Pre GE2025 CHADEMA msiweke Wagombea kwenye haya Majimbo na CCM pia haya Msiweke ili kujenga Bunge lenye nguvu baada ya 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sa mbona tukia na mbilinyii wako jimbo moja hata we mwenyewe umeshindwa kuwachagua wagombea
 
18. Jimbo la Frank Mwakajoka
19. Jimbo la Jesca Kishoa
20. Jimbo la Suzan Kiwanga
21. Jimbo la Catherine Ruge

Sasa nà wewe ongeza Jimbo unalodhani tunapashwa kuvishauri vyama vya Siasa Tanzania viachiane ili kuimarisha Bunge la 12.​
😎😎
 
Mimi ukiniuliza kati ya Lema na Gambo nitakwambia Gambo ni Bora zaidi.

Pili Waziri Mkuu hawezi gombea tena stori yake imeishia kifuatacho ITV ni aidha agombee Urais(Hawezi pata) au asubirie kuteuliwa Mkuu wa Chuo .
 
Yaani tunuache Spialka Tulia tumchague Sugu? Huna akili kabisa
 
Mimi ukiniuliza kati ya Lema na Gambo nitakwambia Gambo ni Bora zaidi.

Pili Waziri Mkuu hawezi gombea tena stori yake imeishia kifuatacho ITV ni aidha agombee Urais(Hawezi pata) au asubirie kuteuliwa Mkuu wa Chuo .
Agombee Urais kwa Chama gani?
 
Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Wajumbe tuna mchomoa mapemaaa asubuhi,kwani tulisha noa vichinjio vyetu na vilivyokuwa vingi na vikali hata shingo itaenda kutafutwa kwa tochi ilipokuwa😂
 
Acha kujifariji jamaa kwa sasa ni tishio Jimbo lolote hapa Tanzania
 
Makonda anataka agombee Jimbo gani? Harafu Kwa hulka yake hawezi pita na pia atapotea kwenye siasa maana anaweza asipate Wizara atasikika wapi Kwa utaratibu wake?
 
Makonda tunamchomoa tena kwenye kura za maoni kama kawa
Wajumbe tuna mchomoa mapemaaa asubuhi,kwani tulisha noa vichinjio vyetu na vilivyokuwa vingi na vikali hata shingo itaenda kutafutwa kwa tochi ilipokuwa😂
 
Acha kujifariji jamaa kwa sasa ni tishio Jimbo lolote hapa Tanzania
Tisho kwako ila sii kwa raia wenye kujua tamu na chungu ya maisha ya kila siku,nyie mboga saba kwa urefu wa kamba mtuache na kazi yetu tuachie wenyewe🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…