CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

Unaishi kwenye sayari Yako mwenyewe kichwani mwako,wake up!
Lissu katuletea heshima kama taifa,sio yule aliyeibuka kidedea "Tyrant of the year"!
Mabeberu yanamuona kama ombaomba wa Africa.

Heshima Gani acha hizo
 
Kufika top 3 sio haba kwenye dunia yenye watu billion 8!
Samia yeye alishinda ya Rais katili wa mwaka!
Nani aliyekwambia alifika top 3 kwanza unajua walioshindanishwa wangapi? Unajua lissu aliingia kama nani? Unajua aliingiaje ingiaje? Unakurupuka sana Mkuu...Lissu hata hyo top 3 hakuwepo ni propaganda za ufipa.
Mh. Rais alishindanishwa na akina Putin, trump ambao ni very giant politicians in the world... nadhani mnaona moto
 
Wewe ni mpumbavu kama kiliba .
 
Maswali Yako ya juu yanajikanganya yenyewe!Yasome Halafu uone unajikana mwenyewe!
Hahahaa,Samia alishindanishwa na giants kwenye ukatili na bado akashinda!
Hivi hapo unaona umemsifia?🤣🤣🤣🤣
Kwakweli umejua kumnyoosha Sa100!
 
Maswali Yako ya juu yanajikanganya yenyewe!Yasome Halafu uone unajikana mwenyewe!
Hahahaa,Samia alishindanishwa na giants kwenye ukatili na bado akashinda!
Hivi hapo unaona umemsifia?🤣🤣🤣🤣
Kwakweli umejua kumnyoosha Sa100!
Alishindanishwa na akina Putin, Trump, hawa wote ni viongozi wa Dunia, nadhani unaona Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan how strong is lipokuja suala la kulinda na kuitetea Tanzania mabeberu wenyewe wamenyoosha mikono.
Dunia ya sasa inahitaji mtu katili
 
Ukiitwa takataka na mimi, basi ujue wewe ni takataka kweli.
 
Kwani hicho ni Chama au SACCOS?
Kifutwe ibaki CCM Benki kuu 🤣

Makada wa CCM kadri siku zinavyozidi kwenda humu jamiiforums mmekosa hoja kabisa.

Hivi ndugu yangu !
Kwanini mpaka leo Ream Papers zinatoka China, Indonesia au Thailand wakati malighafi hapa Tanzania zipo ?

Kwanini pamba za kusafishia vidonda mahospitalinì zinatoka India wakati pamba inalimwa hapa hapa Tanzania?

Toothpicks mpaka leo zinatoka China kwani hapa Tanzania hatuwezi kutengeneza?

Chadema inawashinda kwa hoja hizo tu. Na nyinyi makada ndio muwe mnakuja na majibu sio kujiliza liza kama Last borns 😆
 
Chama kilichopo madarakani kitakosaje hoja
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wamekula banzi kama sio wao aisee.

Kama naiona misura yao ilivyowashuka utafikiri walikwamwa na mbegu za vitoro wakati wa kujisaidia haja kubwa hivyo ikalazimu kutumia vijiti kuzichokonoa
 
Alishindanishwa na akina Putin, Trump, hawa wote ni viongozi wa Dunia, nadhani unaona Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan how strong is lipokuja suala la kulinda na kuitetea Tanzania mabeberu wenyewe wamenyoosha mikono.
Dunia ya sasa inahitaji mtu katili
Alishinda hiyo Tuzo baada ya kuua wananchi wake!Sio Putin au Trump ambao wameua raia wa nchi zao kwa maelfu kama Sa100!

Tyrant is cruel, harsh, and oppressive rule where a single person or small group holds absolute power and uses it without legal restraint, justice, or mercy.
 
Kijana nilikuonya ukiendelea kuwa chawa hivi utaangukia kumnyonya Makend€ Abdul hukusikia. Umeona sasa umetatuliwa Linda umekuwa kichaa mazima
 
Africa inahitaji kiongozi katili ambaye atapigana dhidi ya mapandikizi ya mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…