CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

"Dkt. Slaa (Wilbroad), mkewe ni kada wa CCM aliyekubuhu ni Diwani wa kuchaguliwa wanakaa pamoja, simu, nyaraka zote, wageni wote wanaokuja mama anasikiliza, hawanitendei haki mimi kwa hili," alisema Bw. Wangwe

Dr. Slaa
Hili jambo ni kweli?kama ni kweli basi wangwe hapa inaweza kuwa kaonewa,kumtuhumu uhusiano wake na kaborou?Haya mambo yachunguzwe,jamani chadema si mansma uwazi ndiyo sera?tunaomba ripoti ya mziray uimwage hapa tupate kuoanisha maelezo ya chadema na ya wangwe tujue nani anachemka, au vipi wana jamvi?
 
Sio Kabourou tuu aseme na kwa RA alipokutana naye Kilimanjaro Kempinsik room namba 210 kwa masaa manne walienda kufanya nini?

Utajitahidi sana kumtetea na wewe Ballile acha mchezo huo na gazeti lako.

Mwanaume mmoja na mwanaume walikuwa chumba namba 210??Wewe Mkuu hizi mbona ni kashfa nzito sana na tena inatolewa na wewe Kada maarufu wa CHADEMA?

Mmeamua kuchafuana sasa?hii ni aibu kubwa sana..ina maana RA na Wangwe ni "..."?nachoamini ni kuwa CHAMA hakiwezikuvurugwa namtu mmoja tu ila ni maamuzi ya Ujumla,inawezekana walikutana kwa sshughuli za Kawaida tu

Sidhani kama kuna sheria ambayo inakataza watu wa vyama ofauti kukaa pamoja na kuzungumza,kama Mke wa Dr. Slaa ni CCM na slaa ni CHADEMA sasa unataka wasikae pamoja chumba kimoja wakazungumza?Hivi hatuwezi kuhisi DR. Slaa na yeye huwa anmpa mkewe siri za CHADEMA.

I know somethin so funny about Upinzani which Few of you you might know..terrible
 
Wangwe aje hapa na kusema kuwa ni kwanini Tangu issue ya Buzwagi hajawahi kuongelea suala la madini kama ilivyokuwa awali.

Barrick North Mara walikutana naye na kikao kiliendeshwa na Teweli sasa anapaswa kujua kuwa watu walikuwa wanamfuatailia kila kona ya njia zake na hata account ya mkewe ambayo ndio imekuwa ikitumika kuingizia hayo mafungu kutoka kwa mafisadi please lets be realistic na wa kweli .

Hivi Chacha leo ni mtu wa kwenda kujitetea kwenye magazeti ya majira na Mtanzania kweli ....Hamuoni tatizo hapo ?
Jamani hebu tusimguse guse tu wangwe tukamwacha wenye data hebu mwageni hapa data zake ili tujue ni ndumilakuwili au la?manaake humu ndani mshaanza kuwa na kambi tatu,pro wangwe,anti wangwe na tusiojua kitu sana kuhusu kambi zote mbili,yaani general commentators.
 
What matters here je yale anayoyasema yana uzito gani?Haijalishi mtanzania majira au Tanzania Daima!

Haya magazeti yanajulikana kuwa na mahusiano ama ya kumilikiwa na mafisadi moja kwa moja hivyo kama hana mahusiano na hao mafisadi kwa nini aende kwenye vyombo hivyo badala ya kuitisha press conference kama alivyozoeleka na akaulizwa maswali na waandishi huru?
 
Humfahamu hata kidogo ,kwani usingesema kuwa amekuwa diwani wa siku nyingi...hii inaonyesha kuwa hujui.

Pili wewe kama unawajua hao mapandikizi wataje kwa majina yao sio kuishia kusema eti wapo wengi wapi hao?

Tatizo lenu hua hamtaki kujadili ukweli uko wapi??? Hoja za wangwe niza msingi sana kwa kuimarisha chama chenu,,sasa mnaanza siasa za maji taka oooh wapiga kura wake wamekaa sijui nini...siasa za kizamani sana hizo zimeshapitwa na wakati..Hapa mnatakiwa mjadili hoja zake,
(1) Ruzuku kwa kuimarisha chama mikoani
(2) Ukabila (Hiki ni kitu kimekua kikiongelewa na watu wengi na wala wangwe sio wa kwanza so jadilini ukweli wa hoja zake)
 
Wangwe aje hapa na kusema kuwa ni kwanini Tangu issue ya Buzwagi hajawahi kuongelea suala la madini kama ilivyokuwa awali.

Barrick North Mara walikutana naye na kikao kiliendeshwa na Teweli sasa anapaswa kujua kuwa watu walikuwa wanamfuatailia kila kona ya njia zake na hata account ya mkewe ambayo ndio imekuwa ikitumika kuingizia hayo mafungu kutoka kwa mafisadi please lets be realistic na wa kweli .

Hivi Chacha leo ni mtu wa kwenda kujitetea kwenye magazeti ya majira na Mtanzania kweli ....Hamuoni tatizo hapo ?

Mengi yatasemwa!Kumbuka huyu bado ni mwanachama wa CHADEMA!
Kuhusu kulalamika gazeti la MTZ au Majira mimi naona haimati what matters ni uzito wa maneno yake!
 
Mwanaume mmoja na mwanaume walikuwa chumba namba 210??Wewe Mkuu hizi mbona ni kashfa nzito sana na tena inatolewa na wewe Kada maarufu wa CHADEMA?

Mmeamua kuchafuana sasa?hii ni aibu kubwa sana..ina maana RA na Wangwe ni "..."?nachoamini ni kuwa CHAMA hakiwezikuvurugwa namtu mmoja tu ila ni maamuzi ya Ujumla,inawezekana walikutana kwa sshughuli za Kawaida tu

Sidhani kama kuna sheria ambayo inakataza watu wa vyama ofauti kukaa pamoja na kuzungumza,kama Mke wa Dr. Slaa ni CCM na slaa ni CHADEMA sasa unataka wasikae pamoja chumba kimoja wakazungumza?Hivi hatuwezi kuhisi DR. Slaa na yeye huwa anmpa mkewe siri za CHADEMA.

I know somethin so funny about Upinzani which Few of you you might know..terrible

Gembe
Sio lazima wanaume wawili wakiwa chumba kimoja wawe wanalawitiana,yapo mambo ya mazungumzo yanayohitaji faragha huwezi kuyalimit kwenye jambo hilo tu.Kwani wee ukitaka kuongea dili na mtu fulani hata kama ni mwanaume mtaongelea reception?suppose they were counting money from a certain deal.
 
Mwanaume mmoja na mwanaume walikuwa chumba namba 210??Wewe Mkuu hizi mbona ni kashfa nzito sana na tena inatolewa na wewe Kada maarufu wa CHADEMA?

Mmeamua kuchafuana sasa?hii ni aibu kubwa sana..ina maana RA na Wangwe ni "..."?nachoamini ni kuwa CHAMA hakiwezikuvurugwa namtu mmoja tu ila ni maamuzi ya Ujumla,inawezekana walikutana kwa sshughuli za Kawaida tu

Sidhani kama kuna sheria ambayo inakataza watu wa vyama ofauti kukaa pamoja na kuzungumza,kama Mke wa Dr. Slaa ni CCM na slaa ni CHADEMA sasa unataka wasikae pamoja chumba kimoja wakazungumza?Hivi hatuwezi kuhisi DR. Slaa na yeye huwa anmpa mkewe siri za CHADEMA.

I know somethin so funny about Upinzani which Few of you you might know..terrible

Sorry Gember
sikukusoma mpaka mwisho naungana na idea zako sio lazima wawe walikuwa wanafanya hicho watu walichofikiri. Tuko pamoja mkuu,kwi!kwi!
 
Ruzuku soma gazeti la nipashe la leo ukurasa wa nne katibu wake wa huko Tarime kasema kuwa wao kama chama wamekuwa wakipelekewa shilingi laki nne kila mwezi tangu mwaka jana kabla hata hajawa makamu mwenyekiti wa chama .
 
kwa jinsi tunavyoifaham historia ya wangwe sikubaliani na wewe hata kwa sekunde mbili,,,Mapandikizi ndani ya chadema yapo mengi sana lakini sio wangwe...wangwe amekua diwani siku nyingi sie tuna mfaham kwa muda sana na itikadi na misimamo yake inaeleweka...CHADEMA lazima wakubali kubadilika na sio vizuri kumchukia mtu anaewaambia ukweli...mkiendelea hivyo hatutaona tofauti yenu na CCM ambao huweza hata kumuua mtu anaesema ukweli

Hivi Nyererist unacheza na fedha za Mafisadi?

Unaijua vyema historia ya Kabouru wa kigoma (CHADEMA)? ulitegemea hata siku moja awe alivyo?

Unaijua historia ya Tambwe Hiza wa CUF? ulitegemea awe mzee wa propoganda mdebwedo kama alivo sasa?

mfano:
Siku nilipo shangaa hela ya mafisadi inavo weza mfanya mtu kama taahira, Siku moja niliona kipindi akihojiwa yeye pamoja na Datoo, yule mwandishi mahili, ali muuliza kwamba, uchaguzi wa Kiteto mbona waliojitokeza kupiga kura ni wachache huoni ni tatizo? unajua jibu alilotoa?... oh my God,

... wao ni chama kinacho pendwa hata kama waliojitokeza kupiga kura ni wachache wao wanapendwa na wameshinda...

Amua mwenyewe mkuu... jibu hilo kwa swali hilo, Hiza yule? kwanini Wangwe asiwe hivo?? achana na mafisadi bwana!
 
Ruzuku soma gazeti la nipashe la leo ukurasa wa nne katibu wake wa huko Tarime kasema kuwa wao kama chama wamekuwa wakipelekewa shilingi laki nne kila mwezi tangu mwaka jana kabla hata hajawa makamu mwenyekiti wa chama .

Maji taka...tulikua tunaanza kuiamini Chadema lakini kumbe ndio yaleyale ya Mrema (mchaga) kwamba yeye ndie chama na chama ni chake akiamua kumfukuza mtu anamfukuza mara moja..Wengine walikua wanasema chadema mradi wa Mbowe na wachaga wenzake (NGO)...kwa mbali naona kuna ukweli maana hamjajibu hata hoja yake moja badala mnarukaruka...watu tumeelimika na tunajua kureason bwana
 
Hapa hata mie ninaona kuna harufu ya "UKABILA" coz sioni kama hiyo ni point kwa chama kinachothamini democracy na kinaendeshwa na watu wapenda siasa za kisasa

bora ukabila kuliko ufisadi
 
Hivi Nyererist unacheza na fedha za Mafisadi?

Unaijua vyema historia ya Kabouru wa kigoma (CHADEMA)? ulitegemea hata siku moja awe alivyo?

Unaijua historia ya Tambwe Hiza wa CUF? ulitegemea awe mzee wa propoganda mdebwedo kama alivo sasa?

mfano:
Siku nilipo shangaa hela ya mafisadi inavo weza mfanya mtu kama taahira, Siku moja niliona kipindi akihojiwa yeye pamoja na Datoo, yule mwandishi mahili, ali muuliza kwamba, uchaguzi wa Kiteto mbona waliojitokeza kupiga kura ni wachache huoni ni tatizo? unajua jibu alilotoa?... oh my God,

... wao ni chama kinacho pendwa hata kama waliojitokeza kupiga kura ni wachache wao wanapendwa na wameshinda...

Amua mwenyewe mkuu... jibu hilo kwa swali hilo, Hiza yule? kwanini Wangwe asiwe hivo?? achana na mafisadi bwana!

Mie sina neno na swala la mtu kuhongwa na mafisadi au kua msaliti hilo sina kipingamizi...mie ninachopigania hapa ni madai ya bwana wangwe kwamba mbona chadema wameyadharau na kuanza kumpaka matope??? wakati akifanya hivyo walikua wapi na je kuna ushahidi wowote kwamba amekua akitoa siri za chama?? wangwe amedai anaushahidi na hoja zake kwamba uongozi na management ya chadema imejaa wachaga pili ruzuku inaishia makao makuu badala ya kujitanua mikoani na wilayani hatimaye nchi nzima...tuwe tunakubali hoja zenye ukweli
 
bora ukabila kuliko ufisadi

Acha kukurupuka bwana mdogo,,hapa hoja yangu inajenga kukijenga na kukiimarisha chama cha chadema na wala sina ubia na chama chochote,,swala la ukabila linakikosesha umaarufu chama hicho baadhi ya maeneo nchini
 
Mpaka kieleweke,

Tatizo siyo Wangwe ,kumbe ni tatizo yeye kuzungumza na Rosta??Na magazeti ya Majira na Mtanzania hamshirikiani nayo?Huyu ni Ubaguzi mwingine ambao unatakiwa kupingwa.

Mie nasoma kila Gazeti,wewe unataka Magazeti ambayo yanasifia CHADEMA tu?tutapataje Ukweli toka pande zote kama tusiposoma Magazeti.

Naomba muongeze hii sababu kwamba kufukuzwa kwa Wangwe kulichangiwa nakuongea kwake na Rostama pale Kempski.

Na wewe kama Mwanaume unakuwa unafuatilia mambo ya watu kwa sababu gani,hauna kazi nyingine ya kufanya ??unachunguza kiongozi wako anafanya nini na nanii??au ndiyo kazi yako hapo CHADEMA
 
Mpaka kieleweke,

Tatizo siyo Wangwe ,kumbe ni tatizo yeye kuzungumza na Rosta??Na magazeti ya Majira na Mtanzania hamshirikiani nayo?Huyu ni Ubaguzi mwingine ambao unatakiwa kupingwa.

Mie nasoma kila Gazeti,wewe unataka Magazeti ambayo yanasifia CHADEMA tu?tutapataje Ukweli toka pande zote kama tusiposoma Magazeti.

Naomba muongeze hii sababu kwamba kufukuzwa kwa Wangwe kulichangiwa nakuongea kwake na Rostama pale Kempski.

Na wewe kama Mwanaume unakuwa unafuatilia mambo ya watu kwa sabau ganai,hauna kazi nyingine ya kufanya ??unachunguza kiongozi wako anafanmya nini na nanii??au ndiyo kazi yako hapo CHADEMA


Hayakuhusu hata kidogo .
Kuhusu kuwa nipo CHADEMA ndio kuchemka kwenyewe huko na kukurupuka un afikiri kila mwenye kuijua CHADEMA yupo hapo makao makuu yao?

Nitaweka ya CCM ya ndani ndipo uweze kuamini kuwa mimi ni mfuatiliaji wa mambo na nipo kwenye kazi zangu na ndio maana nipo humu muda mwingi kwani niko nchi yenye access ya internet all the time.
 
Humfahamu hata kidogo ,kwani usingesema kuwa amekuwa diwani wa siku nyingi...hii inaonyesha kuwa hujui.

Pili wewe kama unawajua hao mapandikizi wataje kwa majina yao sio kuishia kusema eti wapo wengi wapi hao?

Amekua diwani wa tarime mjini toka 2001 hadi leo hii, ni mwenyekiti wa chadema mkoa, na vyeo kibao...so kuanzia 2001 sio mbaya ni miaka mingi mnapaswa kumheshim kwa mchango wake na harakati zake. Kwa kuzingatia mchango wake kwa chadema, anachokisema ni kweli na watu wengi wanamuunga mkono kama unavyoona hapa JF,,,siku zote tumekua tukiunga mkono jitihada za chadema but kwa hapa its a wrong truck you are taking...rudini mezani mjadili hoja zake na sio kumfukuza eti kwa sababu Mbowe kasema
 
Tarime waunga mkono kusimamishwa kwa Wangwe

2008-07-04 09:21:55
Na Simon Mhina


Uongozi wa CHADEMA wilayani Tarime, umemgeuka mbunge wao, Bw. Chacha Wangwe kuhusiana na kusimamishwa kwake uongozi.

Bw. Wangwe pia ni Makamu Mwenyekiti wa wa chama hicho.

Pamoja na kuunga mkono, uongozi huo umepinga madai yake kwamba rukuzu inayotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa haifikishwi mikoani.

Aidha, uongozi wa chama hicho mkoani Mara, umeelezea kusikitishwa na madai ya Bw. Wangwe na kusema hivi sasa wanamtazama kama mtu asiyekitakia mema chama hicho.

Akizungumza na Nipashe jana, Katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Tarime, Bw. Joseph Anthony alisema inasikitisha kuona kiongozi wa juu wa chama kama Bw. Wangwe anaanzisha hoja ya malumbano yenye nia ya kukiangamiza chama.

Akifafanua alisema inasikitisha kuona Bw. Wangwe akitoa taarifa zisizo sahihi kwenye vyombo vya habari kwamba ruzuku ya chama hicho inaishia makao makuu.

Kwa mujibu wa kiongozi huyo, Wilaya yake ya Tarime inapokea Sh. 400,000 kila mwezi kwa ajili ya matumizi ya kukijenga chama.

Kwa msingi hiyo, Bw. Joseph alisema wilaya ya Tarime inaunga mkono kusimamishwa kwa Bw. Wangwe katika nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti.

Aidha, alimshauri Bw. Wangwe kuacha mipango yake ya kukata rufaa Baraza Kuu la chama kupinga uamuzi wa kusimamishwa na badala yake asubiri uchaguzi mkuu ujao.

Alisema Bw. Wangwe anatakiwa kujirudi na kujisafisha kwa njia ya kushirikiana na viongozi wenzake, kuacha malumbano kwenye vyombo vya habari na kukanusha tuhuma dhidi ya viongozi wenzake.

Naye Mwenyekiti wa Mkoa wa Kigoma, Bw. Jafar Kasisiko alisema wao wana wasiwasi mkubwa kwamba Bw. Wangwe anatumiwa kukivuruga chama.

Bw. Kasisiko alisema anachokifanya kiongozi huyo hadi akasimamishwa kina lengo la kuwafanya mafisadi wafurahie.

Mwenyekiti huyo alisema wilaya zake zote zinapata gawiwo la ruzuku tofauti na madai ya Bw. Wangwe.

SOURCE: Nipashe
 
The Citizen (Dar es Salaam)

3 July 2008
Posted to the web 3 July 2008

Joas Kaijage

Kagera Region members of the Chadema national governing council have challenged the recent suspension of party vice-chairman Chacha Wangwe which was approved by the party's national executive committee.

The members, who vowed to vote against the decision during the forthcoming meeting of the council, said the suspension of Mr Wangwe was a result of deep-rooted problems among the party's top brass which should first get cleared instead of "victimising the critics within the leadership".

A governing council member who requested for anonymity said the suspension of Mr Wangwe was a result of machinations of some individuals "who were not ready to see any of the party's national leadership positions held by members hailing from regions other northern part of the country".

He said such ideologies were the very reasons behind the defection of the party's former vice-chairman, Dr Walid Amani Kaborou, who shifted to CCM, paving the way for Mr Wangwe to replace him.

"Clear opposition by the party's top leadership to Mr Wangwe's election was a sign that they were not ready to work with other than individuals from the northern regions," the governing council member underlined. Without giving figures, he said that the nomination of women MPs for the special seats slots was conducted with bias whereby those elected originated from the northern regions.

He said that is why during Mr Wangwe's election, members from other regions opted to use the popular slogan "people's power" to fight the stereotyped northern party dominance entertained by the top brass. However, he said together with members from the rest of the regions, Kagera council members were prepared to fight tooth and nail to ensure democracy within the party was nurtured, adding that leadership cannot be imposed on Chadema members.

"You know this is costing our party a lot because the defection of Dr Kaborou for instance led our party to lose many councillors to CCM," the concerned activist noted. Dr Kaborou was Kigoma Urban MP for years before crossing over to CCM. The party won a majority of councillors in the town council, holding the Kigoma urban mayorship for two five-year terms.

If the party calls governing council members for a meeting to endorse the suspension of Mr Wangwe, the Kagera group vows to ensure that the meeting was attended by eligible members "so that democracy and people's power take their right course," he further stated. "If Mr Edwin Mtei and other founder members believe that the party's top leadership should be dominated by people from their tribe they were no different from what Robert Mugabe was doing," they said.

It was high time this group was reminded that democracy starts from bottom to the top and not otherwise, they quipped. The members charged that the leadership's failure to support party activities at regional levels owes to lack of transparency as financial affairs were handled by a small group of people.

"Party members knew nothing about what friends from inside and outside the country had donated to support their party," the Chadema stalwart observed. Kagera is represented by three members in the national governing council, two of whom stay in the region and one resides in Dar es Salaam.
 
Hayakuhusu hata kidogo .
Kuhusu kuwa nipo CHADEMA ndio kuchemka kwenyewe huko na kukurupuka un afikiri kila mwenye kuijua CHADEMA yupo hapo makao makuu yao?

Nitaweka ya CCM ya ndani ndipo uweze kuamini kuwa mimi ni mfuatiliaji wa mambo na nipo kwenye kazi zangu na ndio maana nipo humu muda mwingi kwani niko nchi yenye access ya internet all the time.
kama hayanihusu kwanini uliyaleta hapa??Mie sijakurupuka,ushahidi kama wewe uko CHADEMA ni wa wazi na hauhitaji hata Chembe ya kusema tukuchunguze,Umetueleza mambo mengi ya CHADEMA,umeleta Hotuba za kina Slaa na Zitto hapa,muda mfupi baada ya kusomwa bungeni.Au unataka kusema wewe siyo CHADEMA ila ni mtu wao wa Karibu.what i can tell is i know you Prop kwamba wewe ni CHADEMA na uko upande wa Mbowe
 
Back
Top Bottom