J jo mose JF-Expert Member Joined Aug 5, 2020 Posts 3,476 Reaction score 4,074 Aug 25, 2020 #21 LESIRIAMU said: Yaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira.. Click to expand... kazi ya poliosi ni kuifarakanisha ccm na wananchi ili waichukie ccm kwa kuwaonea wapinzani at the end wao ndo looser
LESIRIAMU said: Yaani mara nyingi vyombo vya dola ndivyo huongeza kura za wapinzani bila wao kujua wanacho fanya. Sijui intelijensia ya polisi wanasomea wapi? Sasa Sugu atapewa kura za hasira.. Click to expand... kazi ya poliosi ni kuifarakanisha ccm na wananchi ili waichukie ccm kwa kuwaonea wapinzani at the end wao ndo looser