CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Unawaonea tu na wao wanalijua hilo kuwa huwezi kushindana na Dola. Walitaka tu kufikisha ujumbe kinamna ila walijua hawatafanikiwa kuandamana.
 
 
eti kama sio government 🀣
Don't try it again at home or at school.

hakuna mzaha, hakuna aibu, wala huruma kwa yeyote atakae jaribu kutikisa au kuhatarisha amani na utulivu wa waTanzania kwa namna yoyote ile. Hatavumiliwa hata sekunde moja

Ni vizuri dunia nzima ikaelewa hilo πŸ’
 
aliishiwa pozi kwa fedheha sana, halafu mbaya zaidi tena akakamatwa na kutiwa nguvuni na polisi dah!

kusalitiwa na wanachama na kukataliwa ni kitu mbaya sana aise 🀣
 
Sema nguvu nyingi imetumika man bila sababu za msingi.Kwahiyo wale askari wote kazi yao ilikuwa nikufanya kitu gani make walikuwa wengi hadi nikawa sielewi wao ndio wenye jambo lao au ni kitu gani?

Anyway,Afrika bara gumu kweli na watu wake changamoto.Inabidi vitu kama katiba vitolewe,habari za haki za binadamu zisiwepo ndio yawe maisha yetu sasa uone maisha ambavyo yatakuwa mazuri
 
We jamaa ningekua najua jina lako nishakupiga uchawi wa kiarabu muda sana.
Umekua chawa kupitiliza kuliko hata Lucas Mwashambwa .
 
Polisi ndiyo wameeandama
πŸ˜„ kumbe
Tuna wakae barabarani hivyo kwa mwaka mzima walinde usalama
Itapendeza zaidi
Jangwani pale watu walikuwa wana kabwa sahv wanapeta tu
Waendelee kukaa pale tafadhali
Mleta uzi wafikishie ujumbe

Ova
Yes gentleman,
kuhusu kulinda amani na utulivu wa wanainchi, polisi Tanzania itakua tayari kila sekunde barabarani, ili kuhakikisha usalama wa watu, mali na makazi ya waTanzania haviko hatarini..

hilo la amani litafanyika kwa gharama yoyote ile mungwana mrangi..

Kuhusu usalama wa hapo Jangwani nalichukua na kulisukuma panapohusika mara moja, ni muhimu sana πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Lepeni sasa police posho zao maana njaa itawamaliza
 
We jamaa ningekua najua jina lako nishakupiga uchawi wa kiarabu muda sana.
Umekua chawa kupitiliza kuliko hata Lucas Mwashambwa .
washirikina bana mnachekesha sana aise dah, 🀣

hampendi kuambiwa ukweli kabisaaaa dah. Mambo haya tunayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu gentleman.

ushirikina ni useless kabisaaaa kwa apostle kama mimi πŸ’
 
Mmetumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo. Idiots
Iko wazi na bayana gentleman,
Na duniani nzima inajua..

Kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile, tutalinda umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania bila kusita wala kuchoka πŸ’
 
Leo wamepoa ile mbaya tuliwaambia wataandamana kwenye mitandao tu. Nyumbu mnaitwa huku ! 🀣🀣
na yatakuja kinyumbu nyumbu kama kawaida yao 🀣
 
Sawa,tunaomba wawepo barabarani mwaka mzima

Ova
kuanzia sasa,
atakae thubutu kufanya uhalifu wowote ule, sekunde hiyo hiyo polisi Tanzania watakua hapo hapo alipo kushughulika nae πŸ’
 
Hamna mtu ambaye haogopi bunduki. Mapolisi wametanda kila mahali mtu ujasiri unautoa wapi. Watu walikuwepo sema walijibanza kusoma upepo
mbona maandamano ya august hawakuogopa au kuna kosa walifanya kwenye maandamano ya leo?πŸ’
 
washirikina bana mnachekesha sana aise dah, 🀣

hampendi kuambiwa ukweli kabisaaaa dah. Mambo haya tunayafanya kwa Neema na Baraka za Mungu gentleman.

ushirikina ni useless kabisaaaa kwa apostle kama mimi πŸ’
Wewe jidanganye apostle sijui kasisi ilaaa una bahati sana na huo uchawa wako.
 
Wewe jidanganye apostle sijui kasisi ilaaa una bahati sana na huo uchawa wako.
kwasabb naeleza ukweli kinagaubaga na kufanya haya yote kwa Neema na Baraka za Mungu ushirikina, ramli na uchawi naona kama vichekesho tu ambavyo havichekeshi 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…