The africanus
Member
- Sep 25, 2021
- 79
- 94
Hakuna move yoyote hapo zaidi ya watu kugombania matumbo yao.wote wanajulikana ikitokea wamepeana ulaji hutakaa uwasikie tena.Hpp wako alishaonja vitamu akawabeza wenzake.sasa leo anaona aliowabeza ndo wanaokula na kumbeza yeye ndo maana kaibuka na haya makasiriko uku akijificha nyuma ya mgongo wakujifanya mzalendo.Ushauri mzuri ila tatizo Chadema hawashauriki kabisa. Wange support hii move ya HPP wangejizolea umaarafu mkubwa. HPP si wa kubeza ana watu wengi sana wanao muunga mkono wengi wakiwa vijana.
imi nimepanick sio wewe ambaye unajifanya hujui magufuli alifanyia nini nchi hii!!![emoji38][emoji38]
unajua maana ya kuwa mbele ya wananchi?au kuwa na wananchi nyima yenu!!!wangeachaje mporwe uchaguzi!!
nimekuuliza alikuwa na chuki nayo baada ya kutofautiana nao kwenye nini??jibu huna zaidi ya lawama baada ya chama lenu la wahuni kuvurugwa vurugwa.
Hasira mnazo nyie mnae pambana na marehemu,
Chadema sio wajinga kiasi hicho.huo ni ugomvi wa matumbo ya watu wakati cdm wanajali haki kwa kila mtu.sasa kama polepole hakuwai kua mtu wakupambania haki sioni mahali cdm wakiangaika kumtetea.acha kila mtu avune alichopanda.Cha kushangaza wao nao wampiga mawe polepole badala ya kuonganisha nguvu.
👍👍👍👍Moshi wa Polepole umeanza kuwatoa nje wahuni mpeni nguvu na kukoleza mchezo,mmelamba garasa lipo ndani ya ngome halafu mnalichunia! mnajua siasa kweli vijana?
Magufuli alifanya nini ambacho hakikufanywa na viongozi wengine, au zile propaganda uchwara ndio umeona deal sana? Kupambana dhidi ya utawala dhalimu sio jambo la siku moja au muda mfupi. Rejea historia za watu au chama kilichotolewa madarakani baada ya kuchokwa ni muda gani hilo lilitokea.
Alikuwa na chuki na matajiri kwani walikuwa hawampi rushwa. Ifahamike alikuwa ni mshamba ambaye hakuwa muadilifu.
Hatukatai mtu mzee....ingia gombea kura upate,hakuna kuteuliwa kama kwenu huko
alifanya ambacho walifanya na wengine,kipi kinafanya mmuone yeye pekee ndiye muuaji!!!mbana demokrasia na mwingi wa propaganda!!!
yess kupambana na wadhalimu na ndumilakuwili sio swala la siku moja ndio maana alitumia miaka 5 yote kunyoosha nguruwe nyeusi.
walimyima rushwa kwenye nini wewe maamuma???nenda kawaulize tanesco na jengo la ubungo,halafu waulize vyema walimnyima rushwa gani???
SSB na vipuri vya bot kamuulize ilikuwaje.
mnakuwa wanafiki mpaka mnashindwa kutetea mpaka mambo yaliyo dhahiri kabisa ambayo hata nyinyi mnayaamini,na tuwakumbushe dhambi hii ndio imeua chama na kuonekana na wananchi kama choo cha stand.
Ulikuwa unataka kumpamba kama vile kafanya maajabu kumbe kakuza tu deni la taifa. Hizo sifa vzs kijinga aliwaokota nyie sukuma gang mliokuwa mnamsujidia.
Hakuna mwizi wala ufisadi wowote alipambana nao zaidi ya kupambana na matumizi ya neno fisadi. Kama mnaamini hatuna support ya wananchi heshimuni uchaguzi na kuwe na tume huru uchaguzi, kisha ujiandae kupata msongo wa mawazo. Hapo ndio utajua CCM sio chama cha kizazi hiki.
Inakuaje kwa Polepole?Unaniuliza mimi?
Ni mimi naratibu Polepole's affairs?
Nachojua mimi simpendi Polepole..hatumpendi as he is!
Yeye aje tutampa kadi ila cheo asahau,hawezi pata maana hawezi teuliwa na yeyote na hawezi pigiwa kura
Ataishia kua card holder
Fuatilia Uzi wowote wangu wa nyuma uone ni lini nilikuwa pamoja na CCM!Mbowe kawa rafiki yako tangu lini????Siasa za majitaka hizo.
SaWa Lakini muwe aware na propaganda za CCM.Hakuna Jambo hapa nchini linaweza kufunika ishu ya Mbowe,Kama huamini subiri kesho utaniambia,lakini hii haizuii pia kufanya harakati zaidi ya moja na ikawezekana,mbona sasa Kuna CHADEMA digital na inafanya vizuri,chocheeni kuni hamjachelewa na Wala hamna la kupoteza.
CHADEMA Ni km upupu msipoizungumzia mnajisikia kuwashwa.Kinacho nishangaza Ni kuona wanaharakati kuungana na wanaoitwa wahuni kumshambulia Polepole! Wamesahau kwenye siasa au harakati hua hakuna adui wa kudumu.
Hata adui Alie kupiga jiwe Jana akitoka Leo na hoja yenye manufaa kufikia malengo yako anamuunga mkono faster ilimradi unajua amekusaidia kufanikisha yako.
Licha ya yote aliyowahi kufanya nyuma hayana maana Wala hayana msaada kwenu,yenye msaada kwenu Ni Hilo analo lisema sasa chocheeni kuni Moto ukolee Hilo ndio lenye manufaa kwenu.
Moshi wa Polepole umeanza kuwatoa nje wahuni mpeni nguvu na kukoleza mchezo,mmelamba garasa lipo ndani ya ngome halafu mnalichunia! mnajua siasa kweli vijana?
Kuna furaha na shangwe isiyo kifani huku uhunini kadri mnavyomkandia Polepole, iko wazi mkimuunga mkono msiyo yajua mtayajua na huku hapatakalika.
Wanapasukaje wakati mnasaidia kuzima Moto,maana mnaemponda mawe atazidiwa na kufutika fasta mtakuwa mmelipa kisasi lakini sio faida za kisiasa.Eti leo wanatuambia tumuonee huruma....
Jesus Christ...wacha wauane....CCM imepasuke vipande vipande
Walikua wanaiombeaga mabaya sana CDM....ni zamu yao na wao!
Chadema hesabu zetu zipo intact, hatutegemei mwanaccm kuwa jukwaa la kupandia, alitaka kijiunga utaratibu upo, ila chadema haipo KWa sasa kumlamba mtu miguu hasa wa ccm eti kupaa kisasa ,tulisha vuka kitambo,
Hivyo sio vyema kutupangia Cha kufanya ILIHALI tunajua Cha kufanya wakati upi na mda upi?
Pitia kwenye mitandao ya kijamii utaona jinsi CDM walivyotekwa na hizi mada!Cdm imeingiaje hapo
Hivi bulembo ni cdm
Kuna kiongozi gani wa cdm kamjibu slowslow
Ova
Wanachosema waoPitia kwenye mitandao ya kijamii utaona jinsi CDM walivyotekwa na hizi mada!
Home boy upo HahahaEti leo wanatuambia tumuonee huruma....
Jesus Christ...wacha wauane....CCM imepasuke vipande vipande
Walikua wanaiombeaga mabaya sana CDM....ni zamu yao na wao!