CHADEMA mtandao huu sio wakati wa kupambana na Polepole

Ngoja Pole pole apewe uwaziri
Ndo mtaijua "RANGI YAKE".
mnasahau mapema sana.
 

Magufuli hajawahi kupambana na wezi bali alikuwa analipa visasi kwa matajiri waliompuuza huko nyuma. Wezi wa pesa za escrow ambao ni wanaccm wenzake na wanafahamika mbona hakuwafanya chochote. Kama aliwapoteza cdm kwa wananchi, kipi kilimfanya aendeshe chaguzi za kishenzi ili yeye na ccm wenzake watangazwe washindi kwa shuruti? Polepole anapambana na majizi menzake ya kura ya CCM, sisi hapa tunachochea kuni tu ili akili imkae sawa.
 
Wewe ni mbumbumbu acha watu washerekee kama walivyosherehekea msiba wa mwendazake.
Hopeless, watu kama wewe eti ndio muonekano wa upinzani Tanzania hujui hata faida na hasara ya kushangilia kilakitu, alafu akitokea mtu akakuambia wewe ni juha utakataa!!.
 
Sukuma gang! mmeumia baada ya kiroboto kukanyagwa hasira mnaxihamishia chadema
Sijui unazungumzia hasira gani hapo, mimi nimewakumbush msijisahau, maana mmekuwa kama watoto.
 
uu, siasa ni mchezo unaohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri. CHADEMA hawana huo uwezo; tuwaache tu waendelee kutumia nguvu zao nyingi dhidi ya mtu ambaye sio threat tena kwao. Wajinga ndio waliwao!

Kama CCM wangekuwa na akili ambayo unataka tuamini wanayo, leo hii nchi hii isingekuwa masikini kama ilivyo.
 
Cdm imeingiaje hapo

Hivi bulembo ni cdm

Kuna kiongozi gani wa cdm kamjibu slowslow

Ova
 
Sijui unazungumzia hasira gani hapo, mimi nimewakumbush msijisahau, maana mmekuwa kama watoto.

Ungekuwa na akili usingepanic hivi, watu wamerelax we naona unatumia nguvu kubwa kwenye maoni ya watu.
 

sasa matajiri walimpuuza magufuli ktk jambo gani unadhani!!!kama umeacha akili zako ziwe katika ubora wake!!!!

aliwaomba hela za kununua gari au??
aliwaomba rushwa asiwavunjie nyumba?
aliomna wamlipie ada ama??
tunaomjua magufuli toka wizara alizopita tunawatizama kwa dharau namna mlivyo wanafiki,ndio sababu hata saport ndogo ya wananchi mmekosa mnalia peke yenu tu,watu waliokuwa nyuma yenu wako wapi???

magufuli hajawahi kucheka na paka yeyote,alichokifanya kwa hao wazee wako wa escrow ni kuwaonyesha kwamba ana uwezo wa kufanya kitu,kwa mtu yeyote haijalishi ana hela ama alaah,kamuulize seth na ruge.
 
ciciem wote ni wahuni tu pamoja na mzee wa mwendo wa kinyonga
 
Acha kupanick mpaka unaleta utetezi usio na kichwa wala miguu. Nimekwambia walioiba hela za escrow ni pamoja na wanaccm wenzake, aliwafanya nini? Hao matajiri aliweza kuwafanyia maana alikuwa na chuki nao.

Hao wananchi unaosema walikuwa nyuma yetu na sasa hawapo, umetumia kigezo gani, maana kama ni uchaguzi tuliona ukiporwa kwa uwazi, na idadi ya wapiga kura ikipikwa. Sasa sijui unaongea utoto gani.
 
Hakuna Jambo hapa nchini linaweza kufunika ishu ya Mbowe,Kama huamini subiri kesho utaniambia,lakini hii haizuii pia kufanya harakati zaidi ya moja na ikawezekana,mbona sasa Kuna CHADEMA digital na inafanya vizuri,chocheeni kuni hamjachelewa na Wala hamna la kupoteza.
 

mimi nimepanick sio wewe ambaye unajifanya hujui magufuli alifanyia nini nchi hii!!![emoji38][emoji38]

unajua maana ya kuwa mbele ya wananchi?au kuwa na wananchi nyima yenu!!!wangeachaje mporwe uchaguzi!!

nimekuuliza alikuwa na chuki nayo baada ya kutofautiana nao kwenye nini??jibu huna zaidi ya lawama baada ya chama lenu la wahuni kuvurugwa vurugwa.
 

kwa upuuzi wenu chadema mbowe anaweza fanywa chochote kibaya na watu wasijue,kwa sasa ili kutangaza uharamia wa serikali kwa mkiti wenu ilifaa muungane na pole pole,lakini hewalaaa-eti mnamcheka[emoji1][emoji1]

haya endeleeni kucheka.maana mnaitikia mapambio ya ccm na kusahau ibada yenu si moja na wao.
 
Kumbuka adui wa adui yako Ni.........
 
Eti leo wanatuambia tumuonee huruma....

Jesus Christ...wacha wauane....CCM imepasuke vipande vipande

Walikua wanaiombeaga mabaya sana CDM....ni zamu yao na wao!

ajabu atajiunga chadema na atapokelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…