Mkamap,
Binafsi nina hakika huyu Sio Mbowe kutokana na uandishi wake!..Pili, hata wewe mwenyewe hutapendeklea kitendo ulichofanya kama ingekuwa umesimama upande wa pili... Kumbuka maneno ya biblia!.. ama kiswahili safi wanaposema mkuki kwa nguruwe!
Mh. Zitto,
Shukran sana, na ndio maana nawapenda Chadema kwa kuwa mbele ktk kujibu hoja ambazo ni muhimu sana kwa wananchi pamoja na kwamba sii lazima mzitoe. Na kama walivyotangulia wenzangu naungana nao kwa kusema kwamba haya majibu yako ndio majibu yaliyotakiwa toka mwanzo, yaani tumeipoata picha vizuri sana... Sasa labda ningeomba kitu kimoja hapa huyo Wangwe alitaka fedha hizo zigawanywe vipi?... na ktk kutazama madai yake hivi ni asilimia ngapi ya fedha zenu hutumika Makao makuu pamoja na kwamba hili ni swala la chama..Hesabu ulizotupa zinazungumzia tu kiwango kinachokwenda mikoani na utaratibu uliotumika lakini haitupi picha zaidi kuwa Makao makuu wao hupewa kiwango gani ambacho kimesababisha Wangwe kuweka madai makubwa kama haya.
Kama haiwezekani na ni swala la ndani ya chama nitakuelewa... Labda kwa kuongezea tu..
1. Je kuna mikakati gani (inayohitaji fedha) mmejiandaa ktk kuboresha majimbo dhaifu ambayo ni muhimu ktk uchaguzi ujao kutokana na population ya sehemu hizo.
2. Sijui kama kuna ametangulia kuuliza hili huko nyuma kuhusiana na madai ya hao wabunge wateule! - hayo ya Ukabila kama alivyosema Wangwe, hapa Mkuu wewe binafsi unaiona vipi picha hii na unaweza kufafanua kwa wananchi?.