CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Ondoeni mapoliccm hayo muone moto

Mnatutisha na mabunduki
Afu mnatucheka mlitaka tufanye vurugu
 
Ondoeni mapoliccm hayo muone moto

Mnatutisha na mabunduki
Afu mnatucheka mlitaka tufanye vurugu
Polisi nchini hawatatoa mguu hata sentimita moja, eti kutoa uhuru kwa wahalifu na makaidi kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania. Hilo kamwee halitatikea nchini Tanzania πŸ’

Labda mkajaribu kufanya hivyo nchi zinazo intertain wahalifu but not Tz.

Kwamba eti waondoe Polisi ili waone moto? 🀣🀣
hu si ushirikina sasa 🀣

hakuna anaetishiwa, wala kukenuliwa kwenye suala la kulinda umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania.
Ni zoezi endelevu lisilo na ukomo.
 
Vijana wa Kitanzania hawawezi zuia hilo mbele ya Polisi, hata wangekuwa Polisi wawili wasingeweza kuzuia Mwenyekiti wao kukamatwa

Labda wangekuwa vijana wa Kenya au Nchi nyingine

Wabongo hawana ujasiri huo
 
Watu waache kufikiria kutafuta fursa katika sekta ya viwanda inayokua kwa kasi waende kuandamana mitaani kisa matukio yarekodiwe na media za kimataifa na Tanzania ichafuliwe jina na heshima!.

Samia anaifungua nchi katika suala zima la uwekezaji mpana. Kule Mtwara uwekezaji kwenye sekta ya gesi umerahisishwa, wenye akili na ubunifu pamoja na elimu wataendelea kuifaidi keki ya Taifa.
 
Watu Wanaandamana huko France kumtoa Macron na Mapolisi wametenda hiyo image haikuharibik sembuse πŸ‡ΉπŸ‡Ώ? Wacha ujinga
 
Watu Wanaandamana huko France kumtoa Macron na Mapolisi wametenda hiyo image haikuharibik sembuse πŸ‡ΉπŸ‡Ώ? Wacha ujinga
huyo inaonekana ni mshirikina anaongozwa ramli, huenda alikua kwa mganga akirubuniwa kuku mweusi...

ndio maana hajui wala haoni image ya ufaransa, anaona ya Tz tu, ulinzi na usalama wa watu, mali na makazi yao ukiimaarishwa kila kona ya nchi, ila yeye anaona ni uhalifu. Huo si ushirikina kabisa πŸ’
 
Vijana wa Kitanzania hawawezi zuia hilo mbele ya Polisi, hata wangekuwa Polisi wawili wasingeweza kuzuia Mwenyekiti wao kukamatwa

Labda wangekuwa vijana wa Kenya au Nchi nyingine

Wabongo hawana ujasiri huo
kujikataa na kujidharau ni kitu mbaya sana dah πŸ’
 
Mbona wameandamana.ila polisi ccm wamewakamata.waliofeli polisi ccm ambayo haijui katiba wanachojua nu kuwa mbwa wa watawala
Relax tu gentleman acha mihemko,

ilipaswa uje na hiyo katiba kwenye maandamano ili polisi wakuelekeze vizuri kwa virungu πŸ’
 

View: https://x.com/PMadeleka/status/1838151241513492684?t=v1nSsTxUYnYpCxNMihSyOg&s=19
 
Ni aibu kwa Chama .
Wanadhani bado Watz ni wapumbavu
 
Sasa kama alikuwa peke yake kwa nini walimshika? Ninaamini message imepelekwa tayari kwani hizo gharama za kudeploy askari wote,bila shaka dunia imeona kinachoendelea.
 
Enzi za yule kauli ya Kimambi tu iliwakusanya polisi nchi nzima Dar.
Juzi Kati kauli ya Mbowe mmeona wenyewe, mpaka polisi wa Kigoma walikua Dar.
Kama huamini kwamba chadema Ni chama kubwa unataka dalili gani?
 
Sasa kama alikuwa peke yake kwa nini walimshika? Ninaamini message imepelekwa tayari kwani hizo gharama za kudeploy askari wote,bila shaka dunia imeona kinachoendelea.
Ni vizuri ukaelewa vyema hapo.,

suala la umoja, amani, na utulivu wa wananchi litalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman,

na wala kwenye hilo hakuna mbambamba yoyote aise dah πŸ’
 
Mbowe alikwenda kwenye maandamano, hao wanachama na watanzania waliokuwa wanaunga mkono walikuwa wapi? Acha watekwe mpaka wazinduke wenyewe.
 
Enzi za yule kauli ya Kimambi tu iliwakusanya polisi nchi nzima Dar.
Juzi Kati kauli ya Mbowe mmeona wenyewe, mpaka polisi wa Kigoma walikua Dar.
Kama huamini kwamba chadema Ni chama kubwa unataka dalili gani?
nani anahitaji au anababaika na dalili au kauli zako? suala ni kulinda amani Full stop.

Na issue ya umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania, litalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman..

hakuna mzaha, hakuna huruma, hakuna aibu wala haya kumchulia hatua kali mno yeyote yule anaekusudia kuhatarisha au kuvuruga usalama wa waTanzani.

Naomba dunia ituelewe hivyo πŸ’
 
Polisi wamefanikisha maandamano ya chadema Kwa 100%!

Chadema wamefanikiwa sana!!!

Ni rasmi imeshajulikana kwamba TZ no nchi ya aina gani sasa hivi!!

Lengo lilikua kuonyesha kwamba "kumbe serikali imebariki mauaji yanauoendelea na haitaki yasitishwe Wala kukemea"

Siasa ni sayansi na sisi wanaccm tulipaswa kuiandaa UVCCM iandamane kumshinikiza Rais achukue hatua na kweli angebadili kidogo kwenye Baraza la mawaziri na wakuu wa kipolisi Kanda mbali mbali na kungepoa kama maji mtungini na chadema wangenyuti kama nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…