johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Alipambana na walamba Asali 🤩🤩🤩Unamaanisha Magufuli alikuwa anapambana na ufisadi?😂😂
Wanajisahaulisha. Mtu anapingaje ufisadi huku akikanusha ripoti ya ukaguzi?Yeye si ndiye alimuwakia CAG Assad aliboibua upotevu wa 1.5 Trillion.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo siku hizi Mbowe anapitisha manunuzi serikalini?Au hampendi akienda ikulu?Mkisema ni Serikal ya Wezi mjue na Mwenyekiti wenu ni mwizi, anafata nini Ikulu?
Alikuwa ndio mlambisha asali namba moja, aliwalambisha akina Katambi, Lijua Likali, Lipumba, Mtatiro, Waitara na wengine kibao...Alipambana na walamba Asali 🤩🤩🤩
Kamati ya bunge ilifuatilia na kutupa majibu. Kwq hiyo walihongwa?
Watanzania au sukuma gang?Tindo, watanzania leo hii wanamkumbuka huyo unayedai ni Dhalimu
Jembe au jizi la kura?Usijitoe fahamu. Ukweli kuwa hayati JPM alikuwa ni jembe kila mtanzania anaujua
Tunaenda mwaka wa 3...hivi mmesha recover Shilingi ngapi so far?Hansard za bunge gani, huo upuuzi uliokuwa unaendelea huko bungeni wakati wa dhalimu ndio unaniambia Hansard. Au unadhani kila mtu anaamini huo upuuzi uitwao hansard?
Mbowe anakula mafaowanasiasa ni wanafiki
Kwa hiyo Mbowe akienda Ikulu Ndiyo anayesababisha Viongozi waibe? Au siyo yule aliyeharibu uchaguzi ndiye aliyefanya bunge liwe la chama kimoja,maana alikuwa na imaani ataishi Milele na kutawala mileleMbowe naye kajitumbukiza Serikalini kila siku Kiguu na Njia Ikulu
Alidhibiti upigaji wenu
[/QUOTE
Hata wakati wa Magu wizi ulikuwepo ,vyombo vya habari vilipigwa bit plus teuzi full kusifia tu
asenga ameshambulia taasisi (ccm) wewe unaleta hoja za kumsema mtu.....Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter
“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”
View attachment 2579301
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter
“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”
View attachment 2579301
wanasiasa ni wanafiki
Alidhibiti upigaji wenu
Mbowe naye kajitumbukiza Serikalini kila siku Kiguu na Njia Ikulu
Hyo avatar yako tu kaaa pembeni!Wanafiki kwenye lipi?