kazi ya poliosi ni kuifarakanisha ccm na wananchi ili waichukie ccm kwa kuwaonea wapinzani at the end wao ndo looserYaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira..