CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

Unawzaje kubisha kwamba siyo 80mil kama hauna udhinitisho wa sqm footage za jengo lote? Au vitu vilivyowekwa ndani ya jengo?
Mkuu atakaye kubali kuwa hapo ni 80m hajawahi jenga hata banda la choo.
Labda kama kiwanja waliniunua bei ghali sana.
 
Ahsante kwa kuweka full view.Huyu mjinga anadhani hatujaiona hiyo ofisi?Kwa hall ya maisha ya Makambako wamejitahidi sana kubana matumizi.
Pamoja na hayo mkuu 80 m siyo kazi ndo ingekuwa zaidi ya hapo.
 
Mkuu atakaye kubali kuwa hapo ni 80m hajawahi jenga hata banda la choo.
Labda kama kiwanja waliniunua bei ghali sana.
Kuna picha mbili hapo moja imeonesha jengo upande wa kulia, ukiangalia vizuri ni kubwa tofauti na inavyoonekana mbele..pia kuna factor nyingine kubwa hapo kama ujenzi huo unaendeshwa na mkandarasi lazima gharama ziwe kubwa sababu za kodi na faida kidogo ya mkandarasi...mpaka hapo tayari mil 15 ondoa kama kodi, mil 12 imeenda kwa mkandarasi, 41ndiyo inafanya kazi na bado chawa wazee wachajuu hapo..kwa hiyo me naona Sawa kabisa

Sent from my SM-N9100 using JamiiForums mobile app
 
Kapate data kamili ikiwa ni pamoja na picha yenye kuonyesha upeo mzima (full dimension) ya jengo na miundombinu yake halafu mpango wa finishing. Ndipo ulete hoja kamili.

In any case, hiyo ni michango ya wanachama wa jimbo hilo. Sio kodi za wananchi. Kama unaijua mifumo ya utawala ya CHADEMA leta hoja kuhusu mapungufu ya dhahiri uliyoyaona na mapendekezo yako. Short of that, usishangae kujumlishwa na wanapropaganda wa CCM wliojazana hapa na kauli zao maarufu:
  • usimuamini mwanasiasa yeyote
  • vyama vyote wezi tu
  • wako upinzani sababu ya njaa tu
  • achana na vyama, uzalendo kwa taifa tu
  • chama ni CCM tu

Kifupi CHADEMA inawapa hard time sana wanaopigia debe ufisadi wa rasilimali za taifa na kodi za wananchi kupitia chama dola - CCM. Are you with them?
Kiingereza ni Are you among them??
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
CCM mnachafuliwaje na upigaji wa CDM? Hii ni point nzur kwenu ya kuanza nayo mkuu 🤣🤣 wanaochafuliwa ni wafuasi wa chadema na sio ww!!
 
Unapinga gharama za ujenzi wakati hujawah jenga ht kakibanda
Hapo ndo umejibu ? kwa hiyo serikali nayo tukihoji,
watujibu hatujawahi kujenga bara bara ya lami au daraja
Upinzani lazima uwe smart kujibu hoja kuliko chama tawala
 
Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.

View attachment 2112548
Jengo la makao makuu ya CHADEMA halifanani na hadhi ya chama, hilo la Makambako wala sio ajabu kuwa ni kituko kingine.
 
Hata hivyo watakuwa ni mamluki ndani ya chama kwa kujenga jengo hilo kubwa hata kuzidi ofisi za makao makuu ambayo ni nyumba ya kupangisha,,, ni kama kumdhalilisha mwenykiti Mbowe kwa miaka zaidi ya 20 hawana ofisi ngoja atoke atanza nao tu.
😂😂 nafikiri Kupanga ni kuchagua,
hawa naona wameanza kujengea watu uwezo kuanzia chini kwanza then hawa watu wataleta maendeleo ya vitu pamoja kujenga HQ kubwa zaidi , wangeanza kuleta vitu (HQ ) watu wasingeona umuhimu wake,
Ni mawazo yangu tu😊😊
 
Labda kutakuwa na vyumba vya mikutano mbalimbali pamoja na finishing kama Ulaya. Ngojeni tusubiri kwanza ujenzi uishe.
 
Kuna picha mbili hapo moja imeonesha jengo upande wa kulia, ukiangalia vizuri ni kubwa tofauti na inavyoonekana mbele..pia kuna factor nyingine kubwa hapo kama ujenzi huo unaendeshwa na mkandarasi lazima gharama ziwe kubwa sababu za kodi na faida kidogo ya mkandarasi...mpaka hapo tayari mil 15 ondoa kama kodi, mil 12 imeenda kwa mkandarasi, 41ndiyo inafanya kazi na bado chawa wazee wachajuu hapo..kwa hiyo me naona Sawa kabisa

Sent from my SM-N9100 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni pesa kdg sn kwa ujenzi wa office
 
Back
Top Bottom