Uelekeo555
Senior Member
- Jun 1, 2024
- 160
- 112
Sasa mkuu wasipoweka wanapataje Madiwani?Chadema nawapeni huu ushauri Bure Kanisa na kama hamtauzingatia msije kusema hatukuwaambia haya,
Lazima Muwe na area of concetration.
Ushauri wa Bure kabisa huu
Sijasema wasiweke hapana ila nimesema waweke watu weak na wasifanye kampeni kubwa hayo maeneoSasa mkuu wasipoweka wanapataje Madiwani?
Haya maneno labda yangemfaa Mbowe ila sio Tundu LissuSijasema wasiweke hapana ila nimesema waweke watu weak na wasifanye kampeni kubwa hayo maeneo
Hata hivyo mkt mbona ni Mbowe tu mpka 2029Haya maneno labda yangemfaa Mbowe ila sio Tundu Lissu
Kafulila ni Kigoma KaskaziniKafulila hana jimbo wala makonda hana jimbo.
Uzoezi unahitajika sana ndg yanguHao wapinzani 21 wameshakuwepo Bungeni kwa muda mrefu.
Ni muda sasa tupate mawazo mbadala.
Kwani hao jamaa zetu hawawezi kujiajiri nje ya Siasa.
Mbona sisi wengine tunapambana huku mtaani??
Waungane nasi katika mapambano ya kujikwamua kiuchumi na sio kupiga porojo tu Bungeni na kupata hela za bure bure.
Kafulila wala makonda sio wabunge Acha ujinga wako.Kafulila ni Kigoma Kaskazini
Makonda ni Kigamboni,
Haya ni matakwa ya Wananchi sio matakwa yao,
Wanahitajika Bungeni ili kupata Serikali changamvu ya Mama Samia Suluhu Hassan.
Ndio unahitajika ila sio watu wale wale wajasiriamali wa siasa.Uzoezi unahitajika sana ndg yangu
Sasa unapingana na mawazo ya Wananchi?Kafulila wala makonda sio wabunge Acha ujinga wako.
Sasa huko kote ndio kwa kuweka wagombea ngangari na hiyo ndio maana halisi ya demo kura sio🤣.Hakuna kila ubwete ubwete,kila mtu na ale kwa jasho lake hakuna unyonyaji wala unyonya damu au kausha damu🤣Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Nani ndani ya CCM kumshinda Nape Nauye?Kwanza ni kama unaota, wote hao wa ccm ni nani mwenye uhakika wa kupita kwenye kura za maoni?
😂😂😂Sasa
Sasa huko kote ndio kwa kuweka wagombea ngangari na hiyo ndio maana halisi ya demo kura sio🤣.Hakuna kila ubwete ubwete,kila mtu na ale kwa jasho lake hakuna unyonyaji wala unyonya damu au kausha damu🤣
Kwamba haya ni majimbo ya hao uliowataja ujinga ni mzigo mzito sana.Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
YNawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Hoja ya kitoto sana hii kwenye Siasa.Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Bungeni.
CHADEMA.
====
CHADEMA msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo mtapoteza rasilimali zako kiduchu unazomiliki na mwisho hamtashinda Uchaguzi.
1. Jimbo la Khasim Majaliwa
2. Jimbo Nape Nauye
3. Jimbo la Paul Makonda
4. Jimbo la January Makamba
5. Jimbo la David Kafulila
6. Jimbo la Jerry Silaa
7. Jimbo la Kitila Mkumbo
8. Jimbo la Mwigulu Nchemba
9. Jimbo la George Simbachawene
10. Jimbo la Tulia Ackson
11. Jimbo la Hussein Bashe
12. Jimbo la Jenister Muhagama
13. Jimbo la Ridhiwani Kikwekte
14. Jimbo la Mohamed Mchengerwa
15. Jimbo la Suleiman Jaffo
16. Jimbo la Juma Aweso
17. Jimbo la Luhaga Mpina
18. Jimbo la Job Ndugai
19. Jimbo la Hamprey Polepole
20. Jimbo la Jumanne Kishimba
21. Jimbo la Dotto Biteko
22. Jimbo la Innocenti Bashungwa
23. Jimbo la Kasheku Msukuma
24. Jimbo la Iddi Azan Zungu
25. Hamis Kigwangala
Nashauri CCM pia msiweke wagombea strong kwenye haya majimbo kwa sababu uwezekano wa kupoteza ni mkubwa lakini watu hawa ni muhimu kwa ustawi wa demokrasina na ustawi wa hoja kinzani bungeni.
1. Jimbo la Freeman Mbowe
2. Jimbo la Godbless Lemma
3. Jimbo la Tundu Lissu
4. Jimbo la John Heche
5. Jimbo la Peter Msigwa
6. Jimbo Joseph Mbilinyi
7. Jimbo la Zitto Kabwe
8. Jimbo la Devotha Minja
9. Jimbo la Marwa Ryoba
10. Jimbo la Aida Kenani
11. Jimbo la John Mnyika
12. Jimbo la James Mbatia
13. Jimbo la Ester Bulaya
14. Jimbo la Ester Matiko
15. Jimbo la Ezekiah Wenje
16. Jimbo la Wilibrod Slaa
17. Jimbo la Boniface Mwambukusi
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge
Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.
Wanaweka madiwani sio Mbunge......iko sawa sawa....Sasa mkuu wasipoweka wanapataje Madiwani?