondolewa kwao hakukuweza kuondoa dosari zilizokwisha jengwa ndani ya chama hicho!..
Nitapendekeza zaidi kuweka hoja za Wangwe hapa kisha tupate majibu toka kwa kina Kiltila kulingana na madai hayo na sio kumtazama Wangwe kama mtu wa aina gani, bali kauli zake ktk mchango wa chama hata kama zinabomoa uhusiano wa baadhi viongozi...Hoja za wangwe zijibiwe kwa hoja na sio Wangwe ni mtu wa aina gani!
 

You say firmly with an affirmative tone! i quote you once again "...it is true Chacha Wangwe is not party leadership material...", but what you hide and you didn't want to give us a favor is, how did you reach to this solid conclusion of of a self proclaimed truth that Chacha Wangwe is not a party leadership material, tell us what wrong has he done?, what has he done, that carries the weight of being pushed aside in such a manner?!!!!!!!, Lisu has come with those accusation including that of i quote him "The Wangwe he knew is not the Wangwe he saw that day", which in the other sense meant that Wangwe is not a good leader, but if you well analyse that accusation you will see that, they are really abstract , where is the really evidence that Wangwe did (a)this (b) that? ,
As passionate as you may be and "Shakespearen wise" as you may not be, this doesn't make Wangwe a "shakespearen fool" as you want him to be, at least This is not the wrongdoing he committed that carries the heavy punishment of the so called commitee. i can credit you with the good and precise adhominen attack, that is well versed in the language of our beloved Queen, but we all know that politician have some gaffes, it is not strange Wangwe to make some gaffes whether in the parliament or outside the Parliament, but this doesnot make him unfit, it is not a competition of eloquency here, it is a matter of truth, good leadership and accountability based on justified means


Here you are right, i totally agree with you!,
This doesnot necessary portray democracy in chadema!, it can instead portray chaos, bias, it can portray a party which doesnot do their homework well, To charge and dismiss leaders based on rumours!, this doesnot reflect elements of maturity, To dismiss a leader is not an issue, the issue is to dismiss The bad leader based on evidence, truth and wisdom

chadema shouldnot be congratulated, they should be asked hard question and be told the truth

WHAT WRONG DID CHACHA WANGWE DO?, AND WHAT IS THE EVIDENCE OF WHAT HE DID?.
WAS THIS THE ONLY BEST OPTION OR THEIR COULD BE THE OTHER BETTER OPTION?, WHY DID YOU CHOOSE THE FIRST OPTION AND DISMISS THE OTHER?
 
Msikilizeni Wangwe yeye mwenyewe akielezea kilichotokea na msikilize majibu yake.
 
Gamba,

If you are a loose canon with no communication skills you will do more harm than good to the party.Do you dispute that Chacha Wangwe is a loose canon with no communication skills?
 
Mkuu,

Umechanganya madawa.

Sijawahi kujadili rangi ya Obama jamvini hapa.

Hebu weka nukuu basi. Unless umechanganya majina. Angalia kama umefagia virus na malware nyingine, labda kuna technical issue, or something.

What are you talking about?

Wewe ya kwako iko wapi niliposema mimi ni JF Mtandao? Usianze kuomba nukuu kutoka kwa watu wengine wakati wewe mwenyewe una deni....
 
Gamba,

If you are a loose canon with no communication skills you will do more harm than good to the party.Do you dispute that Chacha Wangwe is a loose canon with no communication skills?
no sir i dont accept that!, what wrong did he do?. if communication skill is the only qualification for leadership then Mute people are automatically excluded from offering services to their community even if they can!. sweet talk is different from actions, to me gaffes can be an issue sometimes but not all the time, what i want to see is whether some body can deliver or not!
lack of eloquency or gaffes can not be a reason to punish Wangwe or push him aside.

To call wangwe a loose canon in your own sense can not be a loose canon at all, instead it can be a person who view things on his own way and who is ready to stand and air his opinion without fear of the chairman's whip!

BUT AGAIN WHAT WRONG DID CHACHA WANGWE DO?, I THINK THE ANSWER WONT BE HE IS GOODMAN VERSUS BAD MAN, WHERE IS THE EVIDENCE THAT HE IS A BAD LEADER, THAT HE DESERVE TO BE PUSHED ASIDE?

Tundu Lisu say he is still a friend of Wangwe and he is ready to help Wangwe in his case (election case), but the question is if this man doesnot fit to push forward chadema's agenda through his position of vice chairman, and in Tundu Lisu's own words that this man conpires against his own party then why still support him to win the constituency through the ticket of your own party which you openly declare that the man conspires against?

THE ANSWER IS SIMPLE " RUZUKU", wangwe Goes Ruzuku goes,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…