CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike


Vp kama Lowasa atarudi CCM, jE ccm itakufa??
 

Hii point ndio msingi mkuu wa kushindwa kwa CHADEMA katika chaguzi zinazoendelea na mwelekeo wake wa kufa kabisa kabla ya 2020.

CHADEMA isifuate mkumbo wa malumbano wawapo majukwaani bali ijikite kwenye kujenga hoja za kuonyesha wapi CCM inapwaya au inashindwa.

Lakini kwa mwendo huu bado inaonekana is too little too late.
 
Kwa akili yako uliyopewa na mungu do you think malumbano ndio yanayosababisha Chadema kushindwa kwenye chaguzi
 
Kwa akili yako uliyopewa na mungu do you think malumbano ndio yanayosababisha Chadema kushindwa kwenye chaguzi

Hayo maneno yako na mengine ya kwenu yanaonyesha jinsi ulivyokosa hata uwezo wa kujenga hoja.

You attack first then you ask for a dialogue.

I'm sorry to say, but you are an idiot!
 
Nimezisoma sababu zake, ana hoja za msingi, asibezwe na hoja zake zisipuuzwe, kuna vitu vikubwa, vibaya, vichafu amevieleza hapa kwa just mention, bila kuvitaja, lakini kama vitu hivi ni kweli, then, wabunge wanawake wa Chadema, ni mashujaa sana, ni wavumilivu sana na wastahimilivu sana kwa vitu wanavyofanyiwa na viongozi wao, huyu ameshindwa kuvumilia, uvumilivu umemshinda, japo amewastahi lakini amesema katika mabano na hapa ninamnukuu "iliniuma sana pale nilipokataa kuwaabudia viongozi wa chama kitaifa kwa namna itakayo tweza utu wangu" Jee unakujua huko kuabudiwa kunakotweza utu wa mwanamke?.
pia kama mtu mwenyewe ni huyu
View attachment 897540
Na eneo analotoka ni Babati, then kiukweli kabisa, huyu ni shujaa, kwa sababu vitu vingine, na mambo mengine, sisi wengine wenu wenye udhaifu nayo, hata ningekuwa mimi...

P
 
Siyo huyu walisemaga anatembea ba Mbowe. Mbona imemchukua miaka mingi kuondoka?? Au ni baada ya kuona mwelekeo wa Opposition siyo rahisi kushinda jimbo 2020 kutokana na siasa za Magufuli
 
Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.

Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.

Tulisema humu akina sisi,

Kuna kitu hapa kilisemwa na Masha

Kikapuuzwa, sasa leo kusema Prof. Safari, haya sasa manazi wa Chadema, njooni mumponde kama kawaida yenu.

Mkiambiwa
Mnakasirika

P.
 
Pascal unajivika miwani ya mbao na kujidanganya kwamba hujui sababu za kuhama.


Hakuna asiye jua wanaohama ni njaa zao na wamenunuliwa.

Pascal mwenyewe umebadilika baada ya kuona kitumbua kisije tiwa mchanga sasa umeamua kutumia kia tumbo hata kwa mambo ya hovyo.
 
Baada ya Chadema kuendelea kuhamwa, nawasisitiza Chadema, kujitafakari maana...
P
Uko sahihi sana Mkuu Pascal, hili suala la kujifariji eti wananunuliwa hata kama ni kweli kwa nini wanunuliwe wao tu na kwa nini wakubali kununuliwa?

Inabidi wafanyie tathmini ya kina na ya kweli sio ya kujifurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahamiaji ni wasaka tonge simple
 
Hao hawaondoki kwa HIARI YAO.
uenda wakawa wanarubuniwa kwa hela ,kupewa madaraka au VITISHO.
Kuacha ubunge chadema alafu ukaamua kuhamia ccm na huko ukaenda kugombea ule ule UBUNGEA.HUO ni uchizi.
sidhani ccm kama ina USAFI mpaka ikashawishi watu KUHAMIA HUKO NAKATAAAA.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania hatuna chama cha upinzani! Mpinzani gani aende Bank ya dunia kuzuia mkopo ambao utasaidia kaka dada na majirani zake?

Mwingine nae anatembea kuonyesha risasi Bila kujiuliza kwanini alipigwa yy2

Mwingine nae anang'ang'ania uongozi kwa miaka 20? Mda huo watu wanakiacha chama lkn hashtuki.

Kunachama cha siasa kinakuja chenye sifa zote.
Mfano.
Nikuja na sera mbadara
Usigombane na dora
Kulinda Amani
Hakuna kutukana
Wakinunua ndege unahoji pesa kwenye mzunguko.
Wakijenga fryover unahoji gharama za matibabu
Wakileta elim bule , unahoji bima bule
Wakisema nchi tajiri.. unahoji gharama za matibabu na vyuo

Kifupi siasa safi nirahisi sana, bado kuna vitu muhim vyakuhoji bila kuomba maridhiano yyte!
 
Baada ya Chadema kuendelea kuhamwa, nawasisitiza Chadema, kujitafakari maana...
P
Lengo lenu linajulikana,mnamtafuta Mbowe!Mlifanikiwa kwa Lipumba na kuimaliza CUF,kwa Mbowe mmekwama!Hizi kelele zote ni baada ya kukwama!
 
Umepoteza muda kwa kuandika upuuzi!Elimu bado ni hitaji kubwa nchi hii,hata waliopata kamwanga kidogo ndio uharo kama huu!Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…