CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana

Kauli ya kipumbavu sana kumwita binadamu mwenzako mwendakuzimu je unahukumu wewe kama nani na unauhakika gani yupo huko au unaongozwa na chuki angalia usihukumu usijehukumiwa
Ndugu yangu,
kwani kwa udhalimu aliyokuwa anajivunia, majigambo/vitisho kwa wengine, kufuru ya kutamani umalaika pamoja na ukatili ule kwa binadamu wenzie, WEWE unavyoona tokea moyoni mwako angeweza kwenda wapi?
 
Mtu yupo kuzimu unamuombaje msamaha?

Ungejuwa halipo ungemuombea misa nyingi na dua nyingi za kumuombea msamaha kwa Mungu wa kweli kwa kosa la kujifanya mungu mtu alipopewa pumzi ya bure na Mungu wa kweli.

jamaa huwa kiazi sana wewe yaani.

kwamba hawezi kuombwa msamaha ila anaweza kuombewa msamaha.

halafu umejuaje yuk kuzimu!!
 
Point of correction...mwanachadema gani aliteuliwa? JPM aliwanunua na wengine walilazimishwa kuhama cdm kwa kutishwa na wote walioteuliwa ilidaiwa kuwa ni hongo waliyoahidiwa kuwa watapata ili wahame cdm. Petrobas Katambi wala waitara na wenzao hawajawahi kupinga hili.

pili, unapomuomba mtu msamaha lazima uwe umemkosea. cdm walimkosea nini jpm? Tanzania si mali ya jpm na wala haitakujakuwa mali ya mtu. Ni mali ya Mungu na anayepewa uongozi anakuwa amedhaminiwa na wananchi. Hata katika ajira, mwajiri akikwambia nataka wadhamini ili nikuajiri, ukiajiriwa kisha ukaanza kuleta shida, wadhamini wako lazima wakulalamikie.

Chadema kama sehemu ya wananchi ambao ndiyo wadhamino, walikuwa na haki ya kiroho, kijamii, kikatiba na kisiasa kulalamikia mwenendo wa JPM kama mwajiriwa.

Hakuna kosa hapo
 
Magufuli kafa kuoza na kufukiwa, wajane kwa nini hamtaki kuamini.
Uombe maiti iliooza itakusaidia nini. ?!
 
Hulali. Kutwa nzima unawaza CHADEMA. Pole una matatizo ya hofu.
 
Huyu muuaji,shetani,aliyeharibu nchi na kuteua wabunge wa ccm hana nafasi kokote hata ahera...shetani hajawahi kufikia roho ya kiuaji kama huyo mjinga mwenzio,bladifakeni
 
Keshakufa kibudu huyo labda aamke Kisha age Tena na Tena na Tena Nyambafu yule![emoji2][emoji2956]
 
Chadema muda wao umekwisha 2025 tunakuja na chama kipyaaaa kilichosajiriwa miaka mingi lakini kinakwenda kujaza wananchama NA WAFUASI na kitachukua dola. Utabiri wa Mwl Nyerere kutimia 2025 baada ya kusemwa mwaka 1995 ni baada ya miaka 30 ya umri wa YESU.
 
Acha upumbavu wewe!
 
Usemacho ni kweli

Na ikumbukwe JPM hakufuata itikadi za kiCCM, Bali aliangalia Nchi itaka Nini

Kiongozi yoyote lazima aangalie Nchi inataka Nini

Na wapinzani wakumbuke JPM alitembea na Sera zao na wakajikuta wamefilisika kisera, wakajikuta ajenda yao ni DEMOKRASIA, ajenda ambayo Haina mashiko kwa Raia, Ila wasomi wetu wa Sheria tu.

Ukweli usemwe
 
Toa takataka yako hapa, wewe bado unaongea habari ya huyo muuaji, nenda kalinde kaburi lake sasa. Mungu alishaona hafai kuongoza anatesa watu wake akamuondoa, wewe tena unataka kutoneshea watu vidonda. Go to hell with your dictator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…