Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
hamtapumua safari hii kudadeki !mnahangaika sana
mkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.hamtapumua safari hii kudadeki !
Lissu kawashika MATAGA kunako....hamtapumua safari hii kudadeki !
Fanyeni hili kwanza kwa dharula. Nendeni wote mkamtoe sugu polisi. Msiache uonevu wa mchana kweupe utamalaki.View attachment 1537023
Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
tutapumua wakati tunaapishwa haina shida kila kazi lazima utoke jashohamtapumua safari hii kudadeki !
Yeyote mwenye akili timamu atachagua Lissumkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.
du atakaye tangulia ndiyo tatizo maana kwenda siyo shidaFanyeni hili kwanza kwa dharula. Nendeni wote mkamtoe sugu polisi. Msiache uonevu wa mchana kweupe utamalaki.
Nendeni mkawape salamu polisi kuwa uonevu sasa baasi
Tayari hoja yako imeanza kufanyiwa kaziFanyeni hili kwanza kwa dharula. Nendeni wote mkamtoe sugu polisi. Msiache uonevu wa mchana kweupe utamalaki.
Nendeni mkawape salamu polisi kuwa uonevu sasa baasi
TL anasaka wadhani kwa maspika na ngoma ya ritungu anaambulia mianne, hiyo mikoa nane bara hapati, zenji ndio kabisa akipata Mia akatambike,mkuu jipange vizuri usije ukaanza kuwachukia wapiga kura siku ukikuta Antipas anaasilimia chin iya 10, ikiwa atakamilisha vigezo na kugombea kupitia chadema.
CCM ni mashetani na siku zote dawa ya shetani ni kupambana nae kwa njia zote. Uvumilivu sasa basi. Chukueni hatua tujue mojaMaji yataitwa mmaView attachment 1537026
kafanya fujo huyo na fomu inachukuliwa mara moja tu sasa tuone ataipaata wapi nyingine imetoka hiyooMaji yataitwa mmaView attachment 1537026
atafutiwe watu wa kuwa naye karibu, asije akapata strockTL anasaka wadhani kwa maspika na ngoma ya ritungu anaambulia mianne, hiyo mikoa nane bara hapati, zenji ndio kabisa akipata Mia akatambike,
Yaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira..
Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Hakika !Yaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira..
lengo lilikuwa ni fomu kwa kumtumia yule askari kada but tulia yeye ni ruksa kwenda na msafaraMaji yataitwa mmaView attachment 1537026