CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

Polepole ni mhuni
 
Tumpe nguvu mshenzi aliharibu nchi yetu ya amani kuwa nchi ya kutekana,kumbe wewe hamnazo kabisa mtu muuaji unampa sapoti gani,akafie mbele huko huko.
 
Acha ushamba wewe,Polepole ni mhuni kama wewe.
 
Mbowe kawa rafiki yako tangu lini????Siasa za majitaka hizo.
 
🤣🤣🤣 aibu sana,hii nchi upinzani badosana mkuu.

Ndiomaana nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm na sasa muda unaanza kutoa majibu kuanzia kwa hayati Magu up to now, taratibu tunaelekea kwenye mabadiliko.
Weye na mwenzio wa ajabu kweli.Kwa hiyo leo hii mnawafundisha CHADEMA namna ya kumuonea huruma Mbowe na kumkashifu mwingine?Hivi hata semo za kigogo hamjui kwamba:Adui wa adui yako ni rafiki yako?Au:Keep your friends close.But keep your enemies even closer!?
 
🤣🤣🤣 aibu sana,hii nchi upinzani badosana mkuu.

Ndiomaana nyerere alisema upinzani wa kweli utatoka ndani ya ccm na sasa muda unaanza kutoa majibu kuanzia kwa hayati Magu up to now, taratibu tunaelekea kwenye mabadiliko.
Mtakoma sana nyie viroboto,Mungu alianza na Magu,akaja kumshughulikia Sabaya,sasa ni zamu ya Polepole mpaka mtakapotubu dhambi zenu zote hapo ndipo Mungu atawasamehe.
 
Unapambanaje na mtu aliyeteketezwa ?
 
Wacha weeee !!!
 
Hivi mtaacha lini upumbavu, chadema wanayapitia MAGUMU kwa ajenda ya katiba mpya, wafanye nini zaidi ya hapo??

Au mnaona raha kuitaja chadema
 
Ushauri mzuri ila tatizo Chadema hawashauriki kabisa. Wange support hii move ya HPP wangejizolea umaarafu mkubwa. HPP si wa kubeza ana watu wengi sana wanao muunga mkono wengi wakiwa vijana.
 
Hakuna kitu kama hicho Dogo siyo kila siku unakariri verse, kila tukio linakuja na mshindo tofauti
 
Ccm Mbona mnaumia na chadema, nani anahangaika na polepole?
 
Walipokuja kwetu kututesa yeye aliona ni sawa kabisa...
Sasa leo wamebisha hodi kwake anaanza kulalamika...
Angetulia tulii ateswe kuliko walivoteswa wengine...
Na nyie CDM... mnapiga kelele za nini sasa...??
Fanyeni kazi ya kukoleza moto uendelee kuwaka...!!
 
Sasa we endelea kukenua meno kufurahiya unachosema mbaka umesahau kesho ni tarehe 14 ukija kujitambua kama unachekelea ujinga ukigeuka nyuma utakutamwenyekiti anachezea nondo.
Sukuma gang! mmeumia baada ya kiroboto kukanyagwa hasira mnaxihamishia chadema
 
niliishasema chadema ni mbuzi.

kama kuna mtu amekasirika shauri yake.
hawa ni rahisi sana kuwatoa kwenye malengo yao.
kama gazeti zinalopepeluka yaani hawana uelekeo maalum.

hata magufuli aliwapoteza kwa wananchi kwa style hii hii.
wakati kaja anapambana na majizi badala ya kumuunga mkono,wako busy kutoonyesha jinsi walivyo mbayuwayu,wanamsema anaminya uhuru wa kuongea,alipoona wanazidi kupiga kelele akawatoa kabisa bungeni.

kwa sasa wacha wawapambane na pole pole wakidhani watamuweza.
 
Peleka ujinga mbali, unataka watu wakae wanajadili jambo jambo eti ili hiyo kelele ndio imtoe Mbowe. Ni kelele ipi haijapigwa ambayo ilikuwa inasubiri hili igizo la Polepole ndio serikali na dunia isikie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…