instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
- Thread starter
-
- #41
Hakuna anayebambikiwa makesi hizo kesi mmezitafuta wenyewe na mtanyooshwa kisawasawaMpaka mtishie watu kwa kuwabambikia mikesi mizito ? Huu ni uoga uliopondukia nijibu hizo hoja zangu hapo juu
Mkuu sahzi unafanya nn ...hivi we jamaa unapiga pombe?Kijana nilikuonya ukiendelea kuwa chawa hivi utaangukia kumnyonya Makend€ Abdul hukusikia. Umeona sasa umetatuliwa Linda umekuwa kichaa mazima
Si hivyo tu,Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo.
Licha ya chadema kushinda kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli.
Sababu iliyowanyima tuzo chadema ni kuendekeza dysfunctional politics Africa.
Hata Mimi nilijua tu Ile tuzo hamuwezi kushinda mmezidi mno UTAPELI.
Mmechangisha watu hela kwaajili ya mkutano mkuu ... matokeo yake Hela zimeliwa na mkutano mkuu haujafanyika anyway ngoja niache.
Panyaroad ndo walikufaAlishinda hiyo Tuzo baada ya kuua wananchi wake!Sio Putin au Trump ambao wameua raia wa nchi zao kwa maelfu kama Sa100!
Tyrant is cruel, harsh, and oppressive rule where a single person or small group holds absolute power and uses it without legal restraint, justice, or mercy.
Kaua wananchi wake kwa maelfu ili achukue madaraka!Africa inahitaji kiongozi katili ambaye atapigana dhidi ya mapandikizi ya mabeberu
Tulia Mkuu ! Hii Serikali haina Mamlaka hushangai hata Diwani au Mbunge kupita mtaani kushukuru Wananchi kwa Chama kupata ushindi wa 98 asilimia?Hakuna anayebambikiwa makesi hizo kesi mmezitafuta wenyewe na mtanyooshwa kisawasawa
Au sio!Panyaroad ndo walikufa
Russia ndo ameua watuKaua wananchi wake kwa maelfu ili achukue madaraka!
It's a shame!
Ni Wanawake wachache sana duniani wanaweza kuwa makatili kiasi hicho!
Kwan katiba ndo inasema mtu ashukuru au ni matakwa ya mtu binafsi?Tulia Mkuu ! Hii Serikali haina Mamlaka hushangai hata Diwani au Mbunge kupita mtaani kushukuru Wananchi kwa Chama kupata ushindi wa 98 asilimia?
Dhamira zinasuta halafu suala la itikadi tofauti lipo tangu zamani lilianzia mbinguni huko hapa duniani mnataka watu wafanane itikadi ?
Ameua watu gani?Russia yuko vitani na Taifa lingine!Huyu bibi,kaua raia wake intentionally kubaki madarakani!Russia ndo ameua watu
Hakuna aliyeuawa lakini najua majangiri ndo walikufa kwa kuuliwa na kikundi cha CHADEMAAmeua watu gani?Russia yuko vitani na Taifa lingine!Huyu bibi,kaua raia wake intentionally kubaki madarakani!
We chawa,Chadema mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya SAKHAROV
Hiyo ni tuzo ya makundi maalumuWe chawa,
Watawala haramu waliweza kupata hata nomination tu kwenye hiyo tuzo??
😯😯,Uko serious kweli?Aisee,ukisikia mapenzi upofu ndio haya!Hakuna aliyeuawa lakini najua majangiri ndo walikufa kwa kuuliwa na kikundi cha CHADEMA
Ndyo😯😯,Uko serious kweli?Aisee,ukisikia mapenzi upofu ndio haya!
Hebu jisome vizuri,umeandika vitu gani hapa?Kwakweli umefuzu kwenye kujitoa ufahamu!
Jina liliwekwa tu kiujanja ujanja wameambulia kura sifuriMbona CCM NA VYOMBO VYAKE VYOTE VYA USALAMA HAVIKUWAHI KUSEMA KWAMBA AMETEULIWA KUSHINDANIA HIYO TUZO ,LEO AMEKOSA NAONA MMEKUJA KWA NGUVU SANA NA VYOMBO VYENU VYA KAPETI YA SEBLENI ,
TULIZENI MSHONO ,KAMA HAWAJA TANGANZA WEWE HIZI HABARI UMETOA WAPII.
Mnaandika propaganda mfu!Kila mtu anaujua ukweli!Ndyo