💯 exactlyMifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.
#KamweUsimwaminiMwanasiasa
Hawa ndio wanataka wakabidhiwe Nchi 😄😄😄😄Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Ulishusha uzi kama uli
Chadomo ni genge la wapigaji , saizi wanapiga pesa za kesi ya Mbowe 😄😄Nyumba hiyo iwe na gharama ya TZS 80Mn!? Sidhani, labda sababu iwe ni kutaka kuonyesha majigambo kwa mtani.
Ndio maana unawaona wakipata ulaji Wana defect kwenda CCM 😁😁Mifumo iliyotulea na kutukuza ni ile ile. Jamii ni ile ile. Elimu na falsafa zetu ni zile zile. Upigaji ni ule ule. Zingine zote ni mbwembwe tu za kisiasa zinazochochewa na matakwa binafsi, ego na ulaji.
#KamweUsimwaminiMwanasiasa
Ni sawa, inaweza kuzidi kidogo.
Rev. Msigwa anasemajeMwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Weka na hizo ofisi nyingine basii?Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Wewe inakuhusu Nini? Ni jengo letu na tumechangia sisi, wewe shida Yako Nini? Mnafiki weweMwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Wachaga wameshakula tayari, wezi sanaNyumba hiyo iwe na gharama ya TZS 80Mn!? Sidhani, labda sababu iwe ni kutaka kuonyesha majigambo kwa mtani.
Mmeiba Hela za wanachamaWewe inakuhusu Nini? Ni jengo letu na tumechangia sisi, wewe shida Yako Nini? Mnafiki wewe
Are you one of them??Mmeiba Hela za wanachama
Mimi Chadema, lakini napinga wizi, nashauri tubadilo katiba yetu, Ina mapungufu maana tumekomaa na katiba ya nchi tunaacha mambo mazitoAre you one of them??
Hata mia hujachangia we Lumumba kamsaidie kwanza Bashite mkono wa chuma unamtafutaMwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Tujifunze kuwa wakweli.Wewe inakuhusu Nini? Ni jengo letu na tumechangia sisi, wewe shida Yako Nini? Mnafiki wewe
Kuna muda huwa nachukia sana mambo ya kipumbavu haya unayofanya hapa hilo jengo linajengwa kwa michango ya watu wa makambako ww upo shinynga unasema ni wizi umeshafika hapo ukaomba mchanganuo wa matumizi ili ujiridhishe?Mimi Chadema, lakini napinga wizi, nashauri tubadilo katiba yetu, Ina mapungufu maana tumekomaa na katiba ya nchi tunaacha mambo mazito