CHADEMA, mna haki ya kumuona Lissu kama shujaa wenu, ila si kulazimisha kila mtu amuone ni shujaa

Ndugu Kisamv elewa kwenye siasa kuna "check & balance" kwahiyo Lissu kuongelea mambo ya madini mbele ya waandishi wa habari ilikuwa sahihi kwa yeye kama mwanasiasa mpinzani. Na mambo aliyoongelea yalikuwa ya kisheria na sio huo upumbavu wa kudai utu na huruma. Kuhusu katiba ni kweli Lissu na wapinzani wengine walizingua sana kwa kung'ang'ania vitu vya kipuuzi visivyoboresha maisha ya mwananchi hasa ishu ya SERIKALI TATU. Ila umesoma kilichoandikwa kwenye katiba pendekezwa? Yaani bora mchakato uanze upya au iachwe katiba hiihii kuliko ile pendekezwa ya Chenge. Wakati mwingine jitahidi kuja na nyuzi zinazotumia akili. Ninakereka sana mtu anayeturudisha kwenye machungu ya awamu ya 5.
 
..halafu Prof.Kabudi si alijitokeza na kusema madai ya usd 191 bil dhidi ya acacia hayakuwa ya kweli?

..Na kauli Prof.Kabudi inakazia kauli aliyotoa Tundu Lissu kwamba ripoti za uchunguzi zilikuwa " professorial rubbish. "

..Jpm alianzisha utamaduni mbaya sana wa kulaghai wananchi na kuwa na makundi ya wapambe ya kutetea ulaghai wake.
 
Haya ni mambo kimedani vitani mkuu
 
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!

Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!

Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu

Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani

Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!

Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao

Pili:

Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake

Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini

Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k

Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA

Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?

Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?

Angalizo...

Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?

Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?

Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!

Jambo lingine ni kwamba"

Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.

Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.

Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.

Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.

Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.
Wewe kwa mtizamo wako mwendazake unamchukulia kama Tundu lussu?,
 
Lini na wapi Chadema wametoa tamko la kulazimisha watu wamuone Lissu shujaa? Unaonekana wewe ni salia la yule mzilankende
 
Lisu shujaaa Bwana Acha wivu,,Mimi ccm kindakindaki Lakini lisu namkubari.Ni mkweli Hana makandokando ya Rushwa,,Mnyonge Mnyongeni Lakini Jamaa Yuko Safiiiii.
Shujaa wa Belgium 🇧🇪 kwani yule ni mtanzania?
 
Sikushangai kwa sababu nilitoa rukusa kwa wenye matusi kama wewe'

Toa yote ya nyongoni mwako ila huwezi kuwalazimisha wenye akili kubwa waone kama wewe
Kama wewe ni mmojawapo wa wenye akili kubwa, basi ndio maana Tanzania ipo hivi ilivyo hata baada ya miaka 60 ya uhuru!!
 
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!

Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!

Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu

Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani

Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!

Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao

Pili:

Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake

Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini

Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k

Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA

Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?

Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?

Angalizo...

Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?

Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?

Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!

Jambo lingine ni kwamba"

Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.

Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.

Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.

Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.

Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.
Ndugu kwani ni NANI huyo, na LINI na WAPI ulilazimishwa umuone Tundu Lissu ni shujaa?

Umechanganyikiwa bila Shaka.... Au siyo?

Watu (nikiwemo Mimi) wanampenda, wanamsikiliza, wanamwelewa, kumwamini na zaidi sana kumuona shujaa Tundu Lissu kwa hiari yao wenyewe bila shuruti yoyote..

Hivi nani mwingine duniani kote tangu kuumbwa ulimwengu aliwahi kupigwa risasi 37 na 16 kuzama mwilini halafu asife, akaendelea kuwa hai?

Ni Tundu Lissu pekee!!....... Huyu mtu ni very unique. HUYU NI SHUJAA upende ama usipende!!

Wewe unasemaje ulilazimishwa? Wapi na nani huyo?
 
Shujaa wenu kaja
Wewe uko Tanzania ipi usiyejua kwamba tanzania imekuwa ikishtakiwa na bado ina kesi ktk mahakama za kimataifa kutokana na migogoro ya mikataba ya Magu? Hata jujuzi tu bado ndege zinataka kukamatwa wewe haujiulizi sababu.

Tatizo lenu mnaojifanya watetezi wa Magu mnao ujinga kwamba hadi msikie neno MIGA kama lilivyotamkwa na nina Mashaka kuwa hata hamjui maana ya neno hilo.
 
Mh Tundu Lissu ni mwanasiasa machachali na aliyejaliwa kuwa na maneno mengi na kupenda kubishana mpaka aonekane lake ndilo la maana!

Ni mwanasiasa na mwanasheria mzuri ambaye hajawahi kufanikiwa katika tageti zake zote za kiasa!

Kati ya mambo ambayo hayampi kuwa na historia nzuri ni pamoja na kushindwa kulisaidia Taifa katika nafasi aliyokuwa nayo pale alipoongoza wapinzani kwenye bunge la katiba, kama ilivyotazamiwa na wengi kwamba Tanzania itaenda kuwa na katiba nzuri na ya mfano katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kwa kuwa ilikuwa na watu makini kama kina Lissu

Matokeo yake huyu ambaye wengi wa wanachadema wanalazimisha watu tumuone ni shujaa na kwamba nchi nzima bila yeye Taifa haliwezi kwenda' mh Tundu lisu aliongoza mashambulizi ya kumsema na kumkashifu Baba wa Taifa hayati JKN na kufanya bunge la katiba kuvurugika kuvunjika, Hapa tuelewane, Baba wa Taifa kwa maarifa na hekima yake ukijumlisha na wasomi wachache mno ambao alifanya nao kazi nyakati hizo mpaka kuliweka taifa hili kuwa misingi ya umoja uliopo mpaka leo, ni dhahiri shahiri haihitaji mtu aombwe kumheshimu huyu mwamba wa Tanzania, Africa na Duniani

Mwl Nyerere aliendesha nchi chini ya katiba mbovu na huku akijua ni mbovu lakini hakujilimbikizia hata mali, alikufa masikini huku akiyaacha madini ili Watanzania wakija kusoma na kuyaelewa umhimu na thamani yake, basi wafaidi kizazi cha kina Lissu n.k, ajabu anatokea tu mtu asikojulikana kuja kutukana na kukashifu? Hizi dharau, na hata yeye mh Lissu angelikuwa ndiye baba wa taifa, binafsi yangu nisingelikubali adhalilishwe!

Na kwa sababu hiyo! Mh Lisu hakosi kuwepo kwenye lawama za kuwakosesha watanzania katiba yao

Pili:

Kama nchi, kuna mambo mengine huwa hayahitaji upinzani, badala yake yanahitaji utu, utanzania na uzalendo tu wa kulipenda Taifa hasa Taifa linapongia katika kudai kile linaamini ni haki ya watu wake

Mh Tundu lisu badala ya kuingia Ikulu moja kwa moja ili kutoa ushauri wake kuhusiana na ile mikataba ya kinyonyaji ya Madini

Yeye aliamua kupayuka na kuita wandishi wa habari akiamini hapo anatoa ushauri na asijuekuwa anaharibu zaidi, kwani si kila jambo linaweza ongelewa mbele ya makamera n.k

Huyu huyu aliendelea kusema kwa kujiamini kuwa' serikaliisipochukua ushauri wake aliousemea kwa wandishi wa habari wa nje na ndani, lazima Serikali ingeshitakiwa MIGA

Je' Ni kweli kwamba Serikali ilipoacha kuchukua ushauri wa mh Lisu ilishitakiwa MIGA?

Na kama haikushitakiwa' ushujaa na uelewa mkubwa kuliko watanzania wote kwa mh Lisu uko wapi?

Angalizo...

Kuna zile hoja za wachache wenye kuona mh Lisu hawezi kukosea, wao watadai, je serikali ililipwa yale matrion yaliyokuwa yakidaiwa na serikali?

Shida sio kulipwa matrion" shida ni mashabiki wa mh Lisu waseme na wataje iwapo kweli serikali ilishitakiwa kweli kwenye mahakama za kimataifa MIGA?

Faida moja wapo ya uboreshwaji mikataba hiyo iliyoombewa kushitakiwa MIGA, ni serikali kuingia shere na mwekezaji na kuundwa kampuni mpya ya Twiga!

Jambo lingine ni kwamba"

Nia ya mh Lisu kutoka ndani ya moyo wake kipindi alipokuwa kule Ughaibuni na akiendelea na kule kuichongea serikali kuhusu kupigwa risasi kwa madai yake na kwa wengi kwamba serikali ilihusika, alitamani serikali ipigwe bani na ikiwezekana kiongozi aliyekuwepo afanywe kisaddam Hossen.

Binafsi yangu nilipendelea hivyo, tatizo haikuwa ni wazungu kuipiga ban serikali hiyo, shida ilikuwa ni yeye kwa kukosa utulivu wa kuelezea vema tukio hilo.

Kulihitajika hekima kidogo tu wakati akielezea hilo kwa wandishi mbalimbali huko Ughaibuni.

Niishie kwa kusema' Mh Tundu lissu kinachokosekana kwake ni ile hekima na utulivu, hawapishani tu na mwendazake.

Na hivyo tuwaombe chadema! Wastake kulazimisha eti watu wote tumuone Mh Lisu ni shujaa nchi nzima na hakuna mwingine.

Hemu scan barua ya mtu aliyetuma maombi ya wewe kumuoma shujaa au clip inayokulazimisha!?
 
Ungemalizia jina lako kuwa Kisamvu cha kopo kabisq

Shwaini.
Ndugu
Demokrasia ni kuvumiliana kwa kuwa sote hatuwezi kuwa na mawazo au fikra zinazofanana.....sio dhambi kuwaza tofauti na wengine..........

Sio kila anayetofautiana fikra ni aibu bali ndio ubinadamu.......
 
Back
Top Bottom