CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Ni Aibu
Hivyo ndio unavyoweza kusema, ni aibu kubwa imewapata chadema kwenye maandalizi ya mikutano yao mwanza na musoma.

Nimekuja Mwanza kikazi ila pia kuafatilia mkutano wa chadema. Muitikio wa watu ni mdogo sana, bahati mbaya Wana magari ya matangazo Ila magari yenyewe nimekutana na moja limeisha mafuta.

Watu wapo busy kusaka pesa ili kuinua uchumi. Hawana muda kabisa na hii inayoitwa mkutano wa hadhara.

Hali ikiendelea hivi, huenda mkutano wa kesho ukahairishwa. Ndio, nina uhakika kwa 90% mkutano unaweza kuhairishwa sababu ya muitikio mdogo.

Nitawaletea kila kitachojiri, maana wana kawaida ya ku-edit picha na kutumia zile za 2015 za Lowassa.
Mwaka huu mpaka Chadema ikuzalishe
 
Utakuta na wewe ni mama unawatoto na mume.ila unaleta habari za eti nimeambiwa.
 
Sawa kada wa ccm kunywa maji ,kakojoe , ukalale
Baada ya chadema na dj wao kubuma.....[emoji1787][emoji1787]kama namwona kiroho kinavyo kwenda mbio cha mjambiani mpumbavu kwa mbali anapiga jicho kuwa chungulia chadema wanavyo galagazwa na mzimu wa marehemu tunamsubiri Muisiharamu samia tumpige na mayai viza.[emoji1787][emoji1787]
 
Chadema kuweni na huruma na sisi wenzenu ccm .au mmesahau watanzania wote ni ndugu
 
Siku ya mkutano utazima data.

Muitikio ni mkubwa ndiyomaana hata wewe umetoka huko ulipotoka na kwenda mwanza kufatilia mkutano wa chadema kama ulivyosema.
Watu wanaweza kuudhuria siyo kwa kuikubali chadema ...ukweli chadema ni kama matapishi kwa watz walio wengi ...chadema kimekuwa chama cha wapuuzi ...walamba makalio ya mabeberu
 
Nalaana hiyo itawapoteza kabisa kwenye siasa za Tanzania mbaka akili zitakapo warudi.
Magufuli hapaswi kubezwa na watu wenye akili.
Kibaya zaidi viongozi wao wamelamba asali wanauona ukweli lakini wanashindwa kuwazuia chawa wao kulopokalopoka mambo ya hovyo.
Wapumbavu sana hao kenge ....wanadhani wananchi tumezinya akili kama wao walamba asali
 
CHADEMA mna wakati mgumu Sana kunadi será zenú.

Mnamsema vibaya Magufuli huku wananchi tukimwona ndiyo alikuwa mkombozi wetu.

Hata CCM wameruhusu mikiutano wajue mtaongea nini. Tena huko Mwanza msije mkansema vibaya Magufuli.

Nasubiri Kwa hamu nione agenda zenú, ila kumbukeni bila kuwa mlengo wa Magufuli mtapata tabu Sana


20221222_184755.jpg
 
CHADEMA mna wakati mgumu Sana kunadi será zenú.

Mnamsema vibaya Magufuli huku wananchi tukimwona ndiyo alikuwa mkombozi wetu.

Hata CCM wameruhusu mikiutano wajue mtaongea nini. Tena huko mwanza msije mkansema vibaya magufuli.

Nasubiri Kwa hamu nione agenda zenú, ila kumbukeni bila kuwa mlengo wa magufuli mtapata tabu Sana
View attachment 2489420
Bitter truth
 
CHADEMA mna wakati mgumu Sana kunadi será zenú.

Mnamsema vibaya Magufuli huku wananchi tukimwona ndiyo alikuwa mkombozi wetu.

Hata CCM wameruhusu mikiutano wajue mtaongea nini. Tena huko mwanza msije mkansema vibaya magufuli.

Nasubiri Kwa hamu nione agenda zenú, ila kumbukeni bila kuwa mlengo wa magufuli mtapata tabu Sana
View attachment 2489420
CHADEMA ni Brand KUBWA haina sababu ya Kumsifia Shetani mpiga Risasi Mbambikiaji Kesi za Ugaidi mauaji na Uhujumu uchumi
 
Wapo mtegoni , wamponde Marehemu wakose watu/kura Kanda ya ziwa au wamsifie Mama Samia mshindani wao 2025, Mama alietoa demokrasia na ndio wameweza kuitisha mkutano Mwanza. Kazi kwao na Chama Chao.
 
Mbona wamekuwa popular Sana kwa Sera zao hizo hizo za kumpinga Magufuli miaka yote
 
Back
Top Bottom