ChocolateColor
Member
- Jul 18, 2008
- 70
- 3
Not Serious
Zinaishia kwenye mifuko yao hizo.
Tuna uhakika hii ndio kauli ya mwisho? Unless kuna mtu alikuwepo wakati Chacha anafariki. Kama vitu viliibwa ikiwemo laptop, nyaraka n.k basi kuna mtu anajua nyaraka hizo zilizpo na zimekuwa zikiibuliwa pole pole.
Thanks Chadema haina cha kuficha Chadema siyo tu itajibu hoja hizo moja baada ya nyingine, lakini pia tutafungua vitabu vyetu ili kila Mwanachadema au Mwananchi mwenye nia njema aweze kukagua vitabu vya Chadema kikamilifu. Ikumbukwe kuwa mara tu baada ya Uchaguzi Mkuu, 2005 Chadema ndiyo peke yake Chama cha Siasa kilichoweka hadharani gharama zake za Uchaguzi na sources zake za Fedha. Kwa bahati mbaya watu wengi hawaweki kumbukumbu zao. Wakati Chadema inatoa Taarifa hiyo ilitoa pia challenge kwa Chama cha Mapinduzi CCM nayo pia iweke hadharani gharama zake katika Uchaguzi huo na sources zake. CCM hadi leo hawajafanya hivyo. In the interest of Transparency tutafanya hivyo tena in weeks time baada ya Bunge.Dr.Slaa na Kijana Mnyika nafasi yenu ndani ya Jf ni pamoja na kutoa the other side story of CHADEMA ndani ya wavuti huu, nawashauri kwa dhati ya mioyo yao wayajibu haya kipengere kwa kipengere.
Mfano, kama CHAMDEMA walipewa fedha za kuimarisha chama ktk usafiri na wakaamua kutumia fedha hizo kinyume hapo hata kama wenzetu hawa walifanya kwa kile wanachoamini basi wanathibitisha wazi kuwa siyo credible ktk uongozi wa nchi. Tunategemea hawa wawe wahubiri watakaotembea na kuishi ktk kila mahubiri yao na so vinginevyo, uwanja ni wenu wakuu tupeni majibu kipengere kwa kipengere
Taarifa za mwaka za hesabu zilizokaguliwa za vyama vya
Siasa zinazoonyesha matumizi ya jumla ya
Sh.13,667,340,694 hazikuwasilishwa kwa Msajili wala
kutangazwa
Dr. Slaa nakumbuka changamoto yenu hiyo ambayo hadi hivi sasa haijajibiwa na chama kingine chochote. Binafsi kwa kweli ningependa sana kuyaona mahesabu ya ya CCM. Ripoti ya Mkaguzi Mkuu ya 2007 inasema hivi kuhusu masuala ya fedha za vyama:
Kwangu ningependa kweli kujua kati ya hizi bilioni 13 na nusu, za CCM ni kiasi gani?
Mods, thread hii haijatulia, naona inachanganya mambo-kuna masuala ya Kauli ya mwisho ya Chacha wangwe na pia kuna Risiti za malipo polisi, please do the needful
Tuhuma zijibiwe vipi kama hakuna uthibitisho kuwa kweli huu ni wraka wa Wangwe?
Dr. slaa,
wewe mbona unataka kusema kila jambo analoandika Mtu lazima lisainiwe?huu ni waraka halisi wa Marehemu wangwe,Umeeleza ukweli wote kuhusu CHADEMa kumsimamisha yeye na mammboe mengine yahusuyo ubadhirifu wa pesa ya chama.
umepewa tuhuma nadhani ingekuwa ni vyema ukazijibu hapa hapa na pia mimi binafsi ningependa utueleze ni kwanini mpaka sasa wewe na Mbowe hamjajitokeza hadharani kuzuungumzia Mazishi ya wangwe?Je Mbowe alifukuzwa na mapanga nayuko tayari kurudi kemakorere kipindi cha kampeni?
umh na wewe, utafikiri ndo aliyechukua laptop ya marehemu!