CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Instagram media - CD3T7Ocpo1I ( 800 X 640 ).jpg

Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
 
hamtapumua safari hii kudadeki !
mkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.
 
View attachment 1537023

Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Fanyeni hili kwanza kwa dharula. Nendeni wote mkamtoe sugu polisi. Msiache uonevu wa mchana kweupe utamalaki.
Nendeni mkawape salamu polisi kuwa uonevu sasa baasi
 
mkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.
Yeyote mwenye akili timamu atachagua Lissu
 
mkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.
TL anasaka wadhani kwa maspika na ngoma ya ritungu anaambulia mianne, hiyo mikoa nane bara hapati, zenji ndio kabisa akipata Mia akatambike,
 
Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Yaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira..
 
Hakika !
 
Back
Top Bottom