Chadema mbona hamueleweki? Alipokuwepo kiongozi aliyepambana na ufisadi mlimchukia. Huyu wa sasa mnasema ni mwizi

Hansard za bunge gani, huo upuuzi uliokuwa unaendelea huko bungeni wakati wa dhalimu ndio unaniambia Hansard. Au unadhani kila mtu anaamini huo upuuzi uitwao hansard?
Tunaenda mwaka wa 3...hivi mmesha recover Shilingi ngapi so far?
 
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter

“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”

View attachment 2579301
asenga ameshambulia taasisi (ccm) wewe unaleta hoja za kumsema mtu.....
 
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter

“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa uthubuthu huu wa kuandika hivi”

View attachment 2579301

CCM wote wezi.
 
Back
Top Bottom