CHADEMA mkajipange vizuri, vinginevyo hiki kilichofeli pakubwa leo kitajirudia tu tena

Ni vizuri ukaelewa vyema hapo.,

suala la umoja, amani, na utulivu wa wananchi litalindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile gentleman,

na wala kwenye hilo hakuna mbambamba yoyote aise dah 🐒
Sema amani ya çcm italindwa na siyo wananchi.
 
ikiwa chadema imefanikiwa au haikufaniki sijui kufanya nini basi hayo ni mambo ya Chadema huko huko ndani,

Jambo la muhimu zaidi kama Taifa, na ulimwengu mzima ukafahamu vizuri na kwa mapana yake ni hili.
Tanzania kwenye suala la umoja, amani na utulivu wa wananchi wake haitanii, hakuna mzaha, hakuna huruma, hakuna aibu wala kumuonea mtu au Taifa lolote lile haya, litakalo thubutu kujaribu kuvuruga au kuhatarisha umoja, amani na utulivu wa waTanzani..

Tutatimia nguvu zetu zote na gharama yoyote ile kulinda usalama na uhuru wa waTanzani 🐒
 
Sema amani ya çcm italindwa na siyo wananchi.
suala la umoja amani na utulivu wa waTanzani si suala la chama fulani, hili ni jambo la jumla kitaifa.
Amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu zote na kwa gharama yoyote ile 🐒
 
Ufeliji wake ni huko kutumia vyombo vya dola na kuwakamata viongozi wake? Ili ionekane na kutokukubalika kwao kwanini mlitumia policcm? Hivi unatakangumi lakini unamfunga mpinzani wako na kusema kwamba umeshinda?
 
Hao polisi mnaoringia.usidhani wataishi milele
relax basi,

suala la kuishi milele au sio milele ni Neema na Baraka za Mungu gentleman na sio mihemko wala ushirikina 🐒
 
ccm na polisi wa sa100 ndo wamefeli pakuwa walikuwa tayari kumwaga damu ya watanzania kwaajili ya kafara ya uchaguzi lakini intelijensia ya chadema iliwazidi,chadema bravo,polisi kwakuona haya wamebakia tu kuokoteza wapitanjia aibu kubwa
 
mbowe akili kubwa weh huoni polissem wameandamana kutoka kila mkoa kuja dar halafu wanalala kwenye vipande vya godoro na mabox aibu kwao
 
relax basi,

suala la kuishi milele au sio milele ni Neema na Baraka za Mungu gentleman na sio mihemko wala ushirikina 🐒
sawa.walikuwepo akina mahita,tibaigana zombe n.k..
Wapo wapi sasa hivi?
Hayo magwanda yana muda.
Huyo samia mwenyewe hawezi kutawala milele.
 
Nimevunjika moyo na hawa watu. Debe tupu haliwachi kutika.
 
Kulikua na kauli za kishujaa jana,nikajua leo tz itatawala media za kimataifa kwa damu itayomwagika,kumbe waoga tu!!..kazi ya kuandamana nchi hii wanaweza waislam tu
kwanini inakuwa furaha kwako kuona polisi mtanzania anamwaga damu ya mtanzania mwenzake
 
Lunatic mind,
Sasa maandamano ya amani askari wanakuja na silaha? What do you expectEd?
 
Huyo mlete mada ni miongoni mwa wale wasiokuwa na uwezo mkubwa wa akili.
Yaani yeye anashindwa kujua kwamba maandamano yamefanikiwa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuandamanishwa nchi nzima!
 
Kulikua na kauli za kishujaa jana,nikajua leo tz itatawala media za kimataifa kwa damu itayomwagika,kumbe waoga tu!!..kazi ya kuandamana nchi hii wanaweza waislam tu
Moto wa Kuni unaanza kuwaka taratibu
 
Unaambiwa maandamano ya Amani
Unasema vurugu
 
Unaambiwa maandamano ya Amani
Unasema vurugu
ñjooni hata kesho tena na maandamano mengine ya sijui nani must go, halafu muyaite ya amani kama yataruhusiwa, labda mkayafanyie Kenya 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…