lino livava
Member
- Feb 14, 2021
- 80
- 80
Ahsante kwa kuweka full view.Huyu mjinga anadhani hatujaiona hiyo ofisi?Kwa hall ya maisha ya Makambako wamejitahidi sana kubana matumizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa kuweka full view.Huyu mjinga anadhani hatujaiona hiyo ofisi?Kwa hall ya maisha ya Makambako wamejitahidi sana kubana matumizi.
Mkuu atakaye kubali kuwa hapo ni 80m hajawahi jenga hata banda la choo.Unawzaje kubisha kwamba siyo 80mil kama hauna udhinitisho wa sqm footage za jengo lote? Au vitu vilivyowekwa ndani ya jengo?
Pamoja na hayo mkuu 80 m siyo kazi ndo ingekuwa zaidi ya hapo.Ahsante kwa kuweka full view.Huyu mjinga anadhani hatujaiona hiyo ofisi?Kwa hall ya maisha ya Makambako wamejitahidi sana kubana matumizi.
Watu wana roho mbaya sana wameamua kupiga kaupande halafu wameanza kufanya propaganda
Umemkata maini kweli huyu juha aliyeleta mada hii. Maccm yamekaa kiudaku udaku sana
Kuna picha mbili hapo moja imeonesha jengo upande wa kulia, ukiangalia vizuri ni kubwa tofauti na inavyoonekana mbele..pia kuna factor nyingine kubwa hapo kama ujenzi huo unaendeshwa na mkandarasi lazima gharama ziwe kubwa sababu za kodi na faida kidogo ya mkandarasi...mpaka hapo tayari mil 15 ondoa kama kodi, mil 12 imeenda kwa mkandarasi, 41ndiyo inafanya kazi na bado chawa wazee wachajuu hapo..kwa hiyo me naona Sawa kabisaMkuu atakaye kubali kuwa hapo ni 80m hajawahi jenga hata banda la choo.
Labda kama kiwanja waliniunua bei ghali sana.
Kiingereza ni Are you among them??Kapate data kamili ikiwa ni pamoja na picha yenye kuonyesha upeo mzima (full dimension) ya jengo na miundombinu yake halafu mpango wa finishing. Ndipo ulete hoja kamili.
In any case, hiyo ni michango ya wanachama wa jimbo hilo. Sio kodi za wananchi. Kama unaijua mifumo ya utawala ya CHADEMA leta hoja kuhusu mapungufu ya dhahiri uliyoyaona na mapendekezo yako. Short of that, usishangae kujumlishwa na wanapropaganda wa CCM wliojazana hapa na kauli zao maarufu:
- usimuamini mwanasiasa yeyote
- vyama vyote wezi tu
- wako upinzani sababu ya njaa tu
- achana na vyama, uzalendo kwa taifa tu
- chama ni CCM tu
Kifupi CHADEMA inawapa hard time sana wanaopigia debe ufisadi wa rasilimali za taifa na kodi za wananchi kupitia chama dola - CCM. Are you with them?
CCM mnachafuliwaje na upigaji wa CDM? Hii ni point nzur kwenu ya kuanza nayo mkuu 🤣🤣 wanaochafuliwa ni wafuasi wa chadema na sio ww!!Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
Hapo ndo umejibu ? kwa hiyo serikali nayo tukihoji,Unapinga gharama za ujenzi wakati hujawah jenga ht kakibanda
Jengo la makao makuu ya CHADEMA halifanani na hadhi ya chama, hilo la Makambako wala sio ajabu kuwa ni kituko kingine.Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
View attachment 2112548
😂😂 nafikiri Kupanga ni kuchagua,Hata hivyo watakuwa ni mamluki ndani ya chama kwa kujenga jengo hilo kubwa hata kuzidi ofisi za makao makuu ambayo ni nyumba ya kupangisha,,, ni kama kumdhalilisha mwenykiti Mbowe kwa miaka zaidi ya 20 hawana ofisi ngoja atoke atanza nao tu.
GoodWamechanga wao wamefyatua wao wamejenga wao wewe unakuja kulaumu mtandaoni, hata wangesema mil 150 sawa tu hawadaiwi na mtu.
Hivi mnajiandaa kweli kuwa mbadalaWewe CCM kaa kimya
Weka tume huru mpuuzi weweHivi mnajiandaa kweli kuwa mbadala
80m nini kwenye ujenzi?Labda kutakuwa na vyumba vya mikutano mbalimbali pamoja na finishing kama Ulaya. Ngojeni tusubiri kwanza ujenzi uishe.
Hiyo ni pesa kdg sn kwa ujenzi wa officeKuna picha mbili hapo moja imeonesha jengo upande wa kulia, ukiangalia vizuri ni kubwa tofauti na inavyoonekana mbele..pia kuna factor nyingine kubwa hapo kama ujenzi huo unaendeshwa na mkandarasi lazima gharama ziwe kubwa sababu za kodi na faida kidogo ya mkandarasi...mpaka hapo tayari mil 15 ondoa kama kodi, mil 12 imeenda kwa mkandarasi, 41ndiyo inafanya kazi na bado chawa wazee wachajuu hapo..kwa hiyo me naona Sawa kabisa
Sent from my SM-N9100 using JamiiForums mobile app
Hawana hata aibuUzi wa mataga wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe.