CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Idadi ya watu kwenye mikutano sio tija sana siku hizi cha maana ni ujumbe na matokeo. Mfano Lissu anafanya mikutano ya kwa njia ya mitandao na anapata watu zaidi ya 3,000 wakati mwingine mpaka 5,000 na ujumbe unatembea. Jiulize miaka 7 wamewezaje kuwepo bila mikutano? Yaani wananchi wanajali matokeo kama katiba mpya na vitu kama hivyo sio kujaza watu. Hata wakija watu 1,000 poa
 
Mbona mmrjawa na woga sana.

Hofu imetanda kwani huyo hayati alikosea nini mbona mnatishika sana?

Matendo yake na yenu yanawatisha nyie wenyewe
 
Bora umetuamsha twende mkutanoni ukose cha kuongea kesho,pipoz
 
Mkuu hizo picha za Lowasa 2015 furahisha wanazipenda kweli kesho tutegemee kupostiwa kwa wingi
wakijinasibu kuujaza uwanja.
 
Siku ya mkutano utazima data.

Muitikio ni mkubwa ndiyomaana hata wewe umetoka huko ulipotoka na kwenda mwanza kufatilia mkutano wa chadema kama ulivyosema.
Chama hakina maana kabisa hawana nguvu .
1.waongo
2.hawana sera mpya
3.hawana nguvu hawana connection yawao kutoaibishwa .
4.mafisadi wao just imagine nchi ikiwa imechafukwa wao wanauwezo wakukimbilia nje nakukuacha wewe hapa unauliwa na mapolisi Sasa yanini turudi njia kuu at least unapata amani
 
Dawa inaingia kwenu. Mnatetemeka. Msiogope kwani mlifanya nini mpaka mnaogopa?
Chadema hakina maana kabisa hawana nguvu .
1.waongo
2.hawana sera mpya
3.hawana nguvu hawana connection yawao kutoaibishwa .
4.mafisadi wao just imagine nchi ikiwa imechafukwa wao wanauwezo wakukimbilia nje nakukuacha wewe hapa unauliwa na mapolisi Sasa yanini turudi njia kuu at least unapata amani
 
Kati ya walioshangilia na waliomchomoa betri nani mbaya
 
Sasa woga wa nini? Matendo yenu yanawatafuna.
 
Zile za chama chenu cha Umoja Party, mbona hamvai tena?

Uhakikishe wanakulipa kabisa. La sivyo utakula hasara maana unaweza kupewa order kwa mategemeo kuna wa kuzinunua, halafu kwa vile hawatakuwepo, waliokupa order wakakuachia ubaki nayo hayo matshirt, maana kuvaa tshirt ya mtu mwovu inahitaji ujasiri wa pekee.
 
Mbona MaCCM mmepanic namna hii na mikutano bado hata haijaanza vizuri??

Mmeishi kwenye comfort zone kwa miaka 6 sasa akili zenu zimelala hamtaki kuamka.
 
Siku ya mkutano utazima data.

Muitikio ni mkubwa ndiyomaana hata wewe umetoka huko ulipotoka na kwenda mwanza kufatilia mkutano wa chadema kama ulivyosema.
Mimi nipo na mishe zangu, siwezi kwenda sababu ya huo ujinga wenu.
 
Mbona MaCCM mmepanic namna hii na mikutano bado hata haijaanza vizuri??

Mmeishi kwenye comfort zone kwa miaka 6 sasa akili zenu zimelala hamtaki kuamka.
Mikutano sio janbo jipya. Mbowe kwenye hiyo miaka 6 kafanya sana mikutano, sugu kafanya sana, hechrle kafanya sana Ila yote hakuna jipya
 
Nyie ndio mlidai mchele uuzwe nje ya nchi, au nimesahau ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…