CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

CHADEMA mtatoka na ajenda gani baada ya kurudi kwa mikutano ya hadhara ya siasa

Kwani watu wakitoka Mara Kuna ubaya gani boss? Hujui huu ni mkutano wa kwanza baada ya miaka mingi tu na kwa ufunguzi umepangiwa Mwanza na watu kutoka mikoa mingine kutakuwa na uwakilishi tu.
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosha
Pathetic fool
 
Si ndio vizuri hilo lichama lijiue lenyewe. Huyo dhalimu unatakiwa udhalimu wake uwekwe wazi, kisha NONDO za uhakika zimwagwe mchana kweupe.
Sawa, kesho msije mkapiga vichwa tu namikono ilimuonekane wengi.
 
Huyo muuaji nani amkubali? Tukutane kesho Furahisha. Hata chawa tunawakaribishe tuwatoe mapepo. Mtabatizwa muache uchawa na madhambi yenu mnayowatendea watz
Sawa, alafu msisahau kumakejeli huyo mnaemuita muuwaji.
 
Mimi kama mjasiliamali wa kuprinti tisheti nimeanza kupokea order za kuprint tisheti zenye picha ya hayati Magufuli zitazovaliwa siku ya mkutano mkubwa wa Chadema pale jijini Mwanza.

Mtu mmoja aliyenipa order aliuliza.....
Tisheti za JPM zinauzwa wapi, ndio za kuvaa nyakati hizi za mikutano sasa, bila kujali upo mkutano gani, no matter what kuna ujumbe utapenya... tena wenye nguvu... usiobezeka..

Njooni Mwanza tuwalie hela zenu na mtueleze kwa nini mlishangilia kifo cha Magufuli, na mtueleze pia kwa nini watoto wa Mbowe ,Lisu na Lema ni raia wa Marekani.

Niko hapa naprint za kutosha
Mkuu hili nitangazo la biashara au mimi ndio sijaelewa
 
Yaani shufghuli haijanza unapanick hivyo. Kama ni kumwaminisha mwajir wako una akili Basi naye no kiazi Kama wewe. Msubiri kuchimbuliwa tu.
 
Ni Aibu
Hivyo ndio unavyoweza kusema, ni aibu kubwa imewapata chadema kwenye maandalizi ya mikutano yao mwanza na musoma.

Nimekuja Mwanza kikazi ila pia kuafatilia mkutano wa chadema. Muitikio wa watu ni mdogo sana, bahati mbaya Wana magari ya matangazo Ila magari yenyewe nimekutana na moja limeisha mafuta.

Watu wapo busy kusaka pesa ili kuinua uchumi. Hawana muda kabisa na hii inayoitwa mkutano wa hadhara.

Hali ikiendelea hivi, huenda mkutano wa kesho ukahairishwa. Ndio, nina uhakika kwa 90% mkutano unaweza kuhairishwa sababu ya muitikio mdogo.

Nitawaletea kila kitachojiri, maana wana kawaida ya ku-edit picha na kutumia zile za 2015 za Lowassa.
Chadema ilikuwa ni Dk Slaa baada ya slaa kutoka pale Chadema Sasahivi Chadema nikama cha wauni tu, kipindi hicho Chadema ilikuwa ikukusanya nyomi kusikiliza nondo za dk slaa na akina Myika na Ndee waliokuwa wamepikwa vizuri na slaa, ngoja tusubiri tuone nyomi ya Mbowe maana Sasahivi walisema Chadema ni Mbowe na Mbowe ni Chadema.
 
Msaliti ambaye Rais na mwenyekiti wako wa Chama anakwenda ulaya na kuonana naye faragha kujadili ya maana?
Acha utoto bwana! Au nyie ndio wale wa yule aliyeKWEnda zake?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mama ni mama, hupenda Watoto wote watundu, wapole,Malaya, majambazi, mashoga, mateja n.k
Upendo wa mama kwa mtoto ni unconditional
 
Nimepewa taarfa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee mwanza

Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea

Hii aibu imefanya chadema kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano

Pia machinga wanapewa tisheti za bure km watahudhuria mkutano

Pia kuna malori yameandaliwa kutoka mara kusomba watu kwenda kufuta aibu

Hii aibu wanayopata chadema sijaishuhudia toka waanze siasa

Naona bado mko kwenye panic mode.
 
Umepewa taarifa na Nani? Wewe unapewa taarifa halafu unaongea kana kwamba wewe ndio umeona.
 
Nimepewa taarifa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee Mwanza

Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea

Hii aibu imefanya CHADEMA kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio Mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano

Pia machinga wanapewa tisheti za bure kama watahudhuria mkutano

Pia kuna malori yameandaliwa kutoka Mara kusomba watu kwenda kufuta aibu

Hii aibu wanayopata CHADEMA sijaishuhudia toka waanze siasa
Umetumwa nini wewe. Sasa wakipata aibu wewe inakuhusu nini
 
Nimepewa taarifa hawa wavaa combat feki wanakutana na zomea zomea toka waendee Mwanza

Wanapita mitaani na mawani yao makubwa wanapanua vidole viwili wananchi wanawajibu kwa kuwazomea

Hii aibu imefanya CHADEMA kuita viongozi wa umoja fulani wa watu waishio Mwanza kutoka kule mkoa fulani wawashawishi ili kuhudhuria mkutano

Pia machinga wanapewa tisheti za bure kama watahudhuria mkutano

Pia kuna malori yameandaliwa kutoka Mara kusomba watu kwenda kufuta aibu

Hii aibu wanayopata CHADEMA sijaishuhudia toka waanze siasa
Tuliza shobo.

Mwanamme kuwa mbea ni indicator of low testosterone
 
Back
Top Bottom