Unaweza kuwa na dhana nyingi kichwani mwako lakini kisayansi ndio sababu ya msingi.
Uwanja mkuu Dar uwanja wa dharura Zanzibar.
Uwanja mkuu KIA uwanja wa dharura Arusha.
Hali ipo hivyo duniani nzima lakini ukiingiza siasa kwenye kila kitu haya mambo huwezi kuyaelewa.
Wewe tambua hivyo. Hivi viwanja vitatumika mpaka baada ya mimi na wewe kuwa tumeshafukiwa.Hii formula gani unatengeneza alternative wakati hujakamilisha main goal?
..hebu acheni uongo jamani.
..hivi mfaidika nini kutetea hilo lijizi?
..na sasa limekuwa katili, kwanini mnalitetea?
Wewe ndiyo mwenye ule ushindi wa 85% kwa jiwe pia?
Hitimisho zenu huwa ni kutokana na tafiti kweli au ni ndoto za mchana tu mnapokuwa mnafikiria zile buku 7 za siku husika?
Ndio wasiojua kiinglishi eee
💃💃
Unaweza kuwa na dhana nyingi kichwani mwako lakini kisayansi ndio sababu ya msingi.
Uwanja mkuu Dar uwanja wa dharura Zanzibar.
Uwanja mkuu KIA uwanja wa dharura Arusha.
Hali ipo hivyo duniani nzima lakini ukiingiza siasa kwenye kila kitu haya mambo huwezi kuyaelewa.
Ndio, mataifa mengi tuu yana lugha zao za taifa ambazo ndio lugha za mawasliano. Ukienda kusoma ujerumani unajifunza kijerumani kwanza ndio uanze kusoma kilichokupeleka.English haimaanishi kwamba hujasoma! infact itsnot necessary if everything in the syllabus inaweza kupata neno lake la kiswahili, i believe chineese dont give english any priority
Lisu hatujui CCM kwenye majukwaa ya siasa kazoea presentation mahakamani na vyeo koko vya uraisi wa Tanganyika Law society akiitwa president koko kule anajiona ni presidential material kwenye majukwaa ya siasa!!!
Lisu you are welcome to the real world in political arena war ground to fight with real CCM giant political fighter John Magufuli
Maisha huenda yakibadilika hivyo hakuna ulazima Mwinyi kufanana na Mkapa kiutendaji na Mkapa kufanana na Magufuli...huu ni UONGO.
..maraisi wote isipokuwa Jpm hawakujua Mwanza inahitaji uwanja wa dharura unaotakiwa kujengwa Chato?