CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono yake, 2025 mnachukua nchi kilaini sana


Yaani Cdm wamuombe msamaha mtu aliyekuwa dhalimu na jizi la kura? Kama hizo sera zake zilikuwa zinakubalika, kwanini alinajishi chaguzi za nchi ili akae madarakani kwa shuruti? Subiri kuna chama kinaanzishwa na CCM kwa uratibu wa Tiss, wape hizo sera za Magufuli wakachukue nchi.
 
Kwani +Magufuli bado ni Rais sera zake zifuatwe!?
Una maana waende Chato wakapige magoti kwa kaburi yake au vipi!!
Mbona mwateseka bure na kivuli yake!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Chadema hawana sera za maana kufikia watanzania kuwashindisha chaguzi kuu.....

Sera zao za kiliberali zenye kutaka MAJIMBO haziwiani na historia kuntu ya taifa hili bora Afrika.....

#SiempreJMT
 
Kauli ya kipumbavu sana kumwita binadamu mwenzako mwendakuzimu je unahukumu wewe kama nani na unauhakika gani yupo huko au unaongozwa na chuki angalia usihukumu usijehukumiwa

Mwendakuzimu alipokuwa anateka na kuua mbona hukumshauri aache?
 

Waombe msamaha kwa mbowe kufilisiwa, Lissu kupigwa risasi, uchaguzi kuibiwa na Sanane kupotea. Mta subiri sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mwacheni mzee wa watu apumzike mahali pema peponi sio kila siku mnatafuta kiki
 
Trully, you are a very WEAKMAN, upstairs.
 
Mkuu hicho chama kilishakufa. Kikundi kilichobaki uwezo wao wa kifikiri ni mdogo sana na wanadharau mno. Sisi tuliwashauri toka mwanzo 2016 waunge mkono Dkt Magufuli kwa sababu wao walikuwa sehemu ya mabadiliko ila wajenge hoja za njia mbadala ili wananchi wawaelewe, wao wakajikita kuwatumia akina kigogo, mdude, mange na kumporomoshea matusi ya nguoni Dkt Magufuli na mpaka wakafanya sherehe ya kufariki kwa Dkt Magufuli. Kwa ufupi hicho kikundi hakina think tank ya Dr akina Dr Slaa.

Na ulichoshauri kama kikitokea chama kipya kimeundwa leo chenye kushika na kubeba maono ya Dkt Magufuli nina uhakika CCM tutapata tabu sana kushinda na ushindi utakuwa mgumu kwa sababu mpaka sasa vifo vya chanjo za COVID19, rais wetu kukosa kukemea uovu kwa sauti, kurudisha watu ambao wana vinasaba vya rushwa yaani angejua huku mtaani wanavyomnanga asingecheka na akina Makamba na Mwigulu na akina RC Makalla. Mungu amsaidie aone na achukue hatua.
 
Chadema hawana sera za maana kufikia watanzania kuwashindisha chaguzi kuu.....

Sera zao za kiliberali zenye kutaka MAJIMBO haziwiani na historia kuntu ya taifa hili bora Afrika.....

#SiempreJMT
Mataifa mengi yanafuata mfumo wa shirikisho (Federal System of Government) na wako vizuri sana kimaendeleo.

Tatizo lenu ni kukaririshwa kwani ccm wanaona kwamba mfumo huu utawanyang'anya madaraka na kuyapeleka kwa wananchi na serikali kushindwa kutumia fedha kuwafanyia blackmail wananchi ambao hawakuwapigia kura.

Watu kama wewe ni upeo mdogo tu ndio unaowasumbua kwani hamjui yanayofanyika nje ya Tanzania.

It's a question of parochial thinking coupled with the lack of exposure.
 
Chadema hawana sera za maana kufikia watanzania kuwashindisha chaguzi kuu.....

Sera zao za kiliberali zenye kutaka MAJIMBO haziwiani na historia kuntu ya taifa hili bora Afrika.....

#SiempreJMT
Ukija uchaguzi mnakimbia na masanduku ya kura.
Nyie viumbe mnaoitwa MaCCM ni wapumbavu wa kiwango kikubwa sana
 
Magufuli huyu aliyekuwa akiua watu, kuteka na kuwadhulumu mali zao ndio unamuona mtu, hata Mungu aliona amuwaishe kuliko kumuacha aendelee kutesa watu wake.

Magufuli hakuwa mtu, huyo alikuwa ni shetani ๐Ÿ˜ˆ kabisa. Tatizo lenu nyie mkishakosa favour ndio mnaleta stori kama hizi. Bure kabisa.
 
Umempa doze ya kutosha asipomaliza shauri yake. Hawezi kupona huo upumbavu wake wa kutaka kutushirikisha kwenye madhabahu ya wafu.
 
Propaganda za kitoto. Na ndiyo hizo hizo propaganda tunaambiwa eti Riziwani alikamatwa China na madawa ya kulevya na JK ilalisafiri kwenda China. Tumia akili achana kukaririshwa huo ujinga. Mbowe na genge lake waliua watu ili ionekane serikali imeua. Lisu Mbow alishiriki kujaribu kumuua ili eti nchi isitawalike. In short ni mwenye uelewa mdogo kama wewe utaamini huo upupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ