Mtuwamungu
Senior Member
- Jun 21, 2007
- 110
- 2
hata bado mtasema sana mwaka huu lakini mnalo limewaganda
kama lile la uislam ndani ya ccm lilivyowaganda wana ccm. Mkuki kwa nguruwe, mlisema ohh CUF chama cha kiislam, ohh viongozi wake wengi ni waislam, ohh CUF chama cha wapemba, ohh UDP chama cha wasukuma, ohh TLP chama cha wachaga, ohh CHADEMA chama cha wachaga.
Sasa imegundulika kuwa CCM ni chama cha waislam. Aibu kweli, mnadaganya watu wa mwanza na shinyanga kuwapigia kura kwa wingi huku mkichagua viongozi wengi toka visiwani? tena wa dini moja?
halitunyimi usingizi na tunakunywa maji na kusonga mbele, hasara iko kwenu mnaomwagiana mboga na ugali
Nilihisi kuwa suala la udini haliwanyimi usingizi maana mmejaa udini hadi kwenye mifupa. Taratibu tu hizi habari za udini ndani ya ccm zitasambazwa kwa wananchi wote Tanzania ili wajue ajenda ya siri ndani ya ccm na jinsi ambavyo viongozi wake udini sio tatizo kwao na hawajali maoni ya wananchi.
watanzania wepi ? si wale mliowatukana kuwa wajinga kwa sababu tu wamewakataa malaghai wapinzani
leo hawa mnaowaita wajinga mtaenda kuwaambia nn? ccm inafahamika vyema na wananchi
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha kuwa alikikopesha chama chake sh. milioni 500 kwa ajili ya kampeni na pia amekuwa akikikopesha chama hicho mara kwa mara mahitaji yakijitokeza. Huyu ndio Mbowe anayedaiwa na taifa la Tanzania na ameshindwa kulipa deni hilo kwa taifa kwa madai ya kushindwa kufanya hivyo! kwa hili Mbowe amedhihirisha kuwa kwake yeye chama na maslahi yake binafsi ni muhimu kuliko maslahi ya taifa.
Mbowe hafai kuongoza nchi yetu.
..anayekopa na anayejichukulia kwa kughushi,yupi sahihi?
..kuongoza nchi hakuhusiani na kukopa pesa au kujichukulia pesa kwa kughushi.
..nadhani wote tunalifahamu hili, mpaka sasa.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha kuwa alikikopesha chama chake sh. milioni 500 kwa ajili ya kampeni na pia amekuwa akikikopesha chama hicho mara kwa mara mahitaji yakijitokeza. Huyu ndio Mbowe anayedaiwa na taifa la Tanzania na ameshindwa kulipa deni hilo kwa taifa kwa madai ya kushindwa kufanya hivyo! kwa hili Mbowe amedhihirisha kuwa kwake yeye chama na maslahi yake binafsi ni muhimu kuliko maslahi ya taifa.
Mbowe hafai kuongoza nchi yetu.
bora ukabila kuliko ufisadi
Kha kumbe zemarcopolo ni Balile?Sio Kabourou tuu aseme na kwa RA alipokutana naye Kilimanjaro Kempinsik room namba 210 kwa masaa manne walienda kufanya nini?
Utajitahidi sana kumtetea na wewe Ballile acha mchezo huo na gazeti lako.
Kha! kumbe zemarcopolo ni Balile?Sio Kabourou tuu aseme na kwa RA alipokutana naye Kilimanjaro Kempinsik room namba 210 kwa masaa manne walienda kufanya nini?
Utajitahidi sana kumtetea na wewe Ballile acha mchezo huo na gazeti lako.
Nyerereist si kila mtu humu jf ni mwanachama wa chama chochote cha siasa maana kuna wenye vyama na kuna wasio na vyama. Lakini ni vema ujue hata hao wasio na vyama si kwamba hawazifahamu siasa.Ndio hizo siasa za majitaka,,,huyo aliesema ni katibu wa chama wa wilaya na sio Tarime naomba urekebishe msemo wako, hayo ni maoni yake binafsi na sio tamko la wanachama wote wilayani tarime, halafu nenda KLHN kwa mwanakijiji usikilize Wangwe na Lisu wanachosema,,,"kila wilaya inapata 100,000/= kila mwezi" na sio 400,000/= huyo katibu wa wilaya ni msaliti, mnafiki, kuwadi wa mbowe na mfuasi wa siasa za majitaka