M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Apr 7, 2023 #61 Bila bila said: Wanajisahaulisha. Mtu anapingaje ufisadi huku akikanusha ripoti ya ukaguzi? Click to expand... Hivi nyie Nyumbu, Ripoti inayojadiliwa Bungeni sasa ni ya Magufuli!! Kumbe asali inalevya
Bila bila said: Wanajisahaulisha. Mtu anapingaje ufisadi huku akikanusha ripoti ya ukaguzi? Click to expand... Hivi nyie Nyumbu, Ripoti inayojadiliwa Bungeni sasa ni ya Magufuli!! Kumbe asali inalevya
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 6,170 Reaction score 7,710 Apr 7, 2023 #62 Makojo said: Nyumbu huchukia tu bila sababu za msingi. Kwahiyo walimchukia tu Click to expand... Weka hoja kejeli hazikusaidii ili uonekane umekoment!!
Makojo said: Nyumbu huchukia tu bila sababu za msingi. Kwahiyo walimchukia tu Click to expand... Weka hoja kejeli hazikusaidii ili uonekane umekoment!!
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Apr 7, 2023 #63 Idugunde said: Alidhibiti upigaji wenu Click to expand... Yaani Chadema walidhibitiwa kupiga Nini wakati hawana serikali?
Idugunde said: Alidhibiti upigaji wenu Click to expand... Yaani Chadema walidhibitiwa kupiga Nini wakati hawana serikali?
Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Apr 7, 2023 Thread starter #64 zitto junior said: Yaani Chadema walidhibitiwa kupiga Nini wakati hawana serikali? Click to expand... Unafumba macho na kujitoa fahamu.
zitto junior said: Yaani Chadema walidhibitiwa kupiga Nini wakati hawana serikali? Click to expand... Unafumba macho na kujitoa fahamu.
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 20,537 Reaction score 31,729 Apr 8, 2023 #65 Idugunde said: Unafumba macho na kujitoa fahamu. Click to expand... Wakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana.
Idugunde said: Unafumba macho na kujitoa fahamu. Click to expand... Wakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 8, 2023 #66 Gazeti la Nipashe ni mali ya Chadema ? halafu kama Nagufuli alikuwa Muadilifu kwanini alitaka Kumteka Mussa Assad ?
Gazeti la Nipashe ni mali ya Chadema ? halafu kama Nagufuli alikuwa Muadilifu kwanini alitaka Kumteka Mussa Assad ?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Apr 8, 2023 #67 Idugunde said: Alidhibiti upigaji wenu Click to expand... Huku ndio kudhibiti upigaji ?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 8, 2023 #68 Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Apr 8, 2023 #69 zitto junior said: Wakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana. Click to expand... Hasa wafuasi wa Magufuli ni ndezi kweli kweli Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
zitto junior said: Wakusanya Kodi ni CCM Sasa kumdhibiti Lissu Kunapunguza vipi ufisadi? Kuna waTanzania ni wajinga sana. Click to expand... Hasa wafuasi wa Magufuli ni ndezi kweli kweli Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app