MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ndugu Kisamv elewa kwenye siasa kuna "check & balance" kwahiyo Lissu kuongelea mambo ya madini mbele ya waandishi wa habari ilikuwa sahihi kwa yeye kama mwanasiasa mpinzani. Na mambo aliyoongelea yalikuwa ya kisheria na sio huo upumbavu wa kudai utu na huruma. Kuhusu katiba ni kweli Lissu na wapinzani wengine walizingua sana kwa kung'ang'ania vitu vya kipuuzi visivyoboresha maisha ya mwananchi hasa ishu ya SERIKALI TATU. Ila umesoma kilichoandikwa kwenye katiba pendekezwa? Yaani bora mchakato uanze upya au iachwe katiba hiihii kuliko ile pendekezwa ya Chenge. Wakati mwingine jitahidi kuja na nyuzi zinazotumia akili. Ninakereka sana mtu anayeturudisha kwenye machungu ya awamu ya 5.
Unaipimaje mkuuHiyo akili ya kuvukia barabara ndio akili kubwa? Chawa ni tatizo
Haya ni mambo kimedani vitani mkuu..halafu Prof.Kabudi si alijitokeza na kusema madai ya usd 191 bil dhidi ya acacia hayakuwa ya kweli?
..Na kauli Prof.Kabudi inakazia kauli aliyotoa Tundu Lissu kwamba ripoti za uchunguzi zilikuwa " professorial rubbish. "
..Jpm alianzisha utamaduni mbaya sana wa kulaghai wananchi na kuwa na makundi ya wapambe ya kutetea ulaghai wake.
Wewe kwa mtizamo wako mwendazake unamchukulia kama Tundu lussu?,Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu
Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani
Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!
Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao
Pili:
Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake
Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini
Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k
Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA
Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?
Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?
Angalizo...
Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?
Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?
Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!
Jambo lingine ni kwamba"
Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.
Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.
Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.
Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.
Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.
Lini na wapi Chadema wametoa tamko la kulazimisha watu wamuone Lissu shujaa? Unaonekana wewe ni salia la yule mzilankendeMh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!

Kwa hiyo ndugu zako wote uliowazika ni watu wabaya wewe ni mpuuziWATU WEMA HAWAFI MAPEMA, mzee Makamba.
Kwa hiyo Lissu ndio shujaa wenu chadema🤣🤣🤣🤣Umelazimishwa na nani wewe chawa?
Shujaa wa Belgium 🇧🇪 kwani yule ni mtanzania?Lisu shujaaa Bwana Acha wivu,,Mimi ccm kindakindaki Lakini lisu namkubari.Ni mkweli Hana makandokando ya Rushwa,,Mnyonge Mnyongeni Lakini Jamaa Yuko Safiiiii.
Nitajie mambo ya maana aliyofanya lissuWewe kwa mtizamo wako mwendazake unamchukulia kama Tundu lussu?
Kama wewe ni mmojawapo wa wenye akili kubwa, basi ndio maana Tanzania ipo hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru!!Sikushangai kwa sababu nilitoa rukusa kwa wenye matusi kama wewe'
Toa yote ya nyongoni mwako ila huwezi kuwalazimisha wenye akili kubwa waone kama wewe
Akikujibu nistue mkuu niko paleeeeNitajie mambo ya maana aliyofanya lissu
Ndugu kwani ni NANI huyo, na LINI na WAPI ulilazimishwa umuone Tundu Lissu ni shujaa?Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu
Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani
Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!
Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao
Pili:
Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake
Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini
Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k
Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA
Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?
Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?
Angalizo...
Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?
Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?
Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!
Jambo lingine ni kwamba"
Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.
Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.
Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.
Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.
Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.
Wewe uko Tanzania ipi usiyejua kwamba tanzania imekuwa ikishtakiwa na bado ina kesi ktk mahakama za kimataifa kutokana na migogoro ya mikataba ya Magu? Hata jujuzi tu bado ndege zinataka kukamatwa wewe haujiulizi sababu.Shujaa wenu kaja
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!
Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!
Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu
Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani
Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!
Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao
Pili:
Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake
Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini
Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k
Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA
Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?
Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?
Angalizo...
Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?
Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?
Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!
Jambo lingine ni kwamba"
Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.
Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.
Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.
Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.
Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.
NduguUngemalizia jina lako kuwa Kisamvu cha kopo kabisq
Shwaini.